matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
-
- #41
Hayo tunayo siku zote. Pia watu wahamishiwe mbali na njia za maji maana Pwani bado kunaeneo kubwa bikra.Kwani umeshajipangaje kwanza na mafuriko ya Rufiji na kwingineko yanayoua na kuhamisha watu?
Wapigana tu Ndiyo watajua mdahara ya vita inawezekana walikuwa eanasimuliwa na kuangalia picha za kivitaWazungu wakuda sana,Vita zinazowahusu wao hua lazima wazibatize jina la 'Vita ya dunia'.
Wapigane tu.
Uteule ulikuwa kwenye agano la kale sio Sasa.Ewe iran nakuamuru uache mara moja kushambulia taifa teule la Israel.
Muisraeli kutoka nanjilinji.
Mapori yamejaa anzia TU kibaha uone.Hadi Sasa tupo milion 61, ikifika 2040 tutakuwa million 90 au 97 hadi Sasa hakuna kiongozi anayewaza athari za idadi kubwa ya watu ,hatuna mipango yoyote zaidi ya uchaguzi kila mwaka ,SEMBUSE VITA!!!!!
F35 ndio zinarudi sasa hivi baada ya kazi ngumΓΉ ya kupangua mabomu makubwamakubwa katika angala la Jordan. Ngoja tuone retaliationIran kayatimba,
Nashauri serikali na wadau kufuatilia kwa karibu na kutupa update nini cha kufanya badala ya kusubiri matokeo yake yatukutilize.
Pumbavu Yani umeongea vizuri mwanzo ila hapo umeanza kutema mafundisho feki ya wazungu eti yesu awaijie akawapeleke kwenye Dunia mpya πππ Bado sana tena sana waafrika ngozi nyeusi kuja kujitambua wewe unawaza yeshu mfu aje akuokoe wakati wenye dini yao wapo wanaoambana kuleKwa mashambulizi ya jana na usiku huu waliyofanya Iran kwa Israel tutegemee Israel kujibu. Tishio ni kubwa kiasi kwamba "Doomsday Plane" ya Israel imeonekana ikipaa ikidhaniwa ni viongozi wanahama nchi. Ni kubwa kiasi kwamba inasemekana Netanyahu amehama Ikulu na kukimbilia kwenye jumba kubwa la bilionea mmoja Yerusalem lenye handaki kabambe yeye na familia yake.
Iran imesema wazi mwarabu yeyote atakayeingilia kati, atampiga. Putin amesema US wakiingilia kati na yeye ataiunga mkono Iran.
Kwa kuzingatia tetesi nzito na fukuto la vita kunauwezekano middle east ikafungwa kwa Muda, kuna uwezekano safari za meli zikafungwa kukatiza mitaa hiyo. Hivyo kutakuwa na athali kubwa kwetu.
Nashauri serikali na wadau kufuatilia kwa karibu na kutupa update nini cha kufanya badala ya kusubiri matokeo yake yatukutilize.
Binafsi kama mtumishi naombe taifa, letu na vita hivyo vikome ili amani iwepo tutangaze neno na Yesu aje tuhamie dunia mpya na nchi mpya ambayo hakuna vita, vikohozi wala taabu.
Development za mashambulizi ya Iran zimechukua wiki nzima, lakini hakuna influencer yeyote alikuwa anaandika hata twitter, wanadandia matokeo.Kwenye serikali ya bongo hakuna political analyists wala ushuzi wa analyists kwenye kada nyingine...
Kama wangekuwepo tusingekuwa hivi tulivyo kiuchumi, kisiasa na mambo mengine...
Sisi tunaenda kwa kudra...
Ukweli ndio huo. Unaouona kwangu upumbavu ni hekima kubwa sana hahahaPumbavu Yani umeongea vizuri mwanzo ila hapo umeanza kutema mafundisho feki ya wazungu eti yesu awaijie akawapeleke kwenye Dunia mpya πππ Bado sana tena sana waafrika ngozi nyeusi kuja kujitambua wewe unawaza yeshu mfu aje akuokoe wakati wenye dini yao wapo wanaoambana kule
Pumbavu kujifanya unaijua sana dini ya watu kuliko waliokuletea, tena bila aibu eti "yeshu akija atatupeleka dunia mpya"πππDevelopment za mashambulizi ya Iran zimechukua wiki nzima, lakini hakuna influencer yeyote alikuwa anaandika hata twitter, wanadandia matokeo.
Ukweli ndio huo. Unaouona kwangu upumbavu ni hekima kubwa sana hahaha
Dini ya wakina nani. Mzungu dini kaletewa pia.Pumbavu kujifanya unaijua sana dini ya watu kuliko waliokuletea, tena bila aibu eti "yeshu akija atatupeleka dunia mpya"πππ
Ujinga na umasikini wa taarifa sahihi ambazo zinaweza kutusaidia kuforecast ktk mambo ya kitaiafa na kimataifa.Sisi hatuna vita vingine vikubwa zaidi ya ujinga na umaskini na hatujapata ushindi hata 1%.hivyo vita vya wengine acha vitokee tujue madhara
Ukishakuwa mjinga ni vigumu kupata taarifa sahihi, hata ukizipata huwezikuzielewa.Ujinga na umasikini wa taarifa sahihi ambazo zinaweza kutusaidia kuforecast ktk mambo ya kitaiafa na kimataifa.
ameen.
TUSISAHAU KUWAOMBEA VIONGOZI WETU WALAU MWAKA HUU WAWE NA AKILI.
Kaletewa na nani?Dini ya wakina nani. Mzungu dini kaletewa pia.