Ukiwashakuwa na mawazo ya kizezeta ya kihindi ndio kinachoenda kutokea kwako, ebu jaribu kulegeza mshipa wa kichwa ili uelewe vzr
Kila rika linaruhusiwa kukaaa kwenye kila jukwaa ambalo utakuwa na uwezo nao wa kukaa
Ila jukwaa la VVIP huwa lina special tickets kwa ajili ya maofisa wa bodi na kamati tendaji na TFF ndio inapanga hili jambo huku nafasi nyingine zinazobaki zinauzwa kwa watu wengine
Huwezi ukaja na familia yako ukitumia special tickets eti na wao waingie uwanjani, it's big NO itabidi uwakatie tickets ndio waingie coz zile nafasi kwenye VVIP zipo limited na sio nyingi
Pia kumbuka huu Uwanja sio wenu nyie makolo, ila unamilikiwa na serikali na chama cha mpira wanapewa jukumu la kusimamia hadi kwenye mapato ya getini, ila kwa yule mwenyeji ndio anaenda kuchukua gawio lake tu na sio vinginevyo
Ingekuwa ni uwanja wenu basi mlikuwa na kila mandatory ya kuingiza watoto wa mazezeta wa kihindi, hiyo mifano unatolea kwenye viwanja vinavyomilikiwa na timu na sio viwanja vya Taifa
Acheni kujivika Uzezeta na ujuaji ambao hauna misingi