whitemoney
JF-Expert Member
- Nov 9, 2023
- 1,161
- 2,454
Umepigaje hapoo!!FT: NDOA 2 - 4 KATAA NDOA
World happiness Qualifiers 2024/2025
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepigaje hapoo!!FT: NDOA 2 - 4 KATAA NDOA
World happiness Qualifiers 2024/2025
Yaani anaenda kuwa bilionea alafu pesa anatumia na ex wake 😄Yaani mzee wa Kino haya mambo yamekuwa ya hovyo mno. Wanawake wamekuwa makatili kuliko wanaume.
Kwanini Asinge muomba waingie prenuptial agreement hyo sheria kwa marekani si ina applyKibaya zaidi mwanamke ndio aliodai talaka.
Kosa ni la sheria zao.
The fact kwamba ulikuwa na mwanamke kama huyo inaonesha wewe nawe una matatizo.Aisee kinachoniumq. X kuwa ndani ya nyu.mba niliojenga aiseee achatu.....
M kuna kipindi nilikuwa na mke mshenzi nkabadili viwanja 3 kwenda kwa mama
Hiwezi amini siku tukomahakaman anasema tumenunua viwanja na alinikuta navyo nkamwambia pole yake m nilijenga kwa mama akaitwa akaonyshwa hati na kimoja tulipitia serkl zamitaa alintumia matusi mwaka mzima nkasema ajanidhuru nkablock mwisho nkabadili line nikawa huru
Hawa chuchu akilizao wanazijua wao hata unaesoma huyo ulienae ishi nae kwa akili sana
Mungu atupe mwisho mwema yaan talaka inatkka kawe mwanamke analia anasema bado ananipendaa hataki tuachane akambjwa we si ndoo umrkuja mahakaan kuomba takaka na tumewapa miezi 3 mwelewane ukaja kusema hatuwezi unalilia talaka unataka kutuambja mara zote mlizokuja tulikuwa tunapoteza mda hapa..biasjara ikaisha woi
Nimekaa na zile hati hata huyu nkr nioirnae sasa r anaupendo lakni nikikumbuka weweee
wanajua kaka zangu tu na ndugu mmoja mwingine
Na hii yote inakuja zikiwepo mali na pesa .....kama hakuna huoni fujo zao sana sana atakukimbiaYaani mzee wa Kino haya mambo yamekuwa ya hovyo mno. Wanawake wamekuwa makatili kuliko wanaume.
🤣🤣🤣 Imeisha hiyo....Linda furaha yako mkuuSasa itakuaje🤔
Kabisa😊🤣🤣🤣 Imeisha hiyo....Linda furaha yako mkuu
Halafu hizo sheria aliyezitunga ni mwanaumeNimekumbuka mara ya kwanza namuona tyrese ni alipofanya tangazo la coca cola...hapo ndipo ulimwengu ukamtambua
Tukirudi kwenye mada sasa hizi sheria za ndoa ni za kipuz sana
Ova
Ulaya hakuna waganga?Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha mwanamke huyo kurudiana na ex wake wa zamani.
Unaambiwa Tyrese amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nyumba hiyo mpaka aalikwe tu na amepewa ruhusa ya kumuona mwanae mara 3 tu kwa mwezi
Mke wa Tyrese amesema alikubali kuolewa na Tyrese sababu ya umaarufu tu ila hakuwa na hisia nae kimapenzi hata kidogo na wakati wote akiwa na Tyrese alikuwa akifanya mawasiliano na huyo ex wake
Anasema ex wake ndio mwanaume waliyependana kwa dhati japo hakuwa na pesa wala umaarufu ila hisia zake zote daima zilikuwa kwa njemba huyo
Unaambiwa saiv huyo jamaa anaishi nyumba ya Tyrese na mke wa Tyrese (mtalaka), mwamba anafinyia kwa ndani
Tyrese kapoteza kila kitu, wanawake mna matukio sio poa
Jamaa amelia mno aisee 😭😭😭😭
Credit FACEBOOK
PIA SOMA
- Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)
Hizi fikra zako kama zangu huwa najiuliza hivi kama wewe, sema mimi naonaga kama wanapoteza muda tu, maana nimeudhuria harusi kama sita hivi ila tatu zimeshakufa alafu za wana kabisa,Ki ukweli mpaka sasa mimi binafsi sina sababu ya msingi ya kuoa, nikihudhuria harusi mbali mbali huwa nashindwa kuelewa imekuaje mpaka maharusi wakaamua kuoana
Inasikitisha sanaYaani anaenda kuwa bilionea alafu pesa anatumia na ex wake 😄
Ova
Kwao wanaruhusiwa kumiliki siraha, si ndioo?Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha mwanamke huyo kurudiana na ex wake wa zamani.
