sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Ifahamike kwamba mapenzi ni muunganiko wa watu wawili katika kupendana kwa dhati na sio muungano wa sehemu za siri, hili si la kupuuza maana ndio uhalisia huo.
Kuunganisha sehemu za siri kunawezekana kirahisi sana lakini watu kuunganika kwa kupendana kwa dhati hio ni case nyingine kabisa.
Sasa inapokuja swala la kuchapiwa hali inageuka ghafla na kufanya kipimo cha mapenzi kuwa ngono, mbaya zaidi maumivu yake yanakuwa makali sana kuliko yale ya kuachwa na mpenzi wako.
Dadavua?