Kama Ngono sio kipimo cha upendo katika mahusiano, kwanini kuchapiwa kunauma kuzidi kuachana?

Sawa lakini mimi naitetea hoja yangu ya mwanzo ngono sio kipaombele cha kuumbwa kwetu, ni basi.
Biblia inasema 'Uliniumba nikuabudu' hivyo deep down tupo hapa ili kuabudu so hata mitandaoni tulitakiwa tusiwemo but here we are.

Pia bro kwenye ngono usimalize maneno. Wapo wanaoenda hilo saa moja na zaidi ni sawa yule binti umemuona anajiingiza Mirinda ila mi nishaona mtu anajiingiza kabichi na spinach
 
Viumbe gani hao unawaongelea chief??? Mnyama yoyote nyapu is to die for, shukuru wewe mwanadamu zipo hadi za kununua.
 
Aliye kuambia nani watu wanasukuma nikiwemo na mimi zaidi ya saa nne non stop. Inahitajika mzoefu na mwenye pumzi kweli kweli
Hao watakao weza kwenda zaidi ya saa pande zote mbili ni unusual na watu kama hao hawakosekani ulimwenguni katika mambo yote.

Lakini wengi wetu ni chini ya saa moja haijalishi sekunde moja au dakika moja lakini chini ya saa, ila wengi wetu!
 
Umlishe,
Umvishe,
Pesa ya mtumizi anakutegemea ww.

Sehemu anayokaa ni ww ndo unagharamia
Na matumizi mengine madogo madogo
Halafu kenge mmoja anakula mzigo kilaini kabisa bila gharama yoyote tena mda mwingine humo humo ndani kwa nn mtu asishike panga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…