Jiwe alifanya yafuatayo:-Wewe unajulikana kuwa unachuki binafsi sijui Magufuli alikufanya Nini si kwa chuki ulionayo kwake
Ukiona mtu anatumia nguvu kubwa ya maneno badala ya facts huyo ni mropokaji plus mjanjamjanjaNyie wapumbavu mkiambiwa mlete ushahidi mnaanza kuleta maneno yenu ya taarabu
Bahati mbaya Huna ushahidi kwahiyo maneno yanabaki kuwa udakuJiwe alifanya yafuatayo:-
1. Aliua akina Ben Sa8, Azory Gwanda, n.k. Dikteta huyu.
2. Alimpiga risasi 16 Lisu na akagoma kumtibia, akamnyima stahiki zake na kukataza viongozi kwenda kumuona Nairobi. Kisha akamfuta na ubunge. Mwanaizaya huyu.
3. Aliwanyima nyongeza za mishahara wafanyakazi pamoja na salary increments kwa miaka 5 mfululizo. Mjinga huyu.
4. Alibomoa nyumba za watu wa Kimara na Kivule kwakuwa tu walikuwa wanaunga mkono upinzani. Mshenzi huyu.
5. Alipora fedha za wafanyabiashara benki na kuwafilisi. Mpuuzi huyu.
6. Alikataza mikutano ya hadhara kwa vyama vya upinzani na akapora uchaguzi na kuwanunua wabunge wa upinzani kwa vitisho. Na siku ya uchaguzi alizima mtandao. Mpumbavu huyu.
Haya ni machache tu. Sijaongelea madhira ya wakulima, watu kukutwa kwenye viroba na kupora fedha za kwenye maduka ya kubadilishia fedha za kigeni pamoja na kutukana watu matusi hadharani.
Tangu 2015 Tanzania haijawahi kuwa na rais.
Tupe ushahidi wa haya ya mauaji.Jiwe alifanya yafuatayo:-

Bonge ameikumbatia "serikali" kabisa kama mali yakeWhat the helly JF massive?
Naona kama vile tunarudi nyuma kitaifa.
Hivi ni mimi tu au na nyie mnaona kama nionavyo mimi?
Endapo kama taarifa zote za kuuhusu ufisadi wa serikali iliyopo ni za kweli, ndo basi tena. Hatuna nchi.
Kilichopo ni personal fiefdom ya Samia and Co.
Mpaka kufikia 2030, chochote kidogo kilochobaki, hakitakuwepo tena.
Sikumbuki kabisa kipindi cha Magufuli kuona magari ya kifahari yanayohusishwa moja kwa moja na mtoto wa Rais na genge lake.
Sikumbuki kabisa kuwaona watoto wa Magufuli wakituhumiwa kusukuma ndinga za bei mbaya.
Kama ilitokea, basi nilipitwa. Au labda walikuwa wanaendesha kwa siri sana.
Ma RR, Ferrari, Bugatti, na kadhalika, yote hayo yanahusishwa na watu wa karibu sana na Samia!
Watu walio na makandokando ya ufisadi, Samia anawakaribisha sebuleni kwake halafu anakumbatiana nao, wanapiga na picha na kuzirusha kwenye mitandao.
Baadhi ya hizo picha zinalionyesha hilo li Zimbabwe likiwa limejiachia kwa raha utadhani lipo nyumbani kwake.
Magufuli naye alituhumiwa kwa mambo ya ufisadi, lakini mimi mpaka leo hii, sijawahi kuona ushahidi wowote ule ulio tangible.
Sijawahi kumwona Jesca Magufuli akiendesha Ferrari.
Sijawahi kumwona yule wa kiume, kaka yake na Jesca, akiendesha Bentley.
Hivi, huyu tipwatipwa wa Kizimbabwe angethubutu kweli kwenda nyumbani kwa Magufuli na kujiachia na kujitanua kama alivyofanya sebuleni kwa Samia?
Mambo kama haya kwa nini hatukuyaona wakati Magufuli akiwa Rais?
Kwa nini sasa hivi yameshamiri?
Hayo magari ya kifahari anayoyamiliki Abduli, kwa nini hatukuyaona kipindi mamake akiwa makamu wa Rais?
Kayanunua ndani ya hii miaka 4 ya mamake kuwa Rais?
Kidogo kidogo Ngosha mtamuelewa tu.
Alikuwa na mapungufu mengi.
Lakini naamini kabisa moyo wake na dhamira yake vilikuwa vimelenga pazuri.
Hii contrast iliyopo sasa hivi kati ya Samia na Magufuli, inaongea mengi sana.
watu wana chuki zao tu, ukweli hatuoni huo utajiri wa Magu waka Watoto wake, pesa hazijifichi aiseeSasa kama baba alikuwa frugal, alikuwa anapiga ili iweje sasa?
kabisa π―Assad Sasa hivi umemskia huyo nae wanamtandao walimtumia kama waliweza kumtumia Lissu bila kujua Magufuli tukubali tukae alikua ni Rasi ambae aliekua anajua nachokifanya Magufuli angekua na Uchafu na kwasaa polepole alivyowakaba kooni Uchafu wa Magu ungekua wazi
Binafsi nimekosa iman siasa za mlengo wa kulia, Wanasiasa wenye mrengo kwa nchi yetu wamekuwa na record ya wizi na ufisadi wa mali za umma, uzalendo wao ni wakutilia mashakha kwakweli! Kwa bahati mbaya wale wenye mrengo wa kushoto mara nyingi waliitwa madidkteta! Ila ki ukweli Ubepari na wizi havitangamani.Hii contrast iliyopo sasa hivi kati ya Samia na Magufuli, inaongea mengi sana.
Hakuna kitu kama hicho ilikua zamaniYaani nashindwa kuelewa.
Ikulu hawafanyi background checks?
Tafisri yako ya kucheka ni nini?Wewe kinachokuuma hasa ni nini? Mtoto wa Rais kusukuma ndinga kali? Jeska Magufuli aliposema kwenye interview kuwa Babaake Mwamba alimnunulia IST kwanini mlicheka? Watu maskini kama ninyi hata hamjui mnataka nini?
Swali lilikuwa huo utajiri wa Ridione ullisha baada ya 2015? Yale mahotel na sheli bado ni yake? Kwani Mwinyi hukusikia tuhuma dhidi ya familia yake? JPM tuhuma kwa familia yake hukusikia wewe? au umesahau?Why Ridhiwani? Why Abdul? Hata Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Magufuli walikuwa na watoto!
Utajiri unaopatikana kwa style hiyo sio sustainable. Hakuna financial discipline na wenyewe hawana business acumen. Wanachoweza ni kutumia vibaya nafasi walizonazo katika utumishi wa umma. Ukiwakatia mirija utajiri wao unayeyuka kama mshumaa!Swali lilikuwa huo utajiri wa Ridione ullisha baada ya 2015? Yale mahotel na sheli bado ni yake? Kwani Mwinyi hukusikia tuhuma dhidi ya familia yake? JPM tuhuma kwa familia yake hukusikia wewe? au umesahau?
Hapana! watu hawana chuki wana hoja. Matokeo ya kutotoa ufafanuzi wa jambo ndiyo yanayoonekanawatu wana chuki zao tu, ukweli hatuoni huo utajiri wa Magu waka Watoto wake, pesa hazijifichi aisee
Na huyu mama anajimwambafai sana.What the helly JF massive?