Kama ni kweli, basi comrade Kinana amepuuzwa!

Kama ni kweli, basi comrade Kinana amepuuzwa!

Alivyoondoka kwenda kwenye matibabu ukimuona? Au ulipewa taarifa tu?
Kama aliondoka bila kuagwa na viongozi wa chama chake na amerudi bila kupokelewa na kiongozi hata mmoja wa chama chake basi amepuuzwa ! Ndio nimeamini Duniani tenda wema uende zako! Kawatengenezea njia wamemwacha anajiuguza peke yake.

Jifunzeni kitu kwa CHADEMA, angalia Lema alivyo kuwa anafarijiwa alipo kuwa gerezani, angalia Mheshimiwa Mbatia alivyokuwa anafarijiwa wakati anaumwa! Mheshimiwa Heche kila Wakati ana wabunge na wanachama kibao pembeni ya kitanda chake wakimfariji.
 
Habari wanajamvi!
Sijaamini maneno ya msemaji wa chama cha Mapinduzi labda nitaaminishwa baadae. Kwa maneno yake Katibu mweneze anasema ni kweli mwanasiasa nguli na Katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi comrade Alhajji Abdulrahman Kinana alikuwa anaumwa, na alipelekwa nje ya Nchi kwaajili ya matibabu,lakini kwa sasa amerudi yupo Nchini anapumzika nyumbani kwake! Hajafafanua kama ni Dar es salaam au Arusha. Nikajiuliza maswali yafuatayo;

. Hivi inawezekana kweli Katibu Mkuu wa chama arudi kutoka kwenye matibabu halafu asipokelewe na
Mtu yeyote pale Airport? Hata ndugu zake hawakwenda kumlaki? Yaani asionekane na mwandishi wa
habari hata mmoja?

. Tuseme yupo nyumbani kweli anaendelea kupumzika baada ya matibabu na huenda ana ED za miezi
miwili au mitatu, lakini hakuna hata mtu mmoja alie kwenda kumpa pole? Yaani hata katibu mwenezi
Naibu katibu mkuu hawajaenda kumpa pole!

. Yaani hata viongozi wote wanao julikana kwa uungwana wao wa asili kama Mbowe, Maalimu Seif, n.k
Hawajaenda kumjulia hali? Nini kimetokea?

Ndio maana nikaishia kusema kama ni kweli kuwa Comrade Alhajji Abdulrahmani Kinana amerudi yuko nyumbani na hakuna mtu hasa wanao penda kuonekana kwenye vyombo vya habari, basi ni dhahiri ndugu yetu amedharauliwa na kupuuzwa.

Binafsi naomba wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari kampeni pole kwa niaba yangu.
Wakati anaondoka, alikuwepo nani airport kumuaga? Hao waandishi uchwara wenyewe taarifa za Komredi kwenda kutibiwa waliambiwa na Rais Magufuli na kurudi kwake wameambiwa na Mwenezi Polepole. Shida nini?
 
Ndio tatizo lipo hapo! Kama ungekuwa umesoma saikolojia ungejua kuwa Polepole amedanganya. Akiwa ana sema kitu cha kweli kutoka moyoni mwake lile siyo pozi lake kabisa.
 
Alikuaga wakati anaondoka?

Alikuwa anakutaarifu yanayojiri huko alipokuwepo?

Katibu mkuu wa CHADEMA huwa anakuaga wakati akisafiri na huwa anakutaarifu anaporejea?

Kama Kinana alikuwa huko alikokuwa kama mtu binafsi na si kama katibu mkuu wa chama wewe inakuhusu nini kujua kama karejea au la?

Yaani mnatafuta kila aina ya vijisababu tu ili mumseme rais Magufuli.....

Btw, mpiga picha Woody hajatoa tu tweet ingine?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli huko ulikokuwa kumebana!
Tangu lini wewe ukawa pro CCM?

Kweli Magufuli kasomesha watu namba!
 
Jaman kama katibu amekuja haliyake haijaricover apokelewe2 na wa2 kunahali pia yamgonjwa inayoruhusu kupokelewa nawatu mtoa hii mada labda atufafanulie alitakaje nakwann nakwafaidagan kwahicho alichokitaka
 
only in TZ...mtu hakuwepo eneo la tukio..lakini anasimulia habar kwa weled level ya PHD..nadhan amerud kama alivyoondoka maana taarifa tuliipata kwa JPM "Kinana nimemtuma kwenda kutibiwa" kwaio hili bandiko lako hoji kwa JPM kwanini hajatoa taarifa..pia maswali yako yapo personal sana hayo majina uliyotaja ungewauliza.

hivi safar ya katibu inaengeza pato la nchi eeeh?
 
