Uchaguzi 2020 Kama ni kweli basi Kamati ya Roho Mbaya ya CCM hasa Jimbo la Kigamboni mkimaliza Kumlima Mtu mnione

Ulichoandika ni upuuzi uliotukuka,mfano asingejitosa Kigamboni na akaendelea na u RC ungeandika nini?
Thread za kuvizia matukio tu,huna lolote,
Magufuli amchoke Makonda halafu ashindwe kumtumbua ?
Ni nani alikwambia kuongoza kura za maoni ndio tiketi ya kupeperusha bendera ya chama kwa nafasi ya ubunge?
 
Bwana Makonda atapitishwa tu,sio size yako ni matawi ya juu.
Kwa utawala wa Magufuli, Bwana Makonda is above the law UNTOUCHABLE.
November utamsikia ni Waziri kwenye wizara nzito,huyo ndie Makonda hadi 2025.
 
Kama ni kweri mungu yupo nasi, yaani mie hasira zangu uwa nammalizia RIZIIMOKO kwa kumfagilia kwa mshua kipindi cha dirisha dogo la lala salamaa pande za matejaa, nadhani mpaka leo Prince anajuta kumfahamu.
 
Atemwe tu maana Ben Saanane alikuwa na familia na wazazi pia wote wanalia kwa huzuni kuu Sasa hivi(R.I.P),Roma ndo bado anaogopa kabsa kurudi Tz.
 
Ameen. Hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho.
 
Tatizo anakuherehere kupita kiasi mpaka anaingilia kazi za Mawaziri na hakuna anayemgusa.
 
Mara paap ametemwa Kigamboni, katika kutafuta faraja na kupunguza stress za uchaguzi anaamua kwenda nchi moja hivi visiwani bila kujua nchi hiyo ina makubaliano ya Extradition na nchi ya Pompeo. Hapa ndo utamsikia Mh RC mstaafu yuko Guantanamo kimasihara😀😀
 
Mkuu GENTAMYCINE isije ukatafuta jinsi ya kumeza haya uliyoandika. Mimi huwa siamini matamshi ya wanasiasa hata siku moja. Yaani wanageuka kama lorry la Bedford. Ila ikiwa kweli ni safi sana sanaili akajifunze adabu na nidhamu.
 
Uwo ni uwoga c umtaje jina tuu kwamba uyo mtu unae mzungumzia ni Poul Makonda mkuu wa mkoa mstaafu wa DSM why unafichaficha????
Hii elimu yetu hii ,sijui tufanyeje jamani? Unajua maana ya mstaafu wewe?
 
Figisu za uchaguzi ndani ya chama mbaya sana nadhani mnakumbuka kilichomkuta mzee sumaye ndani ya CHADEMA aliamini asilimia 100 anashinda ila kilichotokea hakuamini ndio kinaenda mtokea makonda

Askari tumepewa maelekezo maana maboss wake wanamjua ni kiburi kajawa na dharau kwaiyo akiona kura azitoshi ataanza vurugu kwaiyo tumeambiwa akileta vurugu tupige mpaka tumvunje miguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…