cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kwa kweli.Nchi hii kuna mambo ya msingi zaidi na yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa haraka kuliko ushoga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli.Nchi hii kuna mambo ya msingi zaidi na yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa haraka kuliko ushoga.
Haswaaaah!!!Kuna yule shoga alikamatwa Mbeya, juzi nikaona picha zake mitandaoni akiwa amevaa nguo ya kike alipokamatwa na sungusungu usiku akiwa mawindoni ndipo akapigwa picha.
Yule shoga alihukumiwa miaka 30 jela kwa kukiri kosa la ushoga, nikajiuliza huyu alikiri kwani wapi walimkuta akifanya hivyo vitendo? na kama alikutwa, huyo aliyekuwa nae yuko wapi?
Hapo ndipo naungana nawe mleta mada, huwezi kumkamata mtu kwa sababu ya kuingiliwa kinyume cha maumbile, lakini usimkamate huyo aliyemuingilia, hilo ni sawa na uonevu na ni kinyume cha sheria.
Kwani hapo hujasoma?? Ni marufuku kumuingilia kinyume na maumbile mwanaume au mwanamke.
Faragha za watu zisifanywe jinai, Majizi ya CCM ndio yapelekwe jela.Watu wamewaandama mashoga tu wakati hii sheria inahusu hata wale ambao wanapenda kuwaingilia wanawake wao kinyume na maumbile Na wanawake wanaokubali kufanyiwa hivyo. Na kuingilia kinyume cha maumbile kunahusu pia viungo vingine kama midomo, mikono n.k. Wote hao wanastahili kufungwa miaka 30, kama vile jambazi wa kutumia silaha.
Amandla...
Kabisa. Ila majizi yote yafungwe yakipatikana na hatia.Faragha za watu zisifanywe jinai, Majizi ya CCM ndio yapelekwe jela.
Tena wanawake wengine wala huombi yeye mwenyewe anailekeza pipe huko,na wengine usipotibua tope wanakuona wewe fala. Laana qoum!!!Watu wamewaandama mashoga tu wakati hii sheria inahusu hata wale ambao wanapenda kuwaingilia wanawake wao kinyume na maumbile(na wanawake wanaokubali kufanyiwa hivyo). Na kuingilia kinyume cha maumbile kunahusu pia viungo vingine kama midomo, mikono n.k. Wote hao wanastahili kufungwa miaka 30, kama vile jambazi wa kutumia silaha.
Amandla...
Coca weeee!!!!!Kwani hapo hujasoma?? Ni marufuku kumuingilia kinyume na maumbile mwanaume au mwanamke.
Watu wote wakaguliweLakini si sheria inasema akipatikana na hatia?
Unataka waweke camera kila nyumba wapate ushahidi wa kuwatia hatiani?
Na camera ziwekwe kila nyumbaWatu wote wakaguliwe
Hao Wanawake bila anal stimulation hawafiki kileleni yaani hawapati orgasmTena wanawake wengine wala huombi yeye mwenyewe anailekeza pipe huko,na wengine usipotibua tope wanakuona wewe fala. Laana qoum!!!
Labda Kimbaumbau na chama chake watunge sheria kuwa chupi zote zifungiwe camera na vyumba vyote Nchini vifungiwe cctv camera.Na camera ziwekwe kila nyumba
Ndiyo
Wanaume wote waende hospitali kukaguliwaLabda Kimbaumbau na chama chake watunge sheria kuwa chupi zote zifungiwe camera na vyumba vyote Nchini vifungiwe cctv camera.
Siyo wanaume tu bali hata wanawake wote wapimwe marinda!!Wanaume wote waende hospitali kukaguliwa
Hao wanaona kwa wanawake ni sawa tu!!Kwani hapo hujasoma?? Ni marufuku kumuingilia kinyume na maumbile mwanaume au mwanamke.
Sasa unakua ni UNAFIKIHao wanaona kwa wanawake ni sawa tu!!
Lengo la adhabu ndiyo la kujadili. Jambazi ni miaka 30 na mlawiti naye miaka 30. Jee athari ya makosa inafanana??Kwenda jela miaka 30 kisa kula ndogo mi sikubali. Ni bora niende kisa uhalifu wa kutumia silaha