Uchaguzi 2020 Kama ni kweli basi Kamati ya Roho Mbaya ya CCM hasa Jimbo la Kigamboni mkimaliza Kumlima Mtu mnione

Uchaguzi 2020 Kama ni kweli basi Kamati ya Roho Mbaya ya CCM hasa Jimbo la Kigamboni mkimaliza Kumlima Mtu mnione

Mkuu GENTAMYCINE isije ukatafuta jinsi ya kumeza haya uliyoandika. Mimi huwa siamini matamshi ya wanasiasa hata siku moja. Yaani wanageuka kama lorry la Bedford. Ila ikiwa kweli ni safi sana sanaili akajifunze adabu na nidhamu.

Hivi ni kwanini Watanzania ( Waswahili ) ni Wagumu Kuelewa Jambo? Hivi nimesema nina uhakika nalo au nimesema kama ni kweli? Mnanikera!!!!
 
Yahusu tuhuma za vyeti feeeeeeeki zinazomkabili huyo Bashiteeee a.k.a migulu baja
aupate tu huo ubunge kelele zipungue mjini bhana
 
Atapita usijipe presha Makonda lazima apite wajumbe wanamkubali wanajua akipita watakumbukwa .Makonda mtu wa shukrani.Kila mtu kwenye eneo lake ahakikishe Makonda anapita Kama anataka kukumbukwa .Kura zikienda ndivyo sivyo tusilaumiane mbeleni kuwa ohh Mimi nimesahaulika

Na wapinzani wake wacheza siasa za rafu wajue kwenye siasa Kuna kesho .Ukicheza rafu kesho yako ikiwa Giza usipige yowe

Angekua kweli ni mtu wa shukurani hasingethubutu kusimama hadharani na kumpakazia Rizwani kikwete kashfa ya kuuza madawa ya kulevya Huku akiwa hana ushaidi wa kutosha

Ikumbukwe Ridhwani ndio aliemuokota Makonda anatanga tanga UVCMM wakampa cheo

Sana sana akipita tusubili majigambo na mipasho
 
Hivi ni kwanini Watanzania ( Waswahili ) ni Wagumu Kuelewa Jambo? Hivi nimesema nina uhakika nalo au nimesema kama ni kweli? Mnanikera!!!!
Nami mwishoni nimesema kama ni kweli nitafurahi. Au hujanielewa?
 
Mie simuamini kbs jiwe, Bashite mwanakujipendekeza hawezi kutia nia Kigamboni bila kumshirikisha God Father!.

kifupi wanatuchezea shere, lao ni moja!.

itoshe tu kusema Bashite ni Mbunge MTEULE wa kigamboni!!!.
Na huu ndio ukweli mchungu na msema kweli siku zote ni mpenzi wa mungu!
 
Yaani huyo mtu alienda ugombea kigamboni atashinda kwa kishindo hamtaamini kama yanga ambavyo hawakuamini kupigwa goli nne na simba wiki jana
 
Figisu za uchaguzi ndani ya chama mbaya sana nadhani mnakumbuka kilichomkuta mzee sumaye ndani ya CHADEMA aliamini asilimia 100 anashinda ila kilichotokea hakuamini ndio kinaenda mtokea makonda

Askari tumepewa maelekezo maana maboss wake wanamjua ni kiburi kajawa na dharau kwaiyo akiona kura azitoshi ataanza vurugu kwaiyo tumeambiwa akileta vurugu tupige mpaka tumvunje miguu
Hii kali
 
Hata tabir zako za Simba kuifunga Yanga tareh 8 zilikuwa hivi hivi.Tangu pale sikuamin kabsa na mambo unayosema huwa ni vice versa.
 
