Qur an
''Wanaume ni wasimamizi wa wanawake, kwa kufadhiliwa na Mwenyezi Mungu baadhi yao juu ya baadhi, na kwa mali yao wanayo yatoa. Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Mwenyezi Mungu ''
Quran 4:34 in Kiswahili Kiswahili | an-Nisa' 34
Quran 4:34 in Kiswahili Kiswahili | an-Nisa' 34
Kwa hiyo akifanya mtu ndio uislamu ? Ndio mnaposhindwa kujua mshambulie wapi , mnaangalia mtu mmoja mmoja ..Wale viongozi wa dini wanaofanya miujuzi , kufanya mambo ya ovyo bado huwezi kuichafua dini husika ni mtu binafsi .
Unapoteza point tunaongea hili unaleta hili
😀 😀 😀
Inawezekana ikawa mila zao , nje ya uislamu jamii hizo zilikuwa na utaratibu wake ...Au nikupe mada watu walikuwa wanao kwa miaka mingapi ? Baaddhi ya jamii zina mila zao.
Kasome jamii hizo kipind cha mediavl ,. je, mtume alipofika alikuta wao taratibu za watu wa pale walikuwa wanaoana kwa umri wa miaka mingapi..
SOma ndio uje la sivyo utakuwa mtu wa kuleta meme na taarifa ambazo hazina madhara.