Kama ni kweli Bodi ya Ligi wamemzuia CEO wa Simba kuingia kwenye derby basi huu ni uhuni mkubwa

Alicho fanya Barbara ni ushamba na ulimbukeni ata Kama una mahusiano na mwekezaji wa iyo timu. Zile tiket za VVIP Tff uzitoa kwa kila timu free inayocheza mechi Ile kwaajili ya baadhi ya staff wa Timu au watu mnao ona Wana sifa iyo kwenye timu yenu.
Alicho fanya Barbara kuja na watoto wake na kuingianao kupitia ticket zile ni aibu Kama kiongozi.
Kuna utopolo wa madimbwini na
Utopolo wa majalalani.

Wewe ni utopolo upi???
 
Hata utopolo wenzako wanalaani hicho kitendo,, wewe ni utopolo yupi???
Huyo CEO wenu saivi anajihisi yeye ni mtu wa pili kwa maamuzi nchi hii baada ya Mama Samia

Mwambieni aendelee kufanya maamuzi ya Makolo wenzake tu
 
Haujajibu swali;
Wewe ni utopolo upi?
Ule wa mawdimbwi au
Ule wa majalala??
 
Huyo CEO wenu saivi anajihisi yeye ni mtu wa pili kwa maamuzi nchi hii baada ya Mama Samia

Mwambieni aendelee kufanya maamuzi ya Makolo wenzake tu

Ni TANZANIA Tuuuuuu…!!! Duniani Kote, Ambako VVIP Watoto Hawaruhusiwi, Au VIP watoto hawaruhusiwi [emoji28][emoji28][emoji28], Sasa Maana Ya VIP au VVIP ni Nini? Yaani Kule changanyikeni Kwenye Risk kubwa ya watoto kupata Injury wanaruhusiwa ila VIP na VVIP watoto hawaruhusiwi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kwa mara ya kwanza Tanzania.

Ulaya Wale watoto wa wachezaji na familia zao huwa wanakaa wapi? [emoji28][emoji28][emoji28]

TFF - TANZANIA FOOTBALL FAILURE. Na Kwanza unamzuiaje CEO wa Club? Ambayo Yeye Ndio Mwenyeji wa Mchezo? Au ieleweke basi Derby Ya Kariakoo Haina Mwenyeji wala Mgeni wa Mchezo watangaze kuwa TFF ndio Anakuwa mwenyeji [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Barba, Anafuatiliwa na Viongozi wakubwa Wa mpira Afrika na FIFA, Kuliko hata KARIA [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Tunachofanya ni kujiabisha
 
Ni TANZANIA Tuuuuuu…!!! Duniani Kote, Ambako VVIP Watoto Hawaruhusiwi, Au VIP watoto hawaruhusiwi [emoji28][emoji28][emoji28], Sasa Maana Ya VIP au VVIP ni Nini? Yaani Kule changanyikeni Kwenye Risk kubwa ya watoto kupata Injury wanaruhusiwa ila VIP na VVIP watoto hawaruhusiwi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kwa mara ya kwanza Tanzania.

Ulaya Wale watoto wa wachezaji na familia zao huwa wanakaa wapi? [emoji28][emoji28][emoji28]

TFF - TANZANIA FOOTBALL FAILURE. Na Kwanza unamzuiaje CEO wa Club? Ambayo Yeye Ndio Mwenyeji wa Mchezo? Au ieleweke basi Derby Ya Kariakoo Haina Mwenyeji wala Mgeni wa Mchezo watangaze kuwa TFF ndio Anakuwa mwenyeji [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Issue sio watoto, issue ni kwamba hawakua kwenye orodha ya wageni wa VVIP wangekaa wapi wakati kila seat ina mtu? sikiliza vizuri sometimes ushabiki hua unatoa watu akili huko duniani unakosema hawana utaratibu wanaingia tu kama mbuzi?
 
Umedhihirisha umbumbumbu mkubwa sana kuwahi kutokea
kwahiyo simba wenyeji basi tickets wanatengeneza wenyewe na kuwaalika hao maofisa wa TFF?? kichwa kimejaa kinyesi tupu..
FB_IMG_16392599239541793.jpg
 
Issue sio watoto, issue ni kwamba hawakua kwenye orodha ya wageni wa VVIP wangekaa wapi wakati kila seat ina mtu? sikiliza vizuri sometimes ushabiki hua unatoa watu akili huko duniani unakosema hawana utaratibu wanaingia tu kama mbuzi?
na card ziliandikwa kabisa hakuna kuruhusu watoto sasa wanataka aingie tu na mitoto ya nje ya ndoa..
 
Tff wakuda tu ,yanga walioingia VVIP walialikwa wote .simba kubwa kuliko utombolo daima
 
Ni TANZANIA Tuuuuuu…!!! Duniani Kote, Ambako VVIP Watoto Hawaruhusiwi, Au VIP watoto hawaruhusiwi [emoji28][emoji28][emoji28], Sasa Maana Ya VIP au VVIP ni Nini? Yaani Kule changanyikeni Kwenye Risk kubwa ya watoto kupata Injury wanaruhusiwa ila VIP na VVIP watoto hawaruhusiwi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kwa mara ya kwanza Tanzania.

