Kama ni kweli, basi comrade Kinana amepuuzwa!

Yupo Mombasa kwenye harusi ya ndugu yake siku ya ijumaa tarehe 05/5/2017. Subiri utamuona tena hapa jijini Dar.
 
Upinzani unaojadili maisha binafsi ya wengine, kupenda kufanya maonyesho na matangazo kwa magonjwa ya wengine, badala ya hoja ni wa ovyo. Mlitaka kumwona mh Kinana akisaidiwa kushuka ngazi za ndege,au akitembelea mkongojo au mlitaka ni ni?
 
Unamzungumzia yule aliyetumwa India kwa MATIBABU???
 
Upinzani unaojadili maisha binafsi ya wengine, kupenda kufanya maonyesho na matangazo kwa magonjwa ya wengine, badala ya hoja ni wa ovyo. Mlitaka kumwona mh Kinana akisaidiwa kushuka ngazi za ndege,au akitembelea mkongojo au mlitaka ni ni?
Kwani aliye kwambia Duniani tutakaa milele nani? Kwanza tumewaona wangapi wakisaidiwa? Alisaidiwa Nyerere, Kawawa na bado hatukushangaa? Je, kwenda kumjulia hali nako kuna tatizo gani? Au nako ataonekana anasaidiwa kufunikwa shuka. Kama kuna kitu kita julikana tu ! It is a matter of time.
 
Msianze uzushi kama ilivyokuwa kwa mkuu wa majeshi aliyepita. Mlianza hivi hivi! Hivi Hanna kazi za kufanya? Huu ni umbea wa mchana kweupee!!.
 
Mwishoni ataomba kujiuzulu kutokana na "kuugua" na sii gadhabu zake za Nape kuonewa! Just thinking quietly!
 
"chura anapenda maji,lakini si ya moto".
 
Msianze uzushi kama ilivyokuwa kwa mkuu wa majeshi aliyepita. Mlianza hivi hivi! Hivi Hanna kazi za kufanya? Huu ni umbea wa mchana kweupee!!.
Muhimu jibu hoja, hii post haina uhusiano wowote na post yoyote ya siku za nyuma. Najiuliza hivi inawezekana Mheshimiwa Kinana atoke kwenye Matibabu halafu Jakaya asiende kumjulia hali? Lazima kuna kitu tofauti.
 
I used to think that you were probably prudent and brilliant enough, I didn't know if you're such a stupid, who honors his daftness to the extent that you sit outside the devilish Lumumba doors to eat the crumbs given to you by your masters, who hired you for social networks propaganda, if you failed to labor in the US for your daily and your toddlers, how will you look after your family by being fed by the condemned bread from dirty hands?
 
Ukitaka kufanya ishu kama hizi zinazoendelea sifa moja kubwa lazima uwe smart! Usibakize chembe ya shaka! They are not smart in anything!
 
Mbona sioni tatizo lolote....

Mmeumbuka kwenye ndege na huyo mpiga picha wenu sasa mmeibuka na non issue kuhusu mzee Kinana....

Bado nacheka kuhusu mpiga picha Woody....😀
Nyani katika ubora wake
 
Jamaa yenu haaminiki.. Kawaacha kwenye mataa... Ndo mkome kujipitishia watu bila hata kujua historia yake... Mlijifanya kwa vile ni mwanagamba mwenzenu.... Mdhibitini sasa mwone......
 
So clichéd!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…