Mkuu weka tu hata kwa mafumbo makali, tunaweza kung'amua hata kidogo.Sita weka wazi ni nini kilichomo kwenye ujasusi ila naweza kuwa kumbusha miaka ya nyuma.Kipindi cha kibiti na tanga mpaka ubalozi wa USA kuwashtua kuwa kuna magaidi na kwenda kumnyamazisha mwandishi anzory gwanda maana kuvuliwa nguo kwa nchi bado tutasikia toka pole pole.
Nchi hii imejaa majasusi wa chama tawala wapo bize na chama wapate uteuzi wa vyeo.
Kuna jambo mpaka na tetemeka kuliweka au naona kujichosha kwenye JF ambayo uongo wa wana ccm Unawekewa mwanzoni 2025 ia ukweli wa kuwahusu wana CCM unafutwa.
Kuweni na DMZ tusiwasanue waangaike.
Kweli bado unatetemeka.Sijaelewa ulitaka kuhabarisha kitu gani.Sita weka wazi ni nini kilichomo kwenye ujasusi ila naweza kuwa kumbusha miaka ya nyuma.Kipindi cha kibiti na tanga mpaka ubalozi wa USA kuwashtua kuwa kuna magaidi na kwenda kumnyamazisha mwandishi anzory gwanda maana kuvuliwa nguo kwa nchi bado tutasikia toka pole pole.
Nchi hii imejaa majasusi wa chama tawala wapo bize na chama wapate uteuzi wa vyeo.
Kuna jambo mpaka na tetemeka kuliweka au naona kujichosha kwenye JF ambayo uongo wa wana ccm Unawekewa mwanzoni 2025 ia ukweli wa kuwahusu wana CCM unafutwa.
Kuweni na DMZ tusiwasanue waangaike.
Hilo jambo liweke hapa. Usalama wa taifa unaanzia kwako Kabla ya kuwafikia makacheloKuna jambo mpaka na tetemeka kuliweka au naona kujichosha kwenye JF ambayo uongo wa wana ccm Unawekewa mwanzoni 2025 ia ukweli wa kuwahusu wana CCM unafutwa.
Kama ipi?nawa tag hapahapa na id zao
Alikuwa hawasemi vibaya CHADEMA.Ivi azory issue kubwa alikosea nini...??
kuna siri nyingi ambazo aliweza kuzifanyia kama mwana habari ambazo kiufupi kuanzia jeshi la polisi na idara za usalama zingewatoa vyeo wengi sababu ya kudanganya watawala kwa kisingizio kuwa kuna amani na usalama kibiti na tanga wakati ukweli umewekwa.Walipoona ili jambo litafika juu wakamzima kama taa ukweli utabaki kuwa ukweli tu kuwa nchi imeoza hizo idara.Ivi azory issue kubwa alikosea nini...??
Umeandika nini, mbn upupu tu? Vijana wa sk hz ni empted headsSita weka wazi ni nini kilichomo kwenye ujasusi ila naweza kuwa kumbusha miaka ya nyuma.Kipindi cha kibiti na tanga mpaka ubalozi wa USA kuwashtua kuwa kuna magaidi na kwenda kumnyamazisha mwandishi anzory gwanda maana kuvuliwa nguo kwa nchi bado tutasikia toka pole pole.
Nchi hii imejaa majasusi wa chama tawala wapo bize na chama wapate uteuzi wa vyeo.
Kuna jambo mpaka na tetemeka kuliweka au naona kujichosha kwenye JF ambayo uongo wa wana ccm Unawekewa mwanzoni 2025 ia ukweli wa kuwahusu wana CCM unafutwa.
Kuweni na DMZ tusiwasanue waangaike.
Narudia tena hakuna majasusi TZ ni wahuni tuSita weka wazi ni nini kilichomo kwenye ujasusi ila naweza kuwa kumbusha miaka ya nyuma.Kipindi cha kibiti na tanga mpaka ubalozi wa USA kuwashtua kuwa kuna magaidi na kwenda kumnyamazisha mwandishi anzory gwanda maana kuvuliwa nguo kwa nchi bado tutasikia toka pole pole.
Nchi hii imejaa majasusi wa chama tawala wapo bize na chama wapate uteuzi wa vyeo.
Kuna jambo mpaka na tetemeka kuliweka au naona kujichosha kwenye JF ambayo uongo wa wana ccm Unawekewa mwanzoni 2025 ia ukweli wa kuwahusu wana CCM unafutwa.
Kuweni na DMZ tusiwasanue waangaike.
TZ hakuna majasusi, kuna vihuni tu ambavyo uwezo wao ni ku-deal na kina Mwajuma Ndala ndefu.Sita weka wazi ni nini kilichomo kwenye ujasusi ila naweza kuwa kumbusha miaka ya nyuma.Kipindi cha kibiti na tanga mpaka ubalozi wa USA kuwashtua kuwa kuna magaidi na kwenda kumnyamazisha mwandishi anzory gwanda maana kuvuliwa nguo kwa nchi bado tutasikia toka pole pole.
Nchi hii imejaa majasusi wa chama tawala wapo bize na chama wapate uteuzi wa vyeo.
Kuna jambo mpaka na tetemeka kuliweka au naona kujichosha kwenye JF ambayo uongo wa wana ccm Unawekewa mwanzoni 2025 ia ukweli wa kuwahusu wana CCM unafutwa.
Kuweni na DMZ tusiwasanue waangaike.
Majoga hayo mateka wa M-23.Vijana wanashindwa nini sijui kutwaa nchi kama wenzao akina Traore!?Kwa heshima na taadhima kutokana na haya yakiyosemwa na Pulepule naliomba jeshi letu pendwa lichukue nchi ili lituokoe na huu upumbavu!