Kama ndoa na kuoa ni jambo zuri mbona mnapanic tuacheni na kauli mbiu yetu ya kukataa ndoa na kuoa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi nafikiria watatu sasa.ngoja nioe Tena Kumbe Kuna wengine mumesusa
Yakhee oa sheikh raha ya maisha ni kusaidiana na huo ni ubinadam we ukiwa busy na mke mdogo kijana mkataa ndoa anakugongea mke mkubwa ukirudi kwa mkubwa boda boda anakugongea mdogo

Cha mtu uliwa na mtu sheikh chuma tu ndio uliwa na kutu
 
sawaa mulevii.wewe unaeogopa kugongewa chonga gogo.mana hata usipo oa lazima utatomb.. tuu.
 
Halafu hawa mabazazi mbaya tukienda nao battle bado hawafui dafu,,wanaishia kutukana tu hawa makima.
 
Uzi uishie hapa.
 
Nikiwaz hapa Kuna mke wa mtu kaniganda hadi anataka kujinyonga ksa nmemlia bati sitaki mazoea...naona mtoa mada yuko sahihi sanaa ....nawaza tu ningemgonga Ingekuwaje.....yaan msg zake na calls zishakuwa KERO....nmetia bloc ila anatumia nqmba za watu kunipigia hadi nmeogopa kupokea namba ngen...hapa nawaza kwenda kumkanya mme wake kuwa adeal na mke wake vzur aache kunisumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…