Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Sita weka wazi ni nini kilichomo kwenye ujasusi ila naweza kuwa kumbusha miaka ya nyuma.Kipindi cha kibiti na tanga mpaka ubalozi wa USA kuwashtua kuwa kuna magaidi na kwenda kumnyamazisha mwandishi anzory gwanda maana kuvuliwa nguo kwa nchi bado tutasikia toka pole pole.
Nchi hii imejaa majasusi wa chama tawala wapo bize na chama wapate uteuzi wa vyeo.
Kuna jambo mpaka na tetemeka kuliweka au naona kujichosha kwenye JF ambayo uongo wa wana ccm Unawekewa mwanzoni 2025 ia ukweli wa kuwahusu wana CCM unafutwa.
Kuweni na DMZ tusiwasanue waangaike.