Sasa ni rasmi kuwa ' Hesabu ' za nyingi kwa ' Mpuuzi ' Mmoja ' Kumalizwa ' kabisa na Umaarufu wake unaenda ' Kuzimika ' ghafla ndani ya nchi ya Tanzania na kubakia Mtu wa Kawaida sana tena pengine hata Mimi ' Popoma ' GENTAMYCINE nitamzidi Umaarufu kwani ukiwa ' Maarufu ' tu JamiiForums hapa jua umeshakuwa ' Nguli ' ndani ya Mioyo ya Watanzania hata Milioni 30 hapo.

Unaambiwa ' Mkakati ' ulianzia mbali sana na Siku nyingi mno baada ya Mtu huyo ambaye namuita Mpuuzi kuweza ' Kuchokwa ' si tu na Taasisi ' Nyeti ' ambazo zimekuwa zikimsaidia Kazi ' Mteule ' waka bali hata ' Mteule ' wake nae alikuwa si tu ' ameshamchoka ' bali ' amekinaiwa ' nae na alibakiza tu ' Kumtapika ' ili apumzike kama alivyofanya hivi Majuzi.

Alitafutwa Mtu ( tena Rafiki yake wa karibu ) na Mpuuzi ili ampe ' Bichwa ' kuwa ' anakubalika ' huko ' alikojitosa ' kwenye Fukwe zenye ' Ustaarabu ' mwingi Dar es Salaam nzima ili tu ' Mteuwaji ' wake apate sababu ya ' Kimsingi ' kabisa ya ' Kumtapika ' mazima mazima kama alivyofanya na unaambiwa hakuna Wiki ambayo Mteuwaji ' amepumua ' na ana ' furaha ' kama hii.

Ili ' Kummaliza ' kabisa Mpuuzi huyo Kinachoenda Kufanyika Kwake huko ' Ufukweni ' alikokimbilia ni kwamba ile Kamati ya ' Roho Mbaya ' ndani ya Chama chake imeshapewa ' Maagizo ' makubwa kuwa wahakikishe ' Wanamlima ' Mtu mapema kabisa ambapo tayari kuna Mtu ameshaandaliwa huko japo Mpuuzi ' anajiaminisha ' kuwa atapita tu kwakuwa na ' Pesa ' nyingi za Dhuluma.

Ama hakika sasa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE naamini rasmi kuwa Wahenga hawakukosea waliposema LENYE MWANZO LINA MWISHO.
Kaka duwa za kuku hazimpati Mwewe. Mlezi wa Wcb haepukiki tutake tusitake tupende tusipende lazima aingie bungeni. Ikitokea amechujwa njoo pm nikupe vocha ya buku
 
[emoji1666]
Mie simuamini kbs jiwe, Bashite mwanakujipendekeza hawezi kutia nia Kigamboni bila kumshirikisha God Father!.

kifupi wanatuchezea shere, lao ni moja!.

itoshe tu kusema Bashite ni Mbunge MTEULE wa kigamboni!!!.
 
Kaka gent kwa hili Sina imani nalo kabisa,..nnachoamini mpka Sasa Kaka mkubwa atalinyakua Jimbo..lile mapema Sana..na atakuwepo kwenye baraza la mawaziri msimu ujao..na hata Kama hatopita Basi anaweza akateuliwa..
✓isipokuwa hivyo,.nidai elfu kumi
 
Kiukweli kutoka ndani ya vilindi vya Moyo wangu nafarijika Sana kuona makonda anenda kuwa mbunge wangu na spika mpya wa bunge la Tz.
 
Hivi kwa Nini mnamchukia hivi Makonda? Huku mikoani mbona tunasikia anavyopambana kwa maslahi ya taifa? Au ndio mafisadi na wauza madawa ya kulevya Nini? Gentamicin please declare your interest in this! Otherwise atashinda Kigamboni mbakie na vidondatumbo! Watu wa Dar mbona walalamishi hivyo.. wanaume Kama majike!
Kama mtu anapewa uongozi wa mkoa tuu anakuwa na kauli za aina hii nawe bado ukampenda, basi tatizo sio yeye ila utakuwa wewe ambaye huchukizwi na ujinga, majivuno na kebehi.

 
Back
Top Bottom