Kama ni kweli haya yameandikwa kwenye Quran basi ifike point wanadamu tujinasue katika itikadi hizi. Sio mkristo, sio muislam tuamke.

Unaona unavyoruka ruka ...Umetoka kule unakuja huku πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Unaona unavyoruka ruka ...Umetoka kule unakuja huku πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Kote nipo yaani ni Full Nondo. Huwa natafuta tu sababu tu ya kuyaweka haya wazi.

Hadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah
 
UANDISH TU UNAONYESHA TU WW UNAFANANA NA HYO MUNGU WAKO [/QUOTE]UANDISH TU UNAONYESHA TU WW UNAFANANA NA HYO MUNGU WAKO ALAH
 
Tulikuwa kweny Qur an mbona unaleta hadithi kama unajua ?

Ebu kasome kwanza ndio uje maana wenzio wamekimbia πŸ˜€ πŸ˜€
 
Misinterpretation , nimekisoma sana ila bado watu wanaingia kweny uislamu kwa makundi ..
Kuna watu wanajiunga na Satanic Religion kwa Maelfu. Hujui? Kuna maelfu wanaingia kwenye Ushoga, kuna maelfu wanaingia kwenye uchangudoa. Pamoja na kusoma ,kujulishwa au kuonywa.
 
Kuna watu wanajiunga na Satanic Religion kwa Maelfu. Hujui? Kuna maelfu wanaingia kwenye Ushoga, kuna maelfu wanaingia kwenye uchangudoa. Pamoja na kusoma ,kujulishwa au kuonywa.
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€Watu wanajua ukweli sio unasoma nusu nusu , vipande vya kuokoteza ...Unatakiwa usome kweny chanzo halisi kuepuka matapeli
 
Kwanini umetafsiri Quran wakati hairuhusiwi? Tukisema mnakashifu dini yetu mnaanza kuina sisi wakorofi, wakati mnatuchokoza wenyewe
 
Hapa ndio unaona ni kwann kiboko ya wachawi anawapiga pesa mingi. Hawa jamaa chochote unacholeta kuukashifu uislamu na kuupaka matope wao wana support tu bila kujiuliza mara mbili .ukitaka kuwa win ww usipate tabu ww anzisha tu uislamu ni dini ya majini au dini ya ugaidi

Hapo wanafuraki kichzi na kuponda yan hawa wenzetu ktk suala la dini bado wapo 1407
 
Hiyo dini ifungiwe ina mafundisho hatari sana
[/QUOTE]

Hizo reference alizotoa hapo ni uongo mtupu (watu walisha toa uhalisia, fuatilia michango ya watu)
Huyo Mwandishi hana tofauti na wale wapotoshaji walio andika Satanic verses
 
Kwanini umetafsiri Quran wakati hairuhusiwi? Tukisema mnakashifu dini yetu mnaanza kuina sisi wakorofi, wakati mnatuchokoza wenyewe
Wapi kumeandikwa hairuhusiwi ? πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€Dogo mbona unaleta mambo hayapo kwa chuki tu .

Unasoma kama ilivyo ila tafsiri unajua wewe binafsi .
 
Wapi kumeandikwa hairuhusiwi ? πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€Dogo mbona unaleta mambo hayapo kwa chuki tu .

Unasoma kama ilivyo ila tafsiri unajua wewe binafsi .
Quran inatakiwa iwe iandikwe kwa kiarabu tu, mnaitafsiri ili mpotishe, ukitaka kusoma quran jifunze lugha ambayo imetumika kuandika, mnasnza kuitafsiri ili muipotoshe
 
Waache wajinga na ujinha wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…