Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lipo Nyani...mleta mada kalisema tatizo.Mbona sioni tatizo lolote....
Mmeumbuka kwenye ndege na huyo mpiga picha wenu sasa mmeibuka na non issue kuhusu mzee Kinana....
Bado nacheka kuhusu mpiga picha Woody....😀
Hee una akili weweHivi kumtuma mtu kwenda kutibiwa maana yake ni nini? Ina maana huyo mtu alikuwa hajui umuhimu wa tiba?
We mtoa mada ungetoka hospital hujarecover completely ungetaka makamera kwako?. Msipende kudandiadandia mambo bhana. Au basi mtumeni Woody akapige picha kwa juu pale kwa comrade
Tatizo lipo Nyani...mleta mada kalisema tatizo.
Kwanza karudi lini?
Alikuwa anaumwa nini?
India hospitali gani?
Utetezi wa kitoto hautakisaidia chama chenu. Ni sawa una kidonda badala ya kukitibu unakifunika na kinaendelea kuoza.Kwwni alipoondoka kwenda huko alikokwenda kulikuwapo waandishi wa habari na shamra shamra airport? Aliondoka kimya kimya na atarudi kimya kimya. Tena inawezekana akwa alisharudi zamani. Maana huko India situliambitu atakaa siku 12 tu. Si kila kitu ni siasa. Yaani hata ugonjwa nao imekuwa siasa. Ugonjwa unahusu yeye na watu wake wa karibu.
Huu ni umbea husiyokuwa na maana. Wewe unajuaje hakuna mtu aliyeenda kumwona au kila siku upo nyuma ya matako yake unawaangalia wanaokuja kumwona. Kama wewe ni mwanaume basi huna tofauti na shoga wale wambea na kama wewe ni Ke basi ni haki yako najua hapo umevaaa dera umbea kwa kwanda mbelee. Hizi ndo akili zetu watanzania tumebaki kuandika umbea na uchonganishi full stop.
How?Hizo habari kwamba yuko in house arrest tunaweza tukaziamin sasa
Kabisa! Haingii akilini Katibu Mkuu ametoka kwenye matibabu halafu ajiuguze peke yake kama yatima?mimi nawajua waunguana wengi ndani ya CCM wangekuwa wameshaenda kumjulia hali. Wote wasiende sawa, na mama mpenda watu Samia Suluhu Hassan asiende? Na Ever smiling JK asinde kumjulia hali rafiki yake wa miaka mingi? Basi CCM wameasisi utamaduni mpya kabisa Duniani.Hizo habari kwamba yuko in house arrest tunaweza tukaziamin sasa
Naona siku hizi umeamua kuweka akili yako mfuko wa kushoto,Mbona sioni tatizo lolote....
Mmeumbuka kwenye ndege na huyo mpiga picha wenu sasa mmeibuka na non issue kuhusu mzee Kinana....
Bado nacheka kuhusu mpiga picha Woody....😀
Absolutely! Hawezi kuwa yeye! Labda kama na yeye anatoka kabila pendwa maana wengi wamesilimu au kubatizwa kwa muda ili wapate mkate wao wa kila siku.Naona siku hizi umeamua kuweka akili yako mfuko wa kushoto,
Kama mtu anahoji issue sensitive halafu unacomment pumba, may be kuna wa lumumba anatumia account yako
Hicho ndicho kinacho tokea sasa! Kumbe ukamilifu unakwenda kutokea.ALLAH ni mjuzi....huyajuwa yaliyo mbele yetu na yaliyo nyuma yetu.
Kwa uwezo wake ALLAH anaweza tupiga upofu tukajichanganya nak kuharibu mambo huku tukidhani tuko sahihi.
Tumuombe ALLAH atusamehe makosa yetu.
UFALME ni wakwake tu na adhabu zake ni kali kwa wale wanaomdhihaki.Tumuogope yeye muumba wa nchi na mbingu na tumuombe atutangulie.Hicho ndicho kinacho tokea sasa! Kumbe ukamilifu unakwenda kutokea.
we jama hunaga akili bandera fuata upepoAlikuaga wakati anaondoka?
Alikuwa anakutaarifu yanayojiri huko alipokuwepo?
Katibu mkuu wa CHADEMA huwa anakuaga wakati akisafiri na huwa anakutaarifu anaporejea?
Kama Kinana alikuwa huko alikokuwa kama mtu binafsi na si kama katibu mkuu wa chama wewe inakuhusu nini kujua kama karejea au la?
Yaani mnatafuta kila aina ya vijisababu tu ili mumseme rais Magufuli.....
Btw, mpiga picha Woody hajatoa tu tweet ingine?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna kila dalili kuwa Mungu ametusikia! Yanayo fanyika bado kidogo kila mtu yatamchosha.UFALME ni wakwake tu na adhabu zake ni kali kwa wale wanaomdhihaki.Tumuogope yeye muumba wa nchi na mbingu na tumuombe atutangulie.