Kama nchi, ushoga tumeukataza na kuuadhibu kisheria. Kilichobaki ni utashi wa kuisimamia sheria husika, tuache porojo!

Kama nchi, ushoga tumeukataza na kuuadhibu kisheria. Kilichobaki ni utashi wa kuisimamia sheria husika, tuache porojo!

Kuna yule shoga alikamatwa Mbeya, juzi nikaona picha zake mitandaoni akiwa amevaa nguo ya kike alipokamatwa na sungusungu usiku akiwa mawindoni ndipo akapigwa picha.

Yule shoga alihukumiwa miaka 30 jela kwa kukiri kosa la ushoga, nikajiuliza huyu alikiri kwani wapi walimkuta akifanya hivyo vitendo? na kama alikutwa, huyo aliyekuwa nae yuko wapi?

Hapo ndipo naungana nawe mleta mada, huwezi kumkamata mtu kwa sababu ya kuingiliwa kinyume cha maumbile, lakini usimkamate huyo aliyemuingilia, hilo ni sawa na uonevu na ni kinyume cha sheria.
Haswaaaah!!!
 
Watu wamewaandama mashoga tu wakati hii sheria inahusu hata wale ambao wanapenda kuwaingilia wanawake wao kinyume na maumbile Na wanawake wanaokubali kufanyiwa hivyo. Na kuingilia kinyume cha maumbile kunahusu pia viungo vingine kama midomo, mikono n.k. Wote hao wanastahili kufungwa miaka 30, kama vile jambazi wa kutumia silaha.

Amandla...
Faragha za watu zisifanywe jinai, Majizi ya CCM ndio yapelekwe jela.
 
Watu wamewaandama mashoga tu wakati hii sheria inahusu hata wale ambao wanapenda kuwaingilia wanawake wao kinyume na maumbile(na wanawake wanaokubali kufanyiwa hivyo). Na kuingilia kinyume cha maumbile kunahusu pia viungo vingine kama midomo, mikono n.k. Wote hao wanastahili kufungwa miaka 30, kama vile jambazi wa kutumia silaha.

Amandla...
Tena wanawake wengine wala huombi yeye mwenyewe anailekeza pipe huko,na wengine usipotibua tope wanakuona wewe fala. Laana qoum!!!
 
Tena wanawake wengine wala huombi yeye mwenyewe anailekeza pipe huko,na wengine usipotibua tope wanakuona wewe fala. Laana qoum!!!
Hao Wanawake bila anal stimulation hawafiki kileleni yaani hawapati orgasm

Wenyewe wanakwambia ni G spot yao😄
 
Ingeongezewa kipengele kingine; kwa mwanaume yeyote mwenye miondoko ya kike, anayejichubua, anayesuka, anayevaa hereni/kipini, anayeweka dawa kwenye nywele, anayeongea lafudhi ya kike ingependeza zaidi.
 
Mimi naona upite msako wa kupima marinda!! Atakayekutwa hana marinda ale mvua miaka 30 jela!!
 
Kwenda jela miaka 30 kisa kula ndogo mi sikubali. Ni bora niende kisa uhalifu wa kutumia silaha
 
Kwenda jela miaka 30 kisa kula ndogo mi sikubali. Ni bora niende kisa uhalifu wa kutumia silaha
Lengo la adhabu ndiyo la kujadili. Jambazi ni miaka 30 na mlawiti naye miaka 30. Jee athari ya makosa inafanana??
 
Back
Top Bottom