Kama ni kweli haya yameandikwa kwenye Quran basi ifike point wanadamu tujinasue katika itikadi hizi. Sio mkristo, sio muislam tuamke.

Ndo maana hawa jamaa wanafanyaga kuua tu bila kukoma, kwao ni maagizo.

Alafu ile ya mabikra 72 mbona haipo au maimam huwa wanatufunga kamba tu ili tutangulie tu ile kwetu
watu wanaoongoza kwakuua hapa duniani niwadini gani?

unawajua wamarekani wewe?unawajua warusi?waingereza unawajua?

ushawahi kusikia Saudia au misri wamepeleka siraha zamaangamizi nchifulani?

zinduka nabichwalako kubwa lililojaachuki zakijinga
 
Mkuu acha kueneza uongo huo,yawezekana unafanya kwa kujua au kutokujua,,Qur'an ukiifatilia hamna aya hizo ulizooridhesha hapo juu,, Mambo kama hayo ndo husababisha chuki na na Vita kwenye jamii,,,Allah akuongoze katika ukweli
 
nyiekenge mnaoshabikia kua uislamu unafundisha kuua ngoja niwaulize
wamarekani mabingwa wakuua niwaislamu?
waingereza niwaislamu?
warusi je?

mabogas nyie hamna lolote uislamu ndio dini yamungu dinizingine nimbwa takataka nawanao ziamini motoni bila kuuliza chagueni kusuka au konyoa kengenyie
 
Mwenye kujua hiyo Quran aweke Aya nzima tusome wenyewe. 🙏
Unaweza ukawekewa aya na bado using'amue.. Aya moja haoa ina muendelezo au jibu kwenye sura nyingine kabisa unapata aya yenye jibu ama maelekezo yake.

Quraan aya zake zilikuwa zinashushwa kwa wakati fulani, hivyo inakuwa inalenga muda, aina ya watu na tukio.
Mfano mtume kuishi kwake makkah, akateswa na kunyanyasika, mola akamuamuru ahame, akahamia madina, kule madhalimu hawakumuacha, wakawa wanavamia misafara yao ya biashara, wanapora, wanaua.. Mwenyezi mungu akamuamuru apigane sasa, ukiisoma aya hiyo bila kufundishwa na mjuaji lazima ubadilike uwe na akili za ki ISIS, maana aya ikaja ikiwaamuru sasa wapigane nao, wapambane kuokoa nafsi na mali zao, aya inaonesha wapigane nao, kwa vipi ama kwa sababu gani inabidi usome aya kadhaa nyuma yake, ama upate elimu kwa wajuzi.
 
Mkuu hivi binti wa miaka 12 mashine inapita kweli
 
Aise waislamu sijui wanajitetea vipi kwa ushetani huu katika maandiko yao
 
Msihukumu msije mkahukumiwa

Itoshe kusema mimi ni mkristo ila nimesoma vizuri hizo aya hapo na nimeangalia hadi tranlation zake kwa kingereza na ufafanuzi wake kuhusu hivyo vifungu kwa namna mbali mbali walivyochambua . ITOSHE KUSEMA HAKUNA UKWELI WOWOTE HAPO NA HAIMAANISHI KAMA MLETA BANDIKO ALIVYO WEKA HAPO HIVYO MTOA BANDIKO ANAPASWA KUPUUZWA KWA NAMNA YEYOTE ILE

Nb; pitieni hivyo vifungu na mvielewe acheni kuweweseka
 
Duuh naona maagizo ya kuua tu.
Pitia hivyo vifungu mkuu , ukishindwa kuelewa tafuta maana zake wamechambua hakuna ukweli wowote hapo


Msihukumu msije mkahukumiwa

Itoshe kusema mimi ni mkristo ila nimesoma vizuri hizo aya hapo na nimeangalia hadi tranlation zake kwa kingereza na ufafanuzi wake kuhusu hivyo vifungu kwa namna mbali mbali walivyochambua . ITOSHE KUSEMA HAKUNA UKWELI WOWOTE HAPO NA HAIMAANISHI KAMA MLETA BANDIKO ALIVYO WEKA HAPO HIVYO MTOA BANDIKO ANAPASWA KUPUUZWA KWA NAMNA YEYOTE ILE

Nb; pitieni hivyo vifungu na mvielewe acheni kuweweseka
 
Quran 5:51 inasema haya hapa, ni karibu sawa na ilivyo kwenye screenshot ya meta mada

Quran 5:51
"O you who have believed, do not take the Jews and the Christians as allies. They are [in fact] allies of one another. And whoever is an ally to them among you—then indeed, he is [one] of them. Indeed, Allah guides not the wrongdoing people."
 
Aiseee hatari mnoo
 
Kwani huoni mnavyoshabikia kuuliwa kwa watoto , nyie mnawaona wayahudi marafiki then japo wanawatemea mate ....Huo ndio ukweli mchungu 😀 😀
 
Mkuu hivi binti wa miaka 12 mashine inapita kweli
Soma ni zama zip ? Unaongelea mambo ya karne ya 7 ....Uletewe ushahidi watu walikuwa wanaolewa chini ya miaka 9 ....Zama za zamani na sasa ni tofauti ...
 
Mimi siamini katika hizi hekaya za kuruwani na bibilia
Ni UTUMWA wa kifikra

Hebu check na hizi haya za bibilia pia 👇👇👇
 

Attachments

  • A5C6811C-023E-4F89-896B-79D305B8E5AE.jpeg
    111.5 KB · Views: 2
watu wanaoongoza kwakuua hapa duniani niwadini gani?

unawajua wamarekani wewe?unawajua warusi?waingereza unawajua?

ushawahi kusikia Saudia au misri wamepeleka siraha zamaangamizi nchifulani?

zinduka nabichwalako kubwa lililojaachuki zakijinga
Hizo nchi ulizozitaja asilimia kubwa raia wake hawana dini
 
Hapa Mimi ndipo ninapopata wasiwasi na uwezo wa Allah/ Mungu, inakuwaje anamwambia mtu wake akimbie maadui wakati yupo pale kutangaza ufalme wake Allah????

Kwanini asiwazuie Kwa uwezo wake hao wanaompinga mtume ili mtume aifanye kazi yake????

Naomba kuuliza shetani aliumbwa na Nani?
 
Sijui hizo tafsiri kszitoa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…