Kama nchi, ushoga tumeukataza na kuuadhibu kisheria. Kilichobaki ni utashi wa kuisimamia sheria husika, tuache porojo!

Haswaaaah!!!
 
Faragha za watu zisifanywe jinai, Majizi ya CCM ndio yapelekwe jela.
 
Tena wanawake wengine wala huombi yeye mwenyewe anailekeza pipe huko,na wengine usipotibua tope wanakuona wewe fala. Laana qoum!!!
 
Tena wanawake wengine wala huombi yeye mwenyewe anailekeza pipe huko,na wengine usipotibua tope wanakuona wewe fala. Laana qoum!!!
Hao Wanawake bila anal stimulation hawafiki kileleni yaani hawapati orgasm

Wenyewe wanakwambia ni G spot yao😄
 
Ingeongezewa kipengele kingine; kwa mwanaume yeyote mwenye miondoko ya kike, anayejichubua, anayesuka, anayevaa hereni/kipini, anayeweka dawa kwenye nywele, anayeongea lafudhi ya kike ingependeza zaidi.
 
Mimi naona upite msako wa kupima marinda!! Atakayekutwa hana marinda ale mvua miaka 30 jela!!
 
Kwenda jela miaka 30 kisa kula ndogo mi sikubali. Ni bora niende kisa uhalifu wa kutumia silaha
 
Kwenda jela miaka 30 kisa kula ndogo mi sikubali. Ni bora niende kisa uhalifu wa kutumia silaha
Lengo la adhabu ndiyo la kujadili. Jambazi ni miaka 30 na mlawiti naye miaka 30. Jee athari ya makosa inafanana??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…