Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,518
- 20,492
Nashangaa kwa kweli! Hapo vijana wa vyeo vya kati wanatakiwa waji-organise wasiwahusishe wale maboss maana wale wanalenga uteyuzi wakistaafu wameshakuwa wajinga!Majoga hayo mateka wa M-23.Vijana wanashindwa nini sijui kutwaa nchi kama wenzao akina Traore!?