Kama Ngono sio kipimo cha upendo katika mahusiano, kwanini kuchapiwa kunauma kuzidi kuachana?

Kama Ngono sio kipimo cha upendo katika mahusiano, kwanini kuchapiwa kunauma kuzidi kuachana?

Sawa lakini mimi naitetea hoja yangu ya mwanzo ngono sio kipaombele cha kuumbwa kwetu, ni basi.
Biblia inasema 'Uliniumba nikuabudu' hivyo deep down tupo hapa ili kuabudu so hata mitandaoni tulitakiwa tusiwemo but here we are.

Pia bro kwenye ngono usimalize maneno. Wapo wanaoenda hilo saa moja na zaidi ni sawa yule binti umemuona anajiingiza Mirinda ila mi nishaona mtu anajiingiza kabichi na spinach
 
Sijui ni kitu gani kilitokea mpaka ngono ikawa ni kitu muhimu sana kwenye maisha yetu binadamu.

Nikitu kinachotutesa sana,sana! Ukiangalia viumbe wengine wanavyoishi kwa raha katika mazingira yao hawana kipaombele cha ngono, wao kwao ngono ni sehemu ya uzazi, lakini kwetu tumefanya ni sehemu ya starehe muhimu sana, na tumefix na mioyo yetu, yaani ni kitu kinachogusa mwili mpaka roho na nafsi.

Hii imepelekea maumivu makubwa kwetu,imetudumaza kifikra, imetufanya kubwa watumwa,imetufarakanisha,imetusababishia wengine kupoteza maisha na wengine ulemavu na wengine kuwa jela,imetusababishia umaskini na mengine mengi makubwa kuliko faida.

Faida moja kubwa ya ngono ni uzazi tu lakini mengi yatokanayo nayo ni yenye hasara, ikizingatiwa fanya ufanyavyo ngono ni kitu kisichozidi saa moja, sasa starehe ya chini ya saa moja ndio itaigharimu hivyo?
Viumbe gani hao unawaongelea chief??? Mnyama yoyote nyapu is to die for, shukuru wewe mwanadamu zipo hadi za kununua.
 
Aliye kuambia nani watu wanasukuma nikiwemo na mimi zaidi ya saa nne non stop. Inahitajika mzoefu na mwenye pumzi kweli kweli
Hao watakao weza kwenda zaidi ya saa pande zote mbili ni unusual na watu kama hao hawakosekani ulimwenguni katika mambo yote.

Lakini wengi wetu ni chini ya saa moja haijalishi sekunde moja au dakika moja lakini chini ya saa, ila wengi wetu!
 
Umlishe,
Umvishe,
Pesa ya mtumizi anakutegemea ww.

Sehemu anayokaa ni ww ndo unagharamia
Na matumizi mengine madogo madogo
Halafu kenge mmoja anakula mzigo kilaini kabisa bila gharama yoyote tena mda mwingine humo humo ndani kwa nn mtu asishike panga.
 
Back
Top Bottom