Alikuaga wakati anaondoka?

Alikuwa anakutaarifu yanayojiri huko alipokuwepo?

Katibu mkuu wa CHADEMA huwa anakuaga wakati akisafiri na huwa anakutaarifu anaporejea?

Kama Kinana alikuwa huko alikokuwa kama mtu binafsi na si kama katibu mkuu wa chama wewe inakuhusu nini kujua kama karejea au la?

Yaani mnatafuta kila aina ya vijisababu tu ili mumseme rais Magufuli.....

Btw, mpiga picha Woody hajatoa tu tweet ingine?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nyani Ngabu,
Lete hoja acha kutetea ubashite hapa!
Kinana ni KM wa CCM ni mtu mkubwa ndani ya chama, baada ya M/kiti Magufuli ni yeye! Haiwezekani Kinana aende na kurudi India kwa matibabu kimyakimya!
Ukweli lazima usemwe, kwamba ndani ya CCM kwa sasa kuna uasi na kumsusia Mwenyekiti hasa baada ya sakata la Bashite la kuvamia Clouds Media hadi kupelekea Nape Nnauye kuondolewa madarakani kwa kudhalilishwa!
Ikumbukwe kwamba Kinana na Nape ndo waliopigania kwa nguvu zote nchi nzima ili kuhakikisha Magufuli na CCM yake wanaingia Ikulu!
Kitendo cha Magufuli kumfuta kazi Nape huku akitishiwa kwa bastola na huku akiendelea kumlinda Paul Makonda kimewaudhi wana CCM wengi akiwemo KM Bwana Kinana! Hakuna siri na majibu yake ni 2020 ndipo mtajua kama huu ni umbeya au ukweli!
 
Alikuaga wakati anaondoka?

Alikuwa anakutaarifu yanayojiri huko alipokuwepo?

Katibu mkuu wa CHADEMA huwa anakuaga wakati akisafiri na huwa anakutaarifu anaporejea?

Kama Kinana alikuwa huko alikokuwa kama mtu binafsi na si kama katibu mkuu wa chama wewe inakuhusu nini kujua kama karejea au la?

Yaani mnatafuta kila aina ya vijisababu tu ili mumseme rais Magufuli.....

Btw, mpiga picha Woody hajatoa tu tweet ingine?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha kutuzuga bwana hivi karibuni tu tumemuona mwenyekiti wa NCCR mzee Mbatia katoka kutibiwa kila siku tulikuwa tunaona picha zake humu watu wakienda kumsalimia pamoja na kuwa na wanachama wachache itakuwa Katibu wa CCM chama tawala na wanaoongoza kwa kupenda publicit na sifa ? Kama katelekezwa nakubali.
 
Muhimu jibu hoja, hii post haina uhusiano wowote na post yoyote ya siku za nyuma. Najiuliza hivi inawezekana Mheshimiwa Kinana atoke kwenye Matibabu halafu Jakaya asiende kumjulia hali? Lazima kuna kitu tofauti.

Hoja gani. Sasa hapo mtu ajibu. Mana hapo mtu na mahaba yake. Kama nyumba ndogo inamtafuta mume mwenye wake 20 kama King Mswati. Amesshau kuwa Mswati kila mwaka anatoa Bikra mpya. Hapo hakuna hoja kuna shauku mahabati. Ni kama mwanamke anayekwambi yule ex wangu simpendi. Ila namba hajafuta Ila Kasave simpendi. Na kila wakati anachungulia whats app yake Profile picture na Status. Kama yuko online au no. Na akiwa online saa sita usiku anasonya kwa Sauti ukimuuliza. Utaskia ya kuna Watu nawachukia basi tu. Dear. Najiskia mpka kichefuchefu. Tulale tu.
 
Jibu hoja ni kawaida kwa kiongozi wa ngazi ya juu kama KATIBU MKUU wa chama kurudi kimyakimya? Imeanza lini? Au nako ni kubana matumizi?

lini ashawahi kupokewa? weka picha za nyuma kama hizo, halafu kanuni zao zinasamaje? ibara gani?

ukijibu haya unakuwa umeondoa dhana ya umbea
 
Back
Top Bottom