Haiku
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 2,915
- 2,050
Nimekusoma mkuu.Kichwa Changu cha Habari umekielewa vyema lakini? Mtu akisema ' Kama ni Kweli ' Wewe hapo kwa Akili yako unajua amemaanisha nini labda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekusoma mkuu.Kichwa Changu cha Habari umekielewa vyema lakini? Mtu akisema ' Kama ni Kweli ' Wewe hapo kwa Akili yako unajua amemaanisha nini labda?
Ulichoandika ni upuuzi uliotukuka,mfano asingejitosa Kigamboni na akaendelea na u RC ungeandika nini?Sasa ni rasmi kuwa ' Hesabu ' za nyingi kwa ' Mpuuzi ' Mmoja ' Kumalizwa ' kabisa na Umaarufu wake unaenda ' Kuzimika ' ghafla ndani ya nchi ya Tanzania na kubakia Mtu wa Kawaida sana tena pengine hata Mimi ' Popoma ' GENTAMYCINE nitamzidi Umaarufu kwani ukiwa ' Maarufu ' tu JamiiForums hapa jua umeshakuwa ' Nguli ' ndani ya Mioyo ya Watanzania hata Milioni 30 hapo.
Unaambiwa ' Mkakati ' ulianzia mbali sana na Siku nyingi mno baada ya Mtu huyo ambaye namuita Mpuuzi kuweza ' Kuchokwa ' si tu na Taasisi ' Nyeti ' ambazo zimekuwa zikimsaidia Kazi ' Mteule ' waka bali hata ' Mteule ' wake nae alikuwa si tu ' ameshamchoka ' bali ' amekinaiwa ' nae na alibakiza tu ' Kumtapika ' ili apumzike kama alivyofanya hivi Majuzi.
Alitafutwa Mtu ( tena Rafiki yake wa karibu ) na Mpuuzi ili ampe ' Bichwa ' kuwa ' anakubalika ' huko ' alikojitosa ' kwenye Fukwe zenye ' Ustaarabu ' mwingi Dar es Salaam nzima ili tu ' Mteuwaji ' wake apate sababu ya ' Kimsingi ' kabisa ya ' Kumtapika ' mazima mazima kama alivyofanya na unaambiwa hakuna Wiki ambayo Mteuwaji ' amepumua ' na ana ' furaha ' kama hii.
Ili ' Kummaliza ' kabisa Mpuuzi huyo Kinachoenda Kufanyika Kwake huko ' Ufukweni ' alikokimbilia ni kwamba ile Kamati ya ' Roho Mbaya ' ndani ya Chama chake imeshapewa ' Maagizo ' makubwa kuwa wahakikishe ' Wanamlima ' Mtu mapema kabisa ambapo tayari kuna Mtu ameshaandaliwa huko japo Mpuuzi ' anajiaminisha ' kuwa atapita tu kwakuwa na ' Pesa ' nyingi za Dhuluma.
Ama hakika sasa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE naamini rasmi kuwa Wahenga hawakukosea waliposema LENYE MWANZO LINA MWISHO.
Kama ni kweri mungu yupo nasi, yaani mie hasira zangu uwa nammalizia RIZIIMOKO kwa kumfagilia kwa mshua kipindi cha dirisha dogo la lala salamaa pande za matejaa, nadhani mpaka leo Prince anajuta kumfahamu.Sasa ni rasmi kuwa ' Hesabu ' za nyingi kwa ' Mpuuzi ' Mmoja ' Kumalizwa ' kabisa na Umaarufu wake unaenda ' Kuzimika ' ghafla ndani ya nchi ya Tanzania na kubakia Mtu wa Kawaida sana tena pengine hata Mimi ' Popoma ' GENTAMYCINE nitamzidi Umaarufu kwani ukiwa ' Maarufu ' tu JamiiForums hapa jua umeshakuwa ' Nguli ' ndani ya Mioyo ya Watanzania hata Milioni 30 hapo.
Unaambiwa ' Mkakati ' ulianzia mbali sana na Siku nyingi mno baada ya Mtu huyo ambaye namuita Mpuuzi kuweza ' Kuchokwa ' si tu na Taasisi ' Nyeti ' ambazo zimekuwa zikimsaidia Kazi ' Mteule ' waka bali hata ' Mteule ' wake nae alikuwa si tu ' ameshamchoka ' bali ' amekinaiwa ' nae na alibakiza tu ' Kumtapika ' ili apumzike kama alivyofanya hivi Majuzi.
Alitafutwa Mtu ( tena Rafiki yake wa karibu ) na Mpuuzi ili ampe ' Bichwa ' kuwa ' anakubalika ' huko ' alikojitosa ' kwenye Fukwe zenye ' Ustaarabu ' mwingi Dar es Salaam nzima ili tu ' Mteuwaji ' wake apate sababu ya ' Kimsingi ' kabisa ya ' Kumtapika ' mazima mazima kama alivyofanya na unaambiwa hakuna Wiki ambayo Mteuwaji ' amepumua ' na ana ' furaha ' kama hii.
