Uchaguzi 2020 Kama ni kweli basi Kamati ya Roho Mbaya ya CCM hasa Jimbo la Kigamboni mkimaliza Kumlima Mtu mnione

Kamati ya Roho Mbaya ilipewa agizo moja tu, wakiona jina la huyo jamaa basi KATA tu, hakuna jinsi ingine.
 
GENTAMYCINE hapo umechemka. Double standard iko pale pale. Nina hakika 100% jina la mtu huyu litapitishwa na vikao vya juu. Vinginevyo huyu mtu angeshalimwa zamani sana kutokana na vituko vyake. Kumbuka Mteuwaji is a nonsense guy na si mtu wa kusubiri eti apate njia ya kutokea. Wala hana haja ya kwamba upigwe sindano ya ganzi ndo akufanyie kitu yake. Yeye akiamua anafanya tu kavu kavu!
 
Genta angalia sana usianze kufungua shampeni kabla MC hajaruhusu unaweza kushangazwa wewe mpaka puresha ikupande! Nji hii inawaandishi wa tamthilia wabobezi! Weka akiba ya maneno.
 
Hata tabir zako za Simba kuifunga Yanga tareh 8 zilikuwa hivi hivi.Tangu pale sikuamin kabsa na mambo unayosema huwa ni vice versa.

Naomba upesi / haraka rejea Utabiri wangu wa Mechi ya Simba SC na Yanga SC hii ya Juzi ya Bao 4 katika Uzi wangu kisha rudi hapa uje unijibu.
 
Naomba upesi / haraka rejea Utabiri wangu wa Mechi ya Simba SC na Yanga SC hii ya Juzi ya Bao 4 katika Uzi wangu kisha rudi hapa uje unijibu.


Tarehe 08 ulitabirije mkuu🤣🤣🤣
 
Kama mtu anapewa uongozi wa mkoa tuu anakuwa na kauli za aina hii nawe bado ukampenda, basi tatizo sio yeye ila utakuwa wewe ambaye huchukizwi na ujinga, majivuno na kebehi.

View attachment 1510455
Kwa hiyo Mambo mengine yupo sawa kasoro huo mpasho ndio usababishe kumchukia!? Mbona mtazamo finyu Sana huo! Tunatazamia picha kubwa sisi!
 
Mie simuamini kbs jiwe, Bashite mwanakujipendekeza hawezi kutia nia Kigamboni bila kumshirikisha God Father!.

kifupi wanatuchezea shere, lao ni moja!.

itoshe tu kusema Bashite ni Mbunge MTEULE wa kigamboni!!!.
Hata akikosea Ataenda kulia hadi asemehewe, na jiwe anahusudisha kuliliwa liliwa
 
Ila Kwa Dar huyu RC alikuwa sio bora aende huko alikoelekea, wale 'malaika' wabaya wamtangulie.
 
Huyu jamaa anatafutiwa sehem nzur sana zaid ya alipokuwa simkubali kabs lkn tunakuja kuumia zaidi ya mwanzo
 
Hapo hajatumbuliwa hali ya hawa imekuwa Nzuri sana akikatwa Dar inakuwa kama Arusha
 
Hapo hajatumbuliwa hali ya hawa imekuwa Nzuri sana akikatwa Dar inakuwa kama Arusha
Akikatwa atawaomba hawa vijana kupiga nao picha na watamtolea nje atastaajabu jinsi watakavyo mdharau
 
Makonda hapiti..kiama yake imefika sasa..katusumbua sana huyu mwana wa mfalme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…