Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hello mambo!!
Wahenga walisema kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza. Kwa muktadha huo tuishi uhuru wa kifikra, kimaamuzi, iwe haki na huru.
Kama ndoa ni nzuri mbona mnatumia nguvu kubwata na hizo tantalila tantalila zenu.
Dunia ndio hii hii ukioa au ukiolewa pambana na hali yako.
Kataa ndoa haina uhusiano na ushoga au ufilauni ni haki ya kimsingi, tuna mambo mengi ya kufanya kuliko kuwaza ujinga na umaskini wa kuoa na kuyatafuta maradhi ya sonona na ubazazi.
Kataa ndoa ni Kwa afya ya taifa kwa sasa na baadae.
Mnajikutaa 🤣🤣🤣 na vindoa vyenu uchwara Acheni kulia hii ni mwanzo mwisho.
Ligi haina kupoa
Wadiz