Ili ' Kummaliza ' kabisa Mpuuzi huyo Kinachoenda Kufanyika Kwake huko ' Ufukweni ' alikokimbilia ni kwamba ile Kamati ya ' Roho Mbaya ' ndani ya Chama chake imeshapewa ' Maagizo ' makubwa kuwa wahakikishe ' Wanamlima ' Mtu mapema kabisa ambapo tayari kuna Mtu ameshaandaliwa huko japo Mpuuzi ' anajiaminisha ' kuwa atapita tu kwakuwa na ' Pesa ' nyingi za Dhuluma.
Ama hakika sasa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE naamini rasmi kuwa Wahenga hawakukosea waliposema LENYE MWANZO LINA MWISHO.
Atemwe tu maana Ben Saanane alikuwa na familia na wazazi pia wote wanalia kwa huzuni kuu Sasa hivi(R.I.P),Roma ndo bado anaogopa kabsa kurudi Tz.Sasa ni rasmi kuwa ' Hesabu ' za nyingi kwa ' Mpuuzi ' Mmoja ' Kumalizwa ' kabisa na Umaarufu wake unaenda ' Kuzimika ' ghafla ndani ya nchi ya Tanzania na kubakia Mtu wa Kawaida sana tena pengine hata Mimi ' Popoma ' GENTAMYCINE nitamzidi Umaarufu kwani ukiwa ' Maarufu ' tu JamiiForums hapa jua umeshakuwa ' Nguli ' ndani ya Mioyo ya Watanzania hata Milioni 30 hapo.
Unaambiwa ' Mkakati ' ulianzia mbali sana na Siku nyingi mno baada ya Mtu huyo ambaye namuita Mpuuzi kuweza ' Kuchokwa ' si tu na Taasisi ' Nyeti ' ambazo zimekuwa zikimsaidia Kazi ' Mteule ' waka bali hata ' Mteule ' wake nae alikuwa si tu ' ameshamchoka ' bali ' amekinaiwa ' nae na alibakiza tu ' Kumtapika ' ili apumzike kama alivyofanya hivi Majuzi.
Alitafutwa Mtu ( tena Rafiki yake wa karibu ) na Mpuuzi ili ampe ' Bichwa ' kuwa ' anakubalika ' huko ' alikojitosa ' kwenye Fukwe zenye ' Ustaarabu ' mwingi Dar es Salaam nzima ili tu ' Mteuwaji ' wake apate sababu ya ' Kimsingi ' kabisa ya ' Kumtapika ' mazima mazima kama alivyofanya na unaambiwa hakuna Wiki ambayo Mteuwaji ' amepumua ' na ana ' furaha ' kama hii.
Ili ' Kummaliza ' kabisa Mpuuzi huyo Kinachoenda Kufanyika Kwake huko ' Ufukweni ' alikokimbilia ni kwamba ile Kamati ya ' Roho Mbaya ' ndani ya Chama chake imeshapewa ' Maagizo ' makubwa kuwa wahakikishe ' Wanamlima ' Mtu mapema kabisa ambapo tayari kuna Mtu ameshaandaliwa huko japo Mpuuzi ' anajiaminisha ' kuwa atapita tu kwakuwa na ' Pesa ' nyingi za Dhuluma.
Ama hakika sasa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE naamini rasmi kuwa Wahenga hawakukosea waliposema LENYE MWANZO LINA MWISHO.
Ameen. Hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho.Sasa ni rasmi kuwa ' Hesabu ' za nyingi kwa ' Mpuuzi ' Mmoja ' Kumalizwa ' kabisa na Umaarufu wake unaenda ' Kuzimika ' ghafla ndani ya nchi ya Tanzania na kubakia Mtu wa Kawaida sana tena pengine hata Mimi ' Popoma ' GENTAMYCINE nitamzidi Umaarufu kwani ukiwa ' Maarufu ' tu JamiiForums hapa jua umeshakuwa ' Nguli ' ndani ya Mioyo ya Watanzania hata Milioni 30 hapo.
Unaambiwa ' Mkakati ' ulianzia mbali sana na Siku nyingi mno baada ya Mtu huyo ambaye namuita Mpuuzi kuweza ' Kuchokwa ' si tu na Taasisi ' Nyeti ' ambazo zimekuwa zikimsaidia Kazi ' Mteule ' waka bali hata ' Mteule ' wake nae alikuwa si tu ' ameshamchoka ' bali ' amekinaiwa ' nae na alibakiza tu ' Kumtapika ' ili apumzike kama alivyofanya hivi Majuzi.
Alitafutwa Mtu ( tena Rafiki yake wa karibu ) na Mpuuzi ili ampe ' Bichwa ' kuwa ' anakubalika ' huko ' alikojitosa ' kwenye Fukwe zenye ' Ustaarabu ' mwingi Dar es Salaam nzima ili tu ' Mteuwaji ' wake apate sababu ya ' Kimsingi ' kabisa ya ' Kumtapika ' mazima mazima kama alivyofanya na unaambiwa hakuna Wiki ambayo Mteuwaji ' amepumua ' na ana ' furaha ' kama hii.