Ulaya Wale watoto wa wachezaji na familia zao huwa wanakaa wapi? [emoji28][emoji28][emoji28]

TFF - TANZANIA FOOTBALL FAILURE. Na Kwanza unamzuiaje CEO wa Club? Ambayo Yeye Ndio Mwenyeji wa Mchezo? Au ieleweke basi Derby Ya Kariakoo Haina Mwenyeji wala Mgeni wa Mchezo watangaze kuwa TFF ndio Anakuwa mwenyeji [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ukiwashakuwa na mawazo ya kizezeta ya kihindi ndio kinachoenda kutokea kwako, ebu jaribu kulegeza mshipa wa kichwa ili uelewe vzr

Kila rika linaruhusiwa kukaaa kwenye kila jukwaa ambalo utakuwa na uwezo nao wa kukaa

Ila jukwaa la VVIP huwa lina special tickets kwa ajili ya maofisa wa bodi na kamati tendaji na TFF ndio inapanga hili jambo huku nafasi nyingine zinazobaki zinauzwa kwa watu wengine

Huwezi ukaja na familia yako ukitumia special tickets eti na wao waingie uwanjani, it's big NO itabidi uwakatie tickets ndio waingie coz zile nafasi kwenye VVIP zipo limited na sio nyingi

Pia kumbuka huu Uwanja sio wenu nyie makolo, ila unamilikiwa na serikali na chama cha mpira wanapewa jukumu la kusimamia hadi kwenye mapato ya getini, ila kwa yule mwenyeji ndio anaenda kuchukua gawio lake tu na sio vinginevyo

Ingekuwa ni uwanja wenu basi mlikuwa na kila mandatory ya kuingiza watoto wa mazezeta wa kihindi, hiyo mifano unatolea kwenye viwanja vinavyomilikiwa na timu na sio viwanja vya Taifa

Acheni kujivika Uzezeta na ujuaji ambao hauna misingi
 
“Nafikiri Utaratibu wa eneo la VVIP uliwekwa mapema.. Nani anatazamiwa akakae wapi na kwa Taratibu zipi!

Kadi zilikuwa na majina ya wahusika na ikaelezwa kabisa [Siku moja kabla] NI MARUFUKU MTU KUTUMIA KADI YA MTU

Kadi za VVIP pia zikasema kuwa WATOTO HAWARUHUSIWI eneo Lile..

Kama hizi Taratibu zilizungumzwa na kukubalika pamoja, kwanini iwe Tatizo kwenye Utekelezaji?

Kama kulikuwa na changamoto yoyote kwenye makubaliano, yalitakiwa kuwasilishwa mapema kabla ya siku ya mchezo!

Wachezaji kiwanjani wametuonyesha Thamani ya FAIR PLAY kwenye soka!

Tazama namna wachezaji baada game kuisha walivyokuwa wanafuraha wenyewe kwa wenyewe na hiyo inadhihirisha mchezo wa mpira ni mchezo wa kiungwana

Lakini nje ya uwanja, 'watu wachache' kwa 'sababu zao binafsi' wanataka kutuonyesha kuwa hakuna UUNGWANA kwenye Soka letu

Hii sio Sawa” ..
 
Huna hoja wivu tu mwanaume mzima unashabikia yanga?
Ukiwashakuwa na mawazo ya kizezeta ya kihindi ndio kinachoenda kutokea kwako, ebu jaribu kulegeza mshipa wa kichwa ili uelewe vzr

Kila rika linaruhusiwa kukaaa kwenye kila jukwaa ambalo utakuwa na uwezo nao wa kukaa

Ila jukwaa la VVIP huwa lina special tickets kwa ajili ya maofisa wa bodi na kamati tendaji na TFF ndio inapanga hili jambo huku nafasi nyingine zinazobaki zinauzwa kwa watu wengine

Huwezi ukaja na familia yako ukitumia special tickets eti na wao waingie uwanjani, it's big NO itabidi uwakatie tickets ndio waingie coz zile nafasi kwenye VVIP zipo limited na sio nyingi

Pia kumbuka huu Uwanja sio wenu nyie makolo, ila unamilikiwa na serikali na chama cha mpira wanapewa jukumu la kusimamia hadi kwenye mapato ya getini, ila kwa yule mwenyeji ndio anaenda kuchukua gawio lake tu na sio vinginevyo

Ingekuwa ni uwanja wenu basi mlikuwa na kila mandatory ya kuingiza watoto wa mazezeta wa kihindi, hiyo mifano unatolea kwenye viwanja vinavyomilikiwa na timu na sio viwanja vya Taifa

Acheni kujivika Uzezeta na ujuaji ambao hauna misingi
 
Ticket inayotumika kama ushahidi ni invalid, why ina gsm wakati uhusika wa gsm katika hii match ulitolewa.
 
CEO analalamikia bodi ya ligi ! Na Mwenyekiti wa bodi ya ligi ndio mwenyekiti wa COASTAL UNION,ambayo inadhamiwiniwa na GSM.Nawashauri TFF muwe makini mnapoingia mikataba yenu,anaweza akaibuka mtu akasema ya kwamba haya ni maagizo kutoka GSM.
 
Miaka yote 4 Simba inachukua ubingwa mwenyekiti wa costal ndio uyo na GSM alikua mdhamini wa costal.
 
Back
Top Bottom