Kama ni kweli, basi comrade Kinana amepuuzwa!

Alivyoondoka kwenda kwenye matibabu ukimuona? Au ulipewa taarifa tu?
Kama aliondoka bila kuagwa na viongozi wa chama chake na amerudi bila kupokelewa na kiongozi hata mmoja wa chama chake basi amepuuzwa ! Ndio nimeamini Duniani tenda wema uende zako! Kawatengenezea njia wamemwacha anajiuguza peke yake.

Jifunzeni kitu kwa CHADEMA, angalia Lema alivyo kuwa anafarijiwa alipo kuwa gerezani, angalia Mheshimiwa Mbatia alivyokuwa anafarijiwa wakati anaumwa! Mheshimiwa Heche kila Wakati ana wabunge na wanachama kibao pembeni ya kitanda chake wakimfariji.
 
Wakati anaondoka, alikuwepo nani airport kumuaga? Hao waandishi uchwara wenyewe taarifa za Komredi kwenda kutibiwa waliambiwa na Rais Magufuli na kurudi kwake wameambiwa na Mwenezi Polepole. Shida nini?
 
Wakati anaondoka, alikuwepo nani airport kumuaga? Hao waandishi uchwara wenyewe taarifa za Komredi kwenda kutibiwa waliambiwa na Rais Magufuli na kurudi kwake wameambiwa na Mwenezi Polepole. Shida nini?
Ndio tatizo lipo hapo! Kama ungekuwa umesoma saikolojia ungejua kuwa Polepole amedanganya. Akiwa ana sema kitu cha kweli kutoka moyoni mwake lile siyo pozi lake kabisa.
 
Kweli huko ulikokuwa kumebana!
Tangu lini wewe ukawa pro CCM?

Kweli Magufuli kasomesha watu namba!
 
Jaman kama katibu amekuja haliyake haijaricover apokelewe2 na wa2 kunahali pia yamgonjwa inayoruhusu kupokelewa nawatu mtoa hii mada labda atufafanulie alitakaje nakwann nakwafaidagan kwahicho alichokitaka
 
only in TZ...mtu hakuwepo eneo la tukio..lakini anasimulia habar kwa weled level ya PHD..nadhan amerud kama alivyoondoka maana taarifa tuliipata kwa JPM "Kinana nimemtuma kwenda kutibiwa" kwaio hili bandiko lako hoji kwa JPM kwanini hajatoa taarifa..pia maswali yako yapo personal sana hayo majina uliyotaja ungewauliza.

hivi safar ya katibu inaengeza pato la nchi eeeh?
 

Nyani Ngabu,
Lete hoja acha kutetea ubashite hapa!
Kinana ni KM wa CCM ni mtu mkubwa ndani ya chama, baada ya M/kiti Magufuli ni yeye! Haiwezekani Kinana aende na kurudi India kwa matibabu kimyakimya!
Ukweli lazima usemwe, kwamba ndani ya CCM kwa sasa kuna uasi na kumsusia Mwenyekiti hasa baada ya sakata la Bashite la kuvamia Clouds Media hadi kupelekea Nape Nnauye kuondolewa madarakani kwa kudhalilishwa!
Ikumbukwe kwamba Kinana na Nape ndo waliopigania kwa nguvu zote nchi nzima ili kuhakikisha Magufuli na CCM yake wanaingia Ikulu!
Kitendo cha Magufuli kumfuta kazi Nape huku akitishiwa kwa bastola na huku akiendelea kumlinda Paul Makonda kimewaudhi wana CCM wengi akiwemo KM Bwana Kinana! Hakuna siri na majibu yake ni 2020 ndipo mtajua kama huu ni umbeya au ukweli!
 
Acha kutuzuga bwana hivi karibuni tu tumemuona mwenyekiti wa NCCR mzee Mbatia katoka kutibiwa kila siku tulikuwa tunaona picha zake humu watu wakienda kumsalimia pamoja na kuwa na wanachama wachache itakuwa Katibu wa CCM chama tawala na wanaoongoza kwa kupenda publicit na sifa ? Kama katelekezwa nakubali.
 
Muhimu jibu hoja, hii post haina uhusiano wowote na post yoyote ya siku za nyuma. Najiuliza hivi inawezekana Mheshimiwa Kinana atoke kwenye Matibabu halafu Jakaya asiende kumjulia hali? Lazima kuna kitu tofauti.

Hoja gani. Sasa hapo mtu ajibu. Mana hapo mtu na mahaba yake. Kama nyumba ndogo inamtafuta mume mwenye wake 20 kama King Mswati. Amesshau kuwa Mswati kila mwaka anatoa Bikra mpya. Hapo hakuna hoja kuna shauku mahabati. Ni kama mwanamke anayekwambi yule ex wangu simpendi. Ila namba hajafuta Ila Kasave simpendi. Na kila wakati anachungulia whats app yake Profile picture na Status. Kama yuko online au no. Na akiwa online saa sita usiku anasonya kwa Sauti ukimuuliza. Utaskia ya kuna Watu nawachukia basi tu. Dear. Najiskia mpka kichefuchefu. Tulale tu.
 
Jibu hoja ni kawaida kwa kiongozi wa ngazi ya juu kama KATIBU MKUU wa chama kurudi kimyakimya? Imeanza lini? Au nako ni kubana matumizi?

lini ashawahi kupokewa? weka picha za nyuma kama hizo, halafu kanuni zao zinasamaje? ibara gani?

ukijibu haya unakuwa umeondoa dhana ya umbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…