Kama nikiulizwa kuwa nimeridhika na Utawala wa Rais Samia au ninamkumbuka Hayati Magufuli

Kama nikiulizwa kuwa nimeridhika na Utawala wa Rais Samia au ninamkumbuka Hayati Magufuli

Watu wa instagram ,facebook n.k.wanamlilia sana JPM na kumkumbuka,ila humu sijui mnakuwa mmetumwa? ...[emoji2][emoji2]
Wewe mlilie kama umpendae,kila mtu ana maoni yake.
Kwangu mimi hiyo hakufaa kabisa kuwa raid.
Samia tu kamzidi.
Alikua ni mtu muonevu Sana.
Angekua mtu safi Hawa akina Sabaya na Makonda wasingekuwepo.hawa ni product za Jiwe.
Unaona mamboadogo lakini niambie waliopotea wamepoteaje.
 
Watu wa instagram ,facebook n.k.wanamlilia sana JPM na kumkumbuka,ila humu sijui mnakuwa mmetumwa? ...[emoji2][emoji2]
Nakwambia hata wapinzani sasa hivi wanajua hakuna rais kama jpm, sijui alichelewa wapi kuwa rais hata kama asante mungu kutuonesha kuwa kuna watu wenye uwezo wa kipekee kama jpm
 
Wewe umejuaje ana hofu ya mungu, wewe umekua mungu hadi umsemee?

Unafiki na kujipendekeza hakutawasaidia.

Kuna mwenzako jana alisema akienda jehanamu sijui peponi asipomkuta samia anaondoka, sasa sijui yeye amejuaje kama huko peponi ataenda kama kweli kupo.
Sijasema nitakatifu wala mimi sio kada.najaribu tu kutofautisha kitabia Kati ya jiwe na huyu mama,ni heri tuwe na mama miaka kumi kuliko Jiwe miaka mitano.

Hofu ya Mungu ni neno linalotumika kuonesha watu wasivyoweza kutenda mabaya wazi wazi.

Hatuji ya sirini lakini ya wazi yanatuonesha tofauti.
Na chini ya jua hakuna siri,wote tu wakosefu lakini kuna wengine wanakosea hadharani mfano Sabaya.
Hebu fikiria kauli kama hizi "mimi watu wakimshangilia fulani kuwa wanaimani nae naweza kuwapoteza hata nusu ya wajumbe wote"
Au
"Msaliti kijeshi huwa anafanywa nini?wanajeshi wanajua"

Au walioishi kama malaika wataishi kama mashetani"
Au matajiri walikua wanajeuri mimi kwangu watakoma.
Fikiria vifo vyaawazo,ben,na matumizi ya Akina Lisu na wengine.haya.sio matendo ya mtu mwenye hofu ya Mungu.
Samia hawezi kufanya mambo hayo.Akifanya tutamsema.
Kikwete na mambo yake yote hakufika level hizo.
 
Nakwambia hata wapinzani sasa hivi wanajua hakuna rais kama jpm, sijui alichelewa wapi kuwa rais hata kama asante mungu kutuonesha kuwa kuna watu wenye uwezo wa kipekee kama jpm
Alifanya nini ambacho watangulizi wake hawakukifanya labda.
Mbona sioni.?
 
Kikosi maalumu cha kukusanya fedha kimefikia wap mama alisema hataki fedha ya dhulma na mkachukua milion mia 5 za mzee wangu kwa vigezo et achangie maendeleo ya nchi awe uzalendo yaani nimechukua kibabe lile jambazi wacha liende
Halafu alivitisha vyombo vya habari na vingine alifungia,alizuia Bunge lisiwe live,aliondoa uhuru wa watu ktoa maoni na kujadili siasa.alitisha waandishi wa habari.
Ndio maana maovu yake mengi hayakujulikana.
 
Watu wa instagram ,facebook n.k.wanamlilia sana JPM na kumkumbuka,ila humu sijui mnakuwa mmetumwa? ...[emoji2][emoji2]
Mzee yule alifungia vyombo vya habari,alivitisha,alitisha waandishi,alizuia uhuru wa kujadili mambo ya nchi,alizuia Bunge kuonekana live,alitumia mda mwingi wa TBC kujitangaza na kutangaza mambo yake.
Watu wengi hawakuweza kumuua upande wa pili wake.
Alidhalilisha watu wenye mafanikio kama Matajiri,wafanyabiashara wakubwa,wawekezaji,viongozi wastaafu,wafanyakazi,wakulima na wanasiasa wa Upinzani.
Sasa kwa kawaida watu wasio na mafanikio hufurahi Sana wqkiona kuna mtu ana waadhibu sehemu ya watu hao nilowataja hususan Matajiri na watu wenye mafanikio.
Watu wengi wa Insta na huko face book nadhani Wana mitazamo huo wa kufurahia watu wenye mafanikio wakiadhibiwa bila kujali kama wamekosea ama la
 
Tutakuwa na Rais Samia kwa kipindi cha miaka takriban mitano kabla ya Uchaguzi Mkuu kama mambo yakienda hivi bila Mungu kufanya yake. Inshallah naomba asifanye.

Kama nikiulizwa leo hii je unauonaje Utawala wa Samia?
Je, kwa jinsi Samia anavyoongoza unaona ni vema Magufuli angekuwepo?
Unajua katika Maisha huwa kuna wakati huwa tunawakumbuka Marehemu kwa uwezo wao na nafasi zao katika jamii kuanzia ngazi ya familia.

Jibu langu katika maswali hayo ni moja tu.

Ni afadhari mara mia Samia abaki miaka 10 kuliko Miaka mitano ya Magufuli.

Samia na Magufuli ni mbingu na ardhi.

Samia ana utu,ana hofu ya Mungu,hana kiburi,hana dharau,hana chuki,hana visasi,msikivu,hana roho mbaya,ana nidhamu,sio mkatili,ana heshima,ana heshimu wataalamu,viongozi wa dini,wazee na vijana.

Samia mtoto wa mjini hana mambo ya kishamba.

Anaeheshimu wakulima ,wafanyakazi na wafanyabiashara.

Hawazi kupoteza watu,
Ana huruma,hawezi kufurahia kuona mtoto wa mtu akipotezwa kwa sababu ya tofauti za kisiasa.

Hata ukiangalia body language za watu mitaani,Wana amani Sana.

Hana hotuba za vitisho wala dharau.
Ana vijimaneneo vyake tu vya kipwani,au kimamamama lakini sio sio maneno makali.

Kitu pekee kitamharibia Samia kama asipocheza karata zake vizuri ni Kesi ya Mwamba Mbowe tu.

Vyovyote itakavyokua Samia Sio Mkatili.
Hawezi kuruhusu au kufurahia mambo kama yaliyompata Lisu yatