Kama Ngosha angekuwepo, yule jamaa bonge Mzimbabwe angetia mguu wake kweli hapo Ikulu?

But all money ain’t good money…

Na ndo maana wanahaha sasa hivi ku crack down media outlets zinazorusha habari za huyo bonge.
Lugumi alisha dhibitiwa na kutolewa kabisa kwenye ununuzi wa silaha jeshini na Magufuli, lakini sasa karudi kama mwanzo na unaona ma-Escalade kwenye parking yake yakipigwa na kyoyozi.
 
Halafu, huyo bonge ana tabia ya kutoa zawadi za magari ya kifahari.

Kuna uwezekano pia naye Abduli kapewa zawadi hizo ndinga za kifahari alizonazo?
Bonge ni rafiki pia wa Makamba Jr na kablya ya mama alikuwa spotted na Makamba kipindi waziri wa umeme.
 

Halafu kuna watu wanadai Abdul anachafuliwa tu kama walivyofanya kwa Riz1.
 
Jesca hata kushiriki huu uchaguzi HATUMWELEWI! Haya ni maigizo ya aibu!
 
Thubutu, asingekanyaga Ikulu,
 
Wengine hatukuwahi hata kusikia kwamba naye alikuwepo duniani. Angalau yule wa kike tulijua alikuwepo!
 
Wengine hatukuwahi hata kusikia kwamba naye alikuwepo duniani. Angalau yule wa kike tulijua alikuwepo!
Mimi huyo Abduli nimemjulia JF 😀.

But seriously, mtu ana magari yote hayo ya kifahari [kama ni kweli] ambayo yameanza kuonekana hivi karibuni tu.

Kwa hela gani alizonazo?
 
Mimi huyo Abduli nimemjulia JF 😀.

But seriously, mtu ana magari yote hayo ya kifahari [kama ni kweli] ambayo yameanza kuonekana hivi karibuni tu.

Kwa hela gani alizonazo?
Tushangae tu, lakini itakuwa ni kweli. Kama ni kusingiziwa, watoto wa JPM wasingesalimika. I didn’t even know Joseph, JPM’s son, mpaka baada ya JPM kufariki. Sijui kama alikuwa anaendesha hata BMW.
 
Mbona washamuelewa Magu wanakaza mafuvu tu but deep down wanajuta
Yaani ht jk kipindi chake haikuwa Kwa kiwango hiki 🙌

Bado Kuna chawa humu wapuuzi sana
 
Chivalo kuingia Ikulu haoni shida hoja za muhimu zikiletwq humu anafungia JF
 
Kuna mtu alisema Chivalo diligence zake za silaha haramu.Wiki chache zilizopita Mange alisema Abdu aliingiza content la silaha... nakonekt dots
 
Kwa mujibu wa Prof Kabudi P.A.M '' Rais ni symbol ya Taifa. Wapambe ni wake ni Wanajeshi wakionyesha huyu ndiye''.

Sikumbuki Picha ya Rais mwingine ndani ya Ikulu zenye utata kama ya Tipwatipwa.
Watanzania hawamchukii Tipwatipwa, wanachukizwa na picha zenye ''symbol ya Taifa'' kuwa kama zinavyoonekana

Sikumbuki picha za Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Ngosha Magu zinazoonyesha mtu au watu wakiJInafasi mbele ya bendera za Taifa na Rais. Wanaofika Ikulu huelezwa protocol ! Tipwatipwa anajiachia kama yupo kwake ! too low
Idara ya Usalama, Mawasiliano Ikulu na Habari zipo wapi? Kipi JF imekifanya cha kuangushiwa zigo la siku 90!!
Ikiwa picha ni mbaya, Idara ya uslama ilikuwa wapi kuzuia mapema! kumuonya Tipwtipwa etc!

Madai ya Bentley, Ferrari, RR, Bugatti n.k. yanayohitaji kujibiwa na wahusika. Kununua hizo lazima mtu na source nyingine si mshahara wa serikali au Familia ya Kiongozi.

Viongozi husika watoke kueleza ni njia zipi zinazowapa kipato cha ziada cha kununua gari hizo, wasipofanya hivyo siku wakiambiwa wanamiliki Boeing na Chopper hawatakuwa na uhalali wa kutoa ufafanuzi.
Wakisema hawamiliki Boeing au Chopper, wataulizwa Bugatii, Bentley, Ferrari ! je! hii habari haitazimika

Kwamba Ngosha alikuwa clean ni jambo ''debatable'' . Kila mmoja abebe mzigo wake, hatuwezi kusema kashfa za ngosha zinahalalisha manunuzi ya Bugatti. Lakini pia hatuwezi kusema Ngosha alikuwa clean!
Kuna pesa za bargaining, kuna Bilioni 70 zilizopelekwa Mwanza, kuna 1.5 T haijulikani etc hakuna aliyefanya naye kazi aliyetolea ufafanuzi au kukanusha!

JokaKuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…