Kama ni kweli kataa ndoa wana point tatu

Hizo sheria za kimagharibi za kisenge sana.. Yaani mtu atake talaka kisha achukue mali si ujinga huu.

Hapa ndipo naupa heko uislam..
Mtu anataka talaka basi ajivue mwenyewe.
Miaka ya karibuni wana saini "Prenuptial agreement" hii inatumika kumprotect mtu mwenye mali zake ikitokea divorce au kifo. Lakini kwa huyu msanii sijafatilia deep ila anasema alisaini huo mkataba ila mambo yakaja kuenda hovyo vilevile



View: https://youtube.com/shorts/298hCLpnXrY?si=1ho0HXNblPdjlxIl
 
Sasa
Mpwaaaa hata mie imeniuma sanaa nilikoswa koswa 2005 nikiona haya naumia sana nahisi inaomchangia sana vifo vya talaka

Wanapoelekea kama sio jamaa basi ndugu watamlia timing huyo mdada wanaazika
hivi ana protection ya mahakama jamaa anapululiwa tu niliona interview Moja anamshukuru 50 Kwa kumpa chance kwenye series ya power book 4 maana yule dada ni nyoka sana alienda mahakamani kuongeza Hela ya child support baada ya movie ya mshikaji kufanya vizuri na kweli ilibidi wapandishe dau . Wanawake ni hatari sana
 
Hapa tatizo sio ndoa bali ni hizo sheria za hovyo,

Inakuaje eti sheria kua mke anapewa talaka halafu anachukua mali zote za mumewe!!

Hapa tatizo ni hizo sheria,zinawapa kichwa Wanawake,

Huyo Mwanamke baada ya kutamka maneno hayo,alitakiwa afunguliwe kesi ya utapeli coz aliingia kwenye hiyo ndoa ajili ya mali,so huo ni utapeli tu uliojificha kwenye ndoa.
 
Mapenzi ni nyoko

NIlishasema sitorudia kosa la kumpa binti moyo wangu zaidi ya Depal ☺️
 
Kibaya zaidi mwanamke ndio aliodai talaka.

Kosa ni la sheria zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…