Ili ' Kummaliza ' kabisa Mpuuzi huyo Kinachoenda Kufanyika Kwake huko ' Ufukweni ' alikokimbilia ni kwamba ile Kamati ya ' Roho Mbaya ' ndani ya Chama chake imeshapewa ' Maagizo ' makubwa kuwa wahakikishe ' Wanamlima ' Mtu mapema kabisa ambapo tayari kuna Mtu ameshaandaliwa huko japo Mpuuzi ' anajiaminisha ' kuwa atapita tu kwakuwa na ' Pesa ' nyingi za Dhuluma.
Ama hakika sasa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE naamini rasmi kuwa Wahenga hawakukosea waliposema LENYE MWANZO LINA MWISHO.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kachukua ya vitu maalum kwa mara ya pili
Tatizo anakuherehere kupita kiasi mpaka anaingilia kazi za Mawaziri na hakuna anayemgusa.Hivi kwa Nini mnamchukia hivi Makonda? Huku mikoani mbona tunasikia anavyopambana kwa maslahi ya taifa? Au ndio mafisadi na wauza madawa ya kulevya Nini? Gentamicin please declare your interest in this! Otherwise atashinda Kigamboni mbakie na vidondatumbo! Watu wa Dar mbona walalamishi hivyo.. wanaume Kama majike!
Hivi kiherehere ndio Ile Tabia ya kujiongeza au, nifafanulie tafadhari!Tatizo anakuherehere kupita kiasi mpaka anaingilia kazi za Mawaziri na hakuna anayemgusa.
Fafanua tafadhali!Wewe unamsema huyo huyo unayemtetea ujue.
Unachangamsha kijiwe.uandishi mzuri
We jamaa bana yaani unaji quote mwenyewe na ku reply mwenyewe, unapata faida gani kwa mfanoShukran sana Mkuu na tupo pamoja Mmoja wa ' Geniuses ' wangu ninawaheshimu na kuwahusudu sana hapa Jamvini ( Jukwaani ) JamiiForums.
Mkuu GENTAMYCINE isije ukatafuta jinsi ya kumeza haya uliyoandika. Mimi huwa siamini matamshi ya wanasiasa hata siku moja. Yaani wanageuka kama lorry la Bedford. Ila ikiwa kweli ni safi sana sanaili akajifunze adabu na nidhamu.Sasa ni rasmi kuwa ' Hesabu ' za nyingi kwa ' Mpuuzi ' Mmoja ' Kumalizwa ' kabisa na Umaarufu wake unaenda ' Kuzimika ' ghafla ndani ya nchi ya Tanzania na kubakia Mtu wa Kawaida sana tena pengine hata Mimi ' Popoma ' GENTAMYCINE nitamzidi Umaarufu kwani ukiwa ' Maarufu ' tu JamiiForums hapa jua umeshakuwa ' Nguli ' ndani ya Mioyo ya Watanzania hata Milioni 30 hapo.
Unaambiwa ' Mkakati ' ulianzia mbali sana na Siku nyingi mno baada ya Mtu huyo ambaye namuita Mpuuzi kuweza ' Kuchokwa ' si tu na Taasisi ' Nyeti ' ambazo zimekuwa zikimsaidia Kazi ' Mteule ' waka bali hata ' Mteule ' wake nae alikuwa si tu ' ameshamchoka ' bali ' amekinaiwa ' nae na alibakiza tu ' Kumtapika ' ili apumzike kama alivyofanya hivi Majuzi.
Alitafutwa Mtu ( tena Rafiki yake wa karibu ) na Mpuuzi ili ampe ' Bichwa ' kuwa ' anakubalika ' huko ' alikojitosa ' kwenye Fukwe zenye ' Ustaarabu ' mwingi Dar es Salaam nzima ili tu ' Mteuwaji ' wake apate sababu ya ' Kimsingi ' kabisa ya ' Kumtapika ' mazima mazima kama alivyofanya na unaambiwa hakuna Wiki ambayo Mteuwaji ' amepumua ' na ana ' furaha ' kama hii.
Ili ' Kummaliza ' kabisa Mpuuzi huyo Kinachoenda Kufanyika Kwake huko ' Ufukweni ' alikokimbilia ni kwamba ile Kamati ya ' Roho Mbaya ' ndani ya Chama chake imeshapewa ' Maagizo ' makubwa kuwa wahakikishe ' Wanamlima ' Mtu mapema kabisa ambapo tayari kuna Mtu ameshaandaliwa huko japo Mpuuzi ' anajiaminisha ' kuwa atapita tu kwakuwa na ' Pesa ' nyingi za Dhuluma.
Ama hakika sasa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE naamini rasmi kuwa Wahenga hawakukosea waliposema LENYE MWANZO LINA MWISHO.
Hii elimu yetu hii ,sijui tufanyeje jamani? Unajua maana ya mstaafu wewe?Uwo ni uwoga c umtaje jina tuu kwamba uyo mtu unae mzungumzia ni Poul Makonda mkuu wa mkoa mstaafu wa DSM why unafichaficha????