Si vizuri kuwasema watu wa rika la wazazi wetu..
Le mutuz ni sawa na Baba yetu humu Jf, wengine wanatakiwa kumwita Babu humu...
Hata kama ni mburulaz lakini ni Mzee wetu, tumsitiri.
Tena siyo vizuri watu mnaposema eti shati lake linaweza kufunika Gari kama Vitz.
nimependa ulivyo jibu.Mkuu ni samehe sana kama na kukera!
Hivi kipimo cha uanaume kwako ni kutoandika unacho ona kinafaa?
Kuto andika kwa kuhofia wengine watasema sio mtoto wa kiume?
Kutosema kweli hata kama ni kweli?
Kutosema wazi kuwa Una wakubali au kufurahishwa na wanao kufurahisha?
Mimi mwanzo nilidhani kuwa uanaume wa mtu tunaweza kuupima hata kwenye uwezo wa kuvumilia wengine!
Mimi mwanzo nilifikiri uanaume tunaweza kuupima hata kwenye uwezo wa mtu hasa mwanaume kujiuliza mara mbili kabla ya kuandika!
Mimi nilifikiri uanaume wa mtu tunaweza kuupima hata kwenye uchaguzi wa maneno ya kuandika kwa wengine!
Samahani lakini!
Lemutuz was a rich kid. ..grew up
As a kid from a well of family
Kwenda kupiga box states was a choice of him being a man and independent. .
Angependa kubaki bongo na kuuza sura kama kina kinje na kula hela za baba angefanya ila he chose not to..
Haya nyie mnaomponda mna maisha gani. .
Mnamzungumzia Le Lodilofa..hahaha..King Mswati
Hahahahaha uknw huyu jamaa is so funny sana Mimi niki kumbuka vituko vyake huwa nacheka sana...uknw mabebiz wakarez wana nizimikia hahahahaha
Hahaha...bado hujarudisha tu kadi yako ya uvccm??
Lemutuz was a rich kid. ..grew up
As a kid from a well of family
Kwenda kupiga box states was a choice of him being a man and independent. .
Angependa kubaki bongo na kuuza sura kama kina kinje na kula hela za baba angefanya ila he chose not to..
Haya nyie mnaomponda mna maisha gani. .
Wacha we le supa secretary mupyaaa...mtetee bosi ..
Kumbe ndo secretary wakee!!haa,amekuja kasi kama kisulisuli anajaribu kudeki bahari,kamfungulia uzi babu anasema babu anachukiwa bure!Ndo maana babu kauchuna kampa nafasi secretary ajitutumue..
Atakuwa secretary mpya tu huyu....halafu ujue babu anapenda kuzungumziwa, yani hapa akikuta tunamzungumzia roho inamsuuzikaaa....
Le super babuuu....babu yake Sitti Mtemvuu...
Anaweza kuja mwenyewe hapa na akampaka huyo sekritari wake na mwishowe akaumbuka kabisa na akajuta kwanini alimtetea.
Le mutuz hawezi kumpaka secretary wake
Babu hajielewi ujue,anaweza akamgeuka..
TatizoLemutuz was a rich kid. ..grew up
As a kid from a well of family
Kwenda kupiga box states was a choice of him being a man and independent. .
Angependa kubaki bongo na kuuza sura kama kina kinje na kula hela za baba angefanya ila he chose not to..
Haya nyie mnaomponda mna maisha gani. .
Hahahaaaa hivi kuna mrembo ambaye hajapiga picha na Le Mutuz kweli?basi asijihesabie nae ni mrembo....