Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Aisee sikia kwa mwenzio anarudi kuishi kwa wazszi kama bado wananyumbamwamba anafinyia kwa ndani
🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee sikia kwa mwenzio anarudi kuishi kwa wazszi kama bado wananyumbamwamba anafinyia kwa ndani
🤔
Haya mambo yanaumiza sanaMpwaaaa hata mie imeniuma sanaa nilikoswa koswa 2005 nikiona haya naumia sana nahisi inaomchangia sana vifo vya talaka
Wanapoelekea kama sio jamaa basi ndugu watamlia timing huyo mdada wanaazika
Miaka ya karibuni wana saini "Prenuptial agreement" hii inatumika kumprotect mtu mwenye mali zake ikitokea divorce au kifo. Lakini kwa huyu msanii sijafatilia deep ila anasema alisaini huo mkataba ila mambo yakaja kuenda hovyo vilevileHizo sheria za kimagharibi za kisenge sana.. Yaani mtu atake talaka kisha achukue mali si ujinga huu.
Hapa ndipo naupa heko uislam..
Mtu anataka talaka basi ajivue mwenyewe.
hivi ana protection ya mahakama jamaa anapululiwa tu niliona interview Moja anamshukuru 50 Kwa kumpa chance kwenye series ya power book 4 maana yule dada ni nyoka sana alienda mahakamani kuongeza Hela ya child support baada ya movie ya mshikaji kufanya vizuri na kweli ilibidi wapandishe dau . Wanawake ni hatari sanaMpwaaaa hata mie imeniuma sanaa nilikoswa koswa 2005 nikiona haya naumia sana nahisi inaomchangia sana vifo vya talaka
Wanapoelekea kama sio jamaa basi ndugu watamlia timing huyo mdada wanaazika
Noma Santa!Ki ukweli mpaka sasa mimi binafsi sina sababu ya msingi ya kuoa, nikihudhuria harusi mbali mbali huwa nashindwa kuelewa imekuaje mpaka maharusi wakaamua kuoana
Child support wapi, mchukue mwanao....watoto wanakua tu mbonaSasa kipi Bora NDOA au CHILD SUPPORT
Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha mwanamke huyo kurudiana na ex wake wa zamani.
Unaambiwa Tyrese amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nyumba hiyo mpaka aalikwe tu na amepewa ruhusa ya kumuona mwanae mara 3 tu kwa mwezi
Mke wa Tyrese amesema alikubali kuolewa na Tyrese sababu ya umaarufu tu ila hakuwa na hisia nae kimapenzi hata kidogo na wakati wote akiwa na Tyrese alikuwa akifanya mawasiliano na huyo ex wake
Anasema ex wake ndio mwanaume waliyependana kwa dhati japo hakuwa na pesa wala umaarufu ila hisia zake zote daima zilikuwa kwa njemba huyo
Unaambiwa saiv huyo jamaa anaishi nyumba ya Tyrese na mke wa Tyrese (mtalaka), mwamba anafinyia kwa ndani
Tyrese kapoteza kila kitu, wanawake mna matukio sio poa
Jamaa amelia mno aisee 😭😭😭😭
Credit FACEBOOK
PIA SOMA
- Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)
Kibaya zaidi mwanamke ndio aliodai talaka.Hapa tatizo sio ndoa bali ni hizo sheria za hovyo,
Inakuaje eti sheria kua mke anapewa talaka halafu anachukua mali zote za mumewe!!
Hapa tatizo ni hizo sheria,zinawapa kichwa Wanawake,
Huyo Mwanamke baada ya kutamka maneno hayo,alitakiwa afunguliwe kesi ya utapeli coz aliingia kwenye hiyo ndoa ajili ya mali,so huo ni utapeli tu uliojificha kwenye ndoa.
Yaani mzee wa Kino haya mambo yamekuwa ya hovyo mno. Wanawake wamekuwa makatili kuliko wanaume.Haya mambo yanaumiza sana
Wanaume wanavurugwa sana
Ova
Ukishaishi tu ulaya au America,na ukaoa huko,unakuwa kama vile sio mwanaume rijali hivii....yani unaanzaje kuninyang'anya Mali zangu plus mtoto na nikuache salamaKibongo bongo huyo mwanamke angekuwa anahesabu siku za kuishi...wangeshamla kichwa..