Unaambiwa Tyrese amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nyumba hiyo mpaka aalikwe tu na amepewa ruhusa ya kumuona mwanae mara 3 tu kwa mwezi
Mke wa Tyrese amesema alikubali kuolewa na Tyrese sababu ya umaarufu tu ila hakuwa na hisia nae kimapenzi hata kidogo na wakati wote akiwa na Tyrese alikuwa akifanya mawasiliano na huyo ex wake
Anasema ex wake ndio mwanaume waliyependana kwa dhati japo hakuwa na pesa wala umaarufu ila hisia zake zote daima zilikuwa kwa njemba huyo
Unaambiwa saiv huyo jamaa anaishi nyumba ya Tyrese na mke wa Tyrese (mtalaka), mwamba anafinyia kwa ndani
Tyrese kapoteza kila kitu, wanawake mna matukio sio poa
Jamaa amelia mno aisee 😭😭😭😭
Credit FACEBOOK
PIA SOMA
- Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)
Picha za mjengo tafadhaliMuigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha mwanamke huyo kurudiana na ex wake wa zamani.
Unaambiwa Tyrese amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nyumba hiyo mpaka aalikwe tu na amepewa ruhusa ya kumuona mwanae mara 3 tu kwa mwezi
Mke wa Tyrese amesema alikubali kuolewa na Tyrese sababu ya umaarufu tu ila hakuwa na hisia nae kimapenzi hata kidogo na wakati wote akiwa na Tyrese alikuwa akifanya mawasiliano na huyo ex wake
Anasema ex wake ndio mwanaume waliyependana kwa dhati japo hakuwa na pesa wala umaarufu ila hisia zake zote daima zilikuwa kwa njemba huyo
Unaambiwa saiv huyo jamaa anaishi nyumba ya Tyrese na mke wa Tyrese (mtalaka), mwamba anafinyia kwa ndani
Tyrese kapoteza kila kitu, wanawake mna matukio sio poa
Jamaa amelia mno aisee 😭😭😭😭
Credit FACEBOOK
PIA SOMA
- Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)
Hujui chochote inamana lugha ndo inakuchemsha hivyoMuigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha mwanamke huyo kurudiana na ex wake wa zamani.
Unaambiwa Tyrese amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nyumba hiyo mpaka aalikwe tu na amepewa ruhusa ya kumuona mwanae mara 3 tu kwa mwezi
Mke wa Tyrese amesema alikubali kuolewa na Tyrese sababu ya umaarufu tu ila hakuwa na hisia nae kimapenzi hata kidogo na wakati wote akiwa na Tyrese alikuwa akifanya mawasiliano na huyo ex wake
Anasema ex wake ndio mwanaume waliyependana kwa dhati japo hakuwa na pesa wala umaarufu ila hisia zake zote daima zilikuwa kwa njemba huyo
Unaambiwa saiv huyo jamaa anaishi nyumba ya Tyrese na mke wa Tyrese (mtalaka), mwamba anafinyia kwa ndani
Tyrese kapoteza kila kitu, wanawake mna matukio sio poa
Jamaa amelia mno aisee 😭😭😭😭
Credit FACEBOOK
PIA SOMA
- Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)
Atasingizia, mapenzi upofuKwanini Asinge muomba waingie prenuptial agreement hyo sheria kwa marekani si ina apply
Au ndy kutokujua ya mbeleni
Ova
Sijui umetoa wapi ingawaje ni ya zamani kidogo ila kuna vitu umeongeza ama kwa kujua au kutokujua. Tuletee source.Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka
kareemsquest.com
Miaka ya karibuni wana saini "Prenuptial agreement" hii inatumika kumprotect mtu mwenye mali zake ikitokea divorce au kifo. Lakini kwa huyu msanii sijafatilia deep ila anasema alisaini huo mkataba ila mambo yakaja kuenda hovyo vilevile
View: https://youtube.com/shorts/298hCLpnXrY?si=1ho0HXNblPdjlxIl