Kama ni kweli kataa ndoa wana point tatu

The fact kwamba ulikuwa na mwanamke kama huyo inaonesha wewe nawe una matatizo.
 
Nimekumbuka mara ya kwanza namuona tyrese ni alipofanya tangazo la coca cola...hapo ndipo ulimwengu ukamtambua
Tukirudi kwenye mada sasa hizi sheria za ndoa ni za kipuz sana

Ova
Halafu hizo sheria aliyezitunga ni mwanaume
 
Ulaya hakuna waganga?
 
Ki ukweli mpaka sasa mimi binafsi sina sababu ya msingi ya kuoa, nikihudhuria harusi mbali mbali huwa nashindwa kuelewa imekuaje mpaka maharusi wakaamua kuoana
Hizi fikra zako kama zangu huwa najiuliza hivi kama wewe, sema mimi naonaga kama wanapoteza muda tu, maana nimeudhuria harusi kama sita hivi ila tatu zimeshakufa alafu za wana kabisa,
 
Kwa
Kwao wanaruhusiwa kumiliki siraha, si ndioo?
Kama anasubiri vita ndo atumie siraha yake kazi kwake
 
Picha za mjengo tafadhali
 
Hujui chochote inamana lugha ndo inakuchemsha hivyo
 
Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka
Sijui umetoa wapi ingawaje ni ya zamani kidogo ila kuna vitu umeongeza ama kwa kujua au kutokujua. Tuletee source.

Woman regrets divorcing millionaire after settlement​


“If I had different people in my ear at that time, I would not have made that decision, and that’s the truth.”

The Divorce Decree​

In a decision that aligned with Tyrese’s wishes


 
Prenuptial agreements haikupi security ya 100% ya Mali zako wakati wa taraka.

Huwa Kuna namna inaangaliwa ambayo inaweza ikapelekea prenup ikapuuzwa, kwa mfano mwanamke anaweza akasema wakati unamsainisha hiyo prenuptial agreements alikuwa kwenye Hali mbaya sana ya kiafya kiasi Cha kutokujua nini alikuwa anakifanya(nafikiri unakumbuka hata kwenye kesi ya mjane(Kyline) wa Marehemu Mengi watoto wake walisema ile will inayoelezea 60% ya Mali za Mengi akabidhiwe Kyline mzee wao aliisainishwa akiwa hajielewi).... Hivyo hivyo kwenye prenuptial agreements mwanamke anaweza akatoa maelezo kama hayo Tena akiambatanisha na vithibitisho kutoka kwa daktari na mahakama ikaamua kutupilia mbali hiyo prenuptial agreement, hivyo basi kesi ikaamuliwa kwa formalities za kawaida tu.

Mbali na hivyo pia mwanamke huyo huyo anaweza akasema kwamba ulimlazimisha kusaini hiyo prenuptial agreement katika mazingira ya vitisho na kama kuna viashiria vyovyote vile mahakama itamuamini na hatimae kutupilia mbali hiyo prenuptial agreement..!!

Kwa hiyo yawezekana bwana Tyrese hiyo prenup ilishindwa kumsaidia katika mazingira kaka haya.... Au yawezekana labda mwanasheria wake aliyemtumia kwenye divorce court alikuwa ni kilaza sana kiasi Cha kushindwa kumsaidia.

Pamoja na hayo yote wamerakani na nchi nyingi zilizoendelea mifumo yao ya sheria ni ya ovyo sana na inatesa sana wanaume na ndio maana male suicidal inaongezeka Kila leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…