sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Duh...ngoja wajeIfahamike kwamba mapenzi ni muunganiko wa watu wawili katika kupendana kwa dhati na sio muungano wa sehemu za siri, hili si la kupuuza maana ndio uhalisia huo... kuunganisha sehemu za siri kunawezekana kirahisi sana lakini watu kuunganika kwa kupendana kwa dhati hio ni case nyingine
fanya ufanyavyo ngono ni kitu kisichozidi saa moja, sasa starehe ya chini ya saa moja ndio itaigharimu hivyo?
Hata kama ni uwezo wangu lakini hakuna asiyejua muda wa kufanya ngono kama starehe ni mfupi haswa, hata wewe mwenyewe unajua ila basi tu!Hebu mkuu tengua hii kauli yako,
Usigeneneralize watu wote hapa,
ebu jisemee wewe mwenyewe kwa nafsi yako na kutokana uwezo wako[emoji4][emoji115]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ..Hata kama ni uwezo wangu lakini hakuna asiyejua muda wa kufanya ngono kama starehe ni mfupi haswa, hata wewe mwenyewe unajua ila basi tu!
Hao watakao weza kwenda zaidi ya saa pande zote mbili ni unusual na watu kama hao hawakosekani ulimwenguni katika mambo yote.Ha ha ha ..
MDA wa starehe Ni mfupi au mrefu kutokana na uwezo wako unakoishia, ufanyaji wako na Aina ya uyo mwenza wako.
Kwaiyo ili uwe fair, Usiweke vipimo exactly kwa watu waote.mfano: Eti lisaa
Huenda
Wee Pendael24 kwako ilo lisaa ndo unakua umetosheka fully[emoji4]
Wengine MAPAROKO ilo lisaa Ni ndoto kabisa, wanaona kama ni mazingaombwe. Ni dkk 2 mpk dkk 5. Hizo dkk 10 nyingi Sana hoi bin taaban[emoji4]
Wengine MAFISI ilo lisaa ndo Kwanza gari imewaka iko silencer hata oil haijachanganya vizur. [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kha! Hii ya kuangalia demu wako anafanya mapenzi ni hatari, siii unaweza mtwanga ngumi jamaa🤣🤣🤣🤣Kuna watu wanaitwa swingers yaani mke na mume wanakufuata wanakuomba uje na mpenzi wako kisha mnapiga game ya kama orgy ya watu wanne ila mnakua mnabadilishana. Kama umeanza na Amina baadaye unaendelea na Isha.
Halafu kuna cuckoo (Sina uhakika) yaani Mume anakuomba ummege mkewe huku yeye anaangalia. Kwa watu wa hivyo unadhani akichapiwa inamuuma? Hapana. Badala yake hua anaomba ahadithiwe ilivyokua.
Kisha kuna kitu nataka ujue, binadamu ni mnyama na wanyama ni territorial, simba atakuanzishia ugomvi ukiingia kwenye mipaka yake sawa sawa na mjusi au ndege ila sisi kwakua tumekua wastaarabu sisi instincts za 'Hii ni mali yangu' tumepeleka mpaka kwa wenza wetu.
Hivyo kiukweli unapochapiwa unachoona wewe ni mtu kaingilia himaya yako, unahisi dharau, aibu na kuonekana bwege.
La mwisho, ngono siyo kipimo cha upendo ila ni kiimarisha upendo. Angalau wapenzi msex kwa wiki mara mbili kama mnataka kudumisha uhusiano.
Tatizo uwekezaji....wee umesema ukweli kabisa.Kuuumia katika kuchapiwa ni tatizo la saikolojia ambalo wanaume wengi wanalo wakiamini linahusisha kiwango cha uanaume wao.
Kama ngono ingekuwa inaumiza madadapoa yangeongoza kwa kujitundika kwa maumivu.
Mm nikigundua mke wangu ananisaliti nitaumia kwa sababu uwekezaji wangu wote utakuwa kwenye hatari si kwa sababu ya kiungo chake ambacho kimeshanipitishia watoto na kinapatikana kila sehemu.
Ni tatizo la saikolojia kama unavyotembea na malaya mke wa mtu akakuambia kuwa wewe una uwezo kuliko mumewe halafu ukavimba kichwa na kujiona mwanaume haswa.
Kabisa.Tatizo uwekezaji....wee umesema ukweli kabisa.
Sex ni njia ya kuzaliana fullstop. Hayo mambo yakusema eti ni starehe ni mind ya mtu tu afu ukizunguka upande wa pili wa shillingi ngono ina mengi sana ya ovyoSijui ni kitu gani kilitokea mpaka ngono ikawa ni kitu muhimu sana kwenye maisha yetu binadamu.
Nikitu kinachotutesa sana,sana! Ukiangalia viumbe wengine wanavyoishi kwa raha katika mazingira yao hawana kipaombele cha ngono, wao kwao
Ondoa ilo neno "wengi wetu",Hao watakao weza kwenda zaidi ya saa pande zote mbili ni unusual na watu kama hao hawakosekani ulimwenguni katika mambo yote.
Lakini wengi wetu ni chini ya saa moja haijalishi sekunde moja au dakika moja lakini chini ya saa, ila wengi wetu!
Basi nipe Namba ya mkeo.Kuuumia katika kuchapiwa ni tatizo la saikolojia ambalo wanaume wengi wanalo wakiamini linahusisha kiwango cha uanaume wao.
Kama ngono ingekuwa inaumiza madadapoa yangeongoza kwa kujitundika kwa maumivu.
Mm nikigundua mke wangu ananisaliti nitaumia kwa sababu uwekezaji wangu wote utakuwa kwenye hatari si kwa sababu ya kiungo chake ambacho kimeshanipitishia watoto na kinapatikana kila sehemu.
Ni tatizo la saikolojia kama unavyotembea na malaya mke wa mtu akakuambia kuwa wewe una uwezo kuliko mumewe halafu ukavimba kichwa na kujiona mwanaume haswa.
Master mapenzi Katika ubora wakoooo[emoji12][emoji12]! Ukimuona cocastic msalimie Sana mwambie nimemmisi kinomanoma!Ha ha ha ..
MDA wa starehe Ni mfupi au mrefu kutokana na uwezo wako unakoishia, ufanyaji wako na Aina ya uyo mwenza wako.
Kwaiyo ili uwe fair, Usiweke vipimo exactly kwa watu waote.mfano: Eti lisaa
Huenda
Wee Pendael24 kwako ilo lisaa ndo unakua umetosheka fully[emoji4]
Wengine MAPAROKO ilo lisaa Ni ndoto kabisa, wanaona kama ni mazingaombwe. Ni dkk 2 mpk dkk 5. Hizo dkk 10 nyingi Sana hoi bin taaban[emoji4]
Wengine MAFISI ilo lisaa ndo Kwanza gari imewaka iko silencer hata oil haijachanganya vizur. [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yapi hayo ya hovyo🤔🤔🤔🤔Sex ni njia ya kuzaliana fullstop. Hayo mambo yakusema eti ni starehe ni mind ya mtu tu afu ukizunguka upande wa pili wa shillingi ngono ina mengi sana ya ovyo