Kama nidhamu ya uoga inasaidia mambo yaende vizuri, inafaa sana

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
3,434
Reaction score
7,072
HIARI YASHINDA UTUMWA ni moja ya msemo wa Kiswahili wenye hekima kubwa sana unaoonesha umuhimu wa personal integrity.

Ukiwa muadilifu, utakuwa na nidhamu ya kutekeleza wajibu wako bila kusukumwa wala kulazimishwa.

Kwa bahati mbaya sana, Watanzania kwa asilimia kubwa hatujalelewa kuwa waadilifu na kujisimamia. Tukiaminiwa tunafanya hiyana.

Kimsingi, tumekuzwa kuogopa wakubwa zetu (wazazi/walezi) na mambo mengi tulitekeleza kwa hofu ya kuchapwa au kunyimwa chakula. Kinyume na hapo HATUFANYI.

Hii kansa imesambaa hadi kwenye maeneo ya kazi, biashara na sehemu za utoaji huduma. Mashirika mengi yanayoongozwa na wageni hawapendelei kuajiri watanzania kwa sababu ya uzembe, ukosefu wa uaminifu, uadilifu, kutowajibika na kutojisimamia.

Tumeona hata serikalini, watumishi wa umma walitekeleza majukumu yao ipasavyo kupitia 'nidhamu ya uoga' na mambo yakaenda.

Hivyo, kama nidhamu ya uoga ilisaidia watu kupata huduma nzuri, basi inatufaa sana kutokana na tulivyokuwa programmed tangu utotoni.

Kinyume na hapo ifanyike kazi kubwa ya kubadili tabia (behavioural change) kwa taifa zima. Mchakato ambao utahitaji muda na nia thabiti.
 
HIARI YASHINDA UTUMWA ni moja ya msemo wa Kiswahili wenye hekima sana inayoonesha umuhimu wa personal integrity.

Ukiwa na uadilifu, utakuwa na nidhamu ya kutekeleza wajibu wako bila kusukumwa wala kulazimishwa.

Kimsingi, tumekuzwa kuogopa wakubwa zetu (wazazi) na mambo mengi tulitekeleza kwa hofu ya kuchapwa au kunyimwa chakula. Kinyume na hapo HATUFANYI.

Hii kansa imesambaa hadi kwenye maeneo ya kazi, biashara na sehemu za utoaji huduma. Mashirika mengi yanayoongozwa na wageni hawapendelei kuajiri watanzania kwa sababu ya uzembe, ukosefu wa uamini, uadilifu, kutowajibika na kutojisimamia.

Tubadilike.
Kichwa cha habari na maelezo ni tofauti kabisa.
 
Yalikwenda wapi bana?!!mbona kila leo alikuwa akilalamika kuwa ina maana hawa wasaidizi wangu hawanielewi?!!
Yaani ilifikia waziri, katibu mkuu, Rc na Dc, wanashindwa kufanya maamuzi ya kitu kidogo tu, kwa kuhofia Rais, atanionaje?!!matokeo yake kila kitu alikuwa lazima akifanye yeye!!huwezi kufanikiwa kwa style hiyo!!nchi ni mifumo imala ndio uataongoza kirahisi!!unaona wazungu walishaimalisha mifumo, ndio maana unaona hawapati shida kuongoza!!
Alikuwa mala ngapi ana wasimamisha viongozi labda RMO, mbele ya mkutano anamwambia kesho sitaki kusikia tatizo la dawa bado lipo kwenye mkoa wako, kwa nidhamu ya uoga ata itikia, lakini anafahamu kabisa kuwa haiwezekani kwani wizarani ndiko kuna tatizo bajeti haitoshi!!
 
Nakuelewa mkuu. Lakini kwenye ofisi za umma watu waliona ahueni hasa kwenye upatikanaji wa huduma tofauti na ilivyozoeleka.

Kwenye hili tusiwe wanafiki, hofu ilisaidia sana wananchi kuhudumiwa kwa sababu kila mtu alikuwa analinda kibarua chake.

Mengine nakubaliana na wewe kama nilivyofafanua pia kwenye first post.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Bila kusukumwa hawaendi, watu hawaogopi tena sheria wala miongozo.

Tunatakiwa tusolve hili kwa dhati au tuendelee tu kuburuzana ili mambo yaende.
 
wanafki ni wengi km waliona marehem haendi vizuri si wangempindua km mzee wa rujsa enzi zile.

saivi kashakuwa marehemu ndo una popoa ooh simba wa yuda

ni jinsi gani anawatesa mpk kaburin
 
UOGA ukizidi sana,, kuna baadhi ya maamuzi watu wachini watashindwa kufanya wakiogopa mkulu ata react vipi....
 
Kinachohitajika ni Katiba Mpya tu, hapo kila kitu kitakwenda sawa.
Maboya wote hukimbilia chaka la katiba mpya...
Una katiba mpya watendaji wanafnya mambo hovyo hovyo, hayo maendeleo utayapataje?
 
Nani alimuambia Watanzania wanaweza kufanya kazi bila kusimamiwa au kusukumwa?

Nani alimuambia Watanzania wanapenda kufanya kazi, tena za umma? Haijui vizuri haiba ya Watanzania?

Kupitia nidhamu ya uoga tumeona huduma ziliboreshwa kwenye ofisi za umma.

Tukawa tunapata huduma nzuri, ndani ya muda mfupi na kwa rushwa kidogo au hakuna kabisa.

Amekuja yeye anayetaka nidhamu ya moyoni huduma zimekuwa mbovu, zinachukua muda mrefu, zimekuwa za kujuana na rushwa inaongezeka.

Mama alianza vizuri kabisa, ila kadiri anavyozungukwa na wahuni ndio anazidi kuharibu.

#kataawahuni
 
UOGA ukizidi sana,, kuna baadhi ya maamuzi watu wachini watashindwa kufanya wakiogopa mkulu ata react vipi....

Uko sahihi, lakini kutokuwa na uoga kabisa madhara yake ni makubwa zaidi. Ushajiuliza kwanini watu hawaogopi kukiuka sheria, kanuni na miiko ya maadili ya utumishi wa umma?
 
Nani alimuambia Watanzania wanaweza kufanya kazi bila kusimamiwa au kusukumwa?

Nani alimuambia Watanzania wanapenda kufanya kazi, tena za umma? Haijui vizuri haiba ya Watanzania?

Kupitia nidhamu ya uoga tumeona huduma ziliboreshwa kwenye ofisi za umma.

Tukawa tunapata huduma nzuri, ndani ya muda mfupi na kwa rushwa kidogo au hakuna kabisa.

Amekuja yeye anayetaka nidhamu ya moyoni huduma zimekuwa mbovu, zinachukua muda mrefu, zimekuwa za kujuana na rushwa inaongezeka.

Mama alianza vizuri kabisa, ila kadiri anavyozungukwa na wahuni ndio anazidi kuharibu.

#kataawahuni

Umeeleza vyema, na ndiyo msingi wa hoja yangu.

Hayo ya wahuni ni yako peke yako 😃
 
HIARI YASHINDA UTUMWA ni moja ya msemo wa Kiswahili wenye hekima kubwa sana unaoonesha umuhimu wa personal integrity.

Ukiwa muadilifu, utakuwa na nidhamu ya kutekeleza wajibu wako bila kusukumwa wala kulazimishwa.

Kwa bahati mbaya sana, Watanzania kwa asilimia kubwa hatujalelewa kuwa waadilifu na kujisimamia. Tukiaminiwa tunafanya hiyana.

Kimsingi, tumekuzwa kuogopa wakubwa zetu (wazazi/walezi) na mambo mengi tulitekeleza kwa hofu ya kuchapwa au kunyimwa chakula. Kinyume na hapo HATUFANYI.

Hii kansa imesambaa hadi kwenye maeneo ya kazi, biashara na sehemu za utoaji huduma. Mashirika mengi yanayoongozwa na wageni hawapendelei kuajiri watanzania kwa sababu ya uzembe, ukosefu wa uaminifu, uadilifu, kutowajibika na kutojisimamia.

Tumeona hata serikalini, watumishi wa umma walitekeleza majukumu yao ipasavyo kupitia 'nidhamu ya uoga' na mambo yakaenda.

Hivyo, kama nidhamu ya uoga ilisaidia watu kupata huduma nzuri, basi inatufaa sana kutokana na tulivyokuwa programmed tangu utotoni.

Kinyume na hapo ifanyike kazi kubwa ya kubadili tabia (behavioural change) kwa taifa zima. Mchakato ambao utahitaji muda na nia thabiti.
Wanatekeleza majukumu kinafiki na uogauoga.Haiwezekani ueleze kwamba mtumishi aliyejaa hofu,kutoielewa kesho,kunyanyaswa na Viongozi wa CCM,kipato duni,masimango na kila aina ya kadhia akuletee tija.Kama unaamini anakupa tija,basi ni kwa kiwango duni ambacho nacho kinaitwa kiwango.
 
Back
Top Bottom