Kama Ngosha angekuwepo, yule jamaa bonge Mzimbabwe angetia mguu wake kweli hapo Ikulu?

Kampeni zao hivi sasa huwezi kuwasikia wakiongea neno ufisadi...
 
Wadau naombeni kumbukumbu ya kipindi mama akiwa msaidizi wa mwendazake ivi alishawai kuwa na ziara ya kumuwakilisha mwendazake uko kwao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…