Kama ni kweli, basi comrade Kinana amepuuzwa!

Viongozi wa dini hebu ingilieni hili swala liishe mara moja.....mzaha mzaha uzaa usaa.
 
Kumbe jamaa karudi bongo???? Karibu aiseee ila timing inaweza kuwa sio nzuri sana
 
Wakati anaondoka, alikuwepo nani airport kumuaga? Hao waandishi uchwara wenyewe taarifa za Komredi kwenda kutibiwa waliambiwa na Rais Magufuli na kurudi kwake wameambiwa na Mwenezi Polepole. Shida nini?
Comrade Kinana hakwenda India kutibiwa. Yeye alitumwa kwenye matibabu India. Na iliandikwa FENT FORD kabisa kwenye magazeti..ALITUMWA kwenye matibabu India
 
[HASHTAG]#WapoWapiAkinaKinana[/HASHTAG]? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chezea hashtag wewe.
 
Mbona sioni tatizo lolote....

Mmeumbuka kwenye ndege na huyo mpiga picha wenu sasa mmeibuka na non issue kuhusu mzee Kinana....

Bado nacheka kuhusu mpiga picha Woody....😀
Fungua macho utaona tatizo.
Usipende kusoma kwa staili ya kufumba macho.
 
Kwa sasa ni ngumu sana kwa wanaCCM kufarijiana hasa kama wakijua anayehutaji faraja hana mahusiano mazuri na baadhi ya viongozi wenye 'say kubwa' ndani ya chama.

Msisahau dhahama ilotaka kuwapata waloenda kumuona Lema Kisongo.

Nyie vp???
 
Jibu hoja ni kawaida kwa kiongozi wa ngazi ya juu kama KATIBU MKUU wa chama kurudi kimyakimya? Imeanza lini? Au nako ni kubana matumizi?
alivoondoka mbona pia hamkusema kwanini ameondoka kimya kimya??mbona mbatia ameenda kutibiwa amerudi kimyakimya hakuna aliyehoji kama mnavohoji juu ya kinana??
 
Kwa sasa ni ngumu sana kwa wanaCCM kufarijiana hasa kama wakijua anayehutaji faraja hana mahusiano mazuri na baadhi ya viongozi wenye 'say kubwa' ndani ya chama.

Msisahau dhahama ilotaka kuwapata waloenda kumuona Lema Kisongo.

Nyie vp???
Wana ccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete .
 
Piga chini Kinana weka Mzee Waupako nacheka saanaaa!
 
Ndiyo maana Wanawake siku hizi wanalalamika wanakosa Wanaume wa kuwaoa, na walioolewa wanatembea nje kwa sababu Wanaume ni kama Wanawake na wewe ni mmoja wapo, nina uhakika ni lazima Mwanamke wako kama bado bado yuko na wewe basi anachepuka, Wanawake hawapendi Wanaume suruali, yaani wanaume wenye mambo ya Kimbea, Majungu na Fitina, you suck!
 
kaka bila fitna nchi hii huwezi piga hatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…