Kama ni gari ya chini kwa Mzee Mwinyi, kwanini isiwe IST au Fun Cargo za bei rahisi?

Nyie mataga mbona hamlalamiki wakurugenzi 160 nchi nzima kununua magari ya 300 mpaka 450 .milioni !!?? Mwacheni mama kazi iendelee
 

..nyumba zinapaswa kuwa mali ya SERIKALI.

..magari pia yanapaswa kuwa mali ya SERIKALI.

..sheria ilikosea kutamka kuwa wastaafu watajengewa nyumba ziwe mali zao BINAFSI.

cc Nguruvi3, Pascal Mayalla, Chige
Sasa tutahudumia nyumba ngapi za serikali? Ikulu ipo kila mkoa ndio nyumba ya Ria's akiwa madarakani na ikulu kuu ipo Tena sasa tunazo ikulu kuu mbili.

Wacheni wapewe nyumba na magari bana
 
sina cha kuongeza, umemaliza kila kitu. yule mzee issue ya january alionesha mapungufu makubwa
 
Bwashee umezaliwa mwaka gani?

Nyerere alimnyima Mwinyi uenyekiti?!!!
Tusaidie mkuu, mm sikuwepo kiukweli. Lkn naambiwa mzee Mwinyi ndiye rais pekee ambaye hakuwa mwenyekiti wa chama. (Sikubishii mkuu kama naeleza nilichosimuliwa).

Inasemekana hata kuna vikao vya chama Nyerere alikuwa na uwezo wa kusema "naomba John (waziri mkuu enzi za Mwinyi)" atoke humo kabla sijaingia. Yasemekana hii iliwezekana kwasabb Nyerere alikuwa mwenyekiti.

(Sina hakika lkn mkuu)
 
Hakuwa na tamaa hata Nyerere walitaka kumjengea nyumba kubwa ya ghorofa Butiama akawaambi yeye sio tembo.
Nyerere alikaa madarakani 26 yrs nadhani unakosea kumlinganisha na president wa Uruguay.
 
Mzee Mwinyi ni Chuma kigumu, hivyo vitu vigumu vyenye asili kama aliyonayo ndivyo umfuata -(Marcedesi-Benz), hivyo vyuma vingine chakavu ni vya kina sisi kina Chid -Benz.
 
..nyumba zinapaswa kuwa mali ya SERIKALI.

..magari pia yanapaswa kuwa mali ya SERIKALI.

..sheria ilikosea kutamka kuwa wastaafu watajengewa nyumba ziwe mali zao BINAFSI.

cc Nguruvi3, Pascal Mayalla, Chige
JK,

Ingekuwa hivyo wala tusingepiga kelele, kinyume chake mimi wala sioni mantiki ya hizo nyumba!!

Anyway, nafahamu wapo wanaojaaliwa umri mrefu kama Mzee Mwinyi kiasi kwamba lau kama angekuwa amejengewa, let's say, by 2000, tungesema angekuwa ameishi kwenye hiyo nyumba kwa miaka 20 hivi sasa, and counting!!

Kinyume chake, naziona hizi nyumba ni kana kwamba wanajengewa watotokama sio wajukuu wa marais badala ya kujengewa marais!!

Nashindwa kuelewa Serikali ya Mkapa ilitumia busara ipi kuanzisha hii sheria... si ajabu walitumia excuse ya Mwalimu ambapo JKT wakalazimika kwenda kumjengea nyumba Butiama ingawaje mwenyewe hakufurahishwa na hilo jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…