Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Kampaini yenu ingekua zuri kama mgetoa mbadala wa kukataa ndoa.......sawa imekataa ndoa so whats next?Hello mambo!!
Wahenga walisema kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza. Kwa muktadha huo tuishi uhuru wa kifikra, kimaamuzi, iwe haki na huru.
Kama ndoa ni nzuri mbona mnatumia nguvu kubwata na hizo tantalila tantalila zenu.
Dunia ndio hii hii ukioa au ukiolewa pambana na hali yako.
Kataa ndoa haina uhusiano na ushoga au ufilauni ni haki ya kimsingi, tuna mambo mengi ya kufanya kuliko kuwaza ujinga na umaskini wa kuoa na kuyatafuta maradhi ya sonona na ubazazi.
Kataa ndoa ni Kwa afya ya taifa kwa sasa na baadae.
Mnajikutaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na vindoa vyenu uchwara Acheni kulia hii ni mwanzo mwisho.
Ligi haina kupoa
Wadiz
Mbadala nikula wake zenu tu kuzagamuaKampaini yenu ingekua zuri kama mgetoa mbadala wa kukataa ndoa.......sawa imekataa ndoa so whats next?
Tubaki na mahusiano na kuishi bila kitu kuoa au ndoa, security ndio inaleta ufala, ukiboa unatolewa ghetto hio haina kulea ujinga, demu anakuja maghetoni anapika, na kuishi na siku kadhaa ila na yeye awe na kwake, nampangishia huko ila hakai mazima na mimi, biashara na mtaji vyote Nampa na namlea vema tu but I need my total freedom.Kampaini yenu ingekua zuri kama mgetoa mbadala wa kukataa ndoa.......sawa imekataa ndoa so whats next?
Kampaini yenu ingekua zuri kama mgetoa mbadala wa kukataa ndoa.......sawa imekataa ndoa so whats next?
Tuendelee kula vyombo yamuu yamubemba ya mayoniKutomber tu. Tomber sepa
Tubaki na mahusiano na kuishi bila kitu kuoa au ndoa, security ndio inaleta ufala, ukiboa unatolewa ghetto hio haina kulea ujinga, demu anakuja maghetoni anapika, na kuishi na siku kadhaa ila na yeye awe na kwake, nampangishia huko ila hakai mazima na mimi, biashara na mtaji vyote Nampa na namlea vema tu but I need my total freedom.
Tafuteni pesa hamuwezi kuelewa hii kitu akili yake ni ya mbele sana.
Ukifunikwa na ubazazi na ufala wa kuoa au kuolewa huwezi hii ishu buda.
Kataa ndoa kwa maisha bora na uchumi bora wa Taifa
Kataa uzinzi ukimwi inaua ndo kampaini itakao fuatiaKutomber tu. Tomber sepa
Kataa uzinzi ukimwi inaua ndo kampaini itakao fuatia
Nawaingiza ghetto wajae siwezi kujibu eti kwanini nisioe na nisipoa inakuwaje hio haiwahusuMkuu kwenye kampeni ya KATAA NDOA NIKO PAMOJA NA WEWE. Lakini hapo kwenye solution NAKUPINGA. Hiyo solution yako haina tofauti na alieoa, tena wewe ndo utakuwa umepuyanga vibaya mno.
Ndoa iheshimiwe na watu wote. Ndoa ni barakaHello mambo!!
Wahenga walisema kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza. Kwa muktadha huo tuishi uhuru wa kifikra, kimaamuzi, iwe haki na huru.
Kama ndoa ni nzuri mbona mnatumia nguvu kubwata na hizo tantalila tantalila zenu.
Dunia ndio hii hii ukioa au ukiolewa pambana na hali yako.
Kataa ndoa haina uhusiano na ushoga au ufilauni ni haki ya kimsingi, tuna mambo mengi ya kufanya kuliko kuwaza ujinga na umaskini wa kuoa na kuyatafuta maradhi ya sonona na ubazazi.
Kataa ndoa ni Kwa afya ya taifa kwa sasa na baadae.
Mnajikutaa 🤣🤣🤣 na vindoa vyenu uchwara Acheni kulia hii ni mwanzo mwisho.
Ligi haina kupoa
Wadiz
baraka za kuchapiwa na wanafinyia ndani hao wake zenuNdoa iheshimiwe na watu wote. Ndoa ni baraka
Hit and runKampaini yenu ingekua zuri kama mgetoa mbadala wa kukataa ndoa.......sawa imekataa ndoa so whats next?
maneno mengi nawaambia tuachane njiapandaNdoa ni muungano wa HIYARI Kati ya mtu mume na mtu mke kwa makubalino ya kuishi pamoja kwa maisha yao yote.
Ndoa sio lazima,hatupaswi kushawishi watu waingie katika ndoa au wasiingie katika ndoa.
Kila mtu aamue kwa mapenzi yake.Tukumbuke ndoa ni mkataba so moja ya sifa ya mkataba ni "willingness" ya wanaoingia mkataba,isionekane mmoja alilazimishwa.
Nyie mnaobwabwaja kataa ndoa mna uhalali gani wa kuwashawishi wanzenu?
Mmekaa huko na silly agendas zenu mnalipwa na wahuni wenzenu kuja kupotosha jamii.Hebu acheni wehu kila mtu aingie au akatae ndoa kwa hiyari yake sio kwa kushawishiwa na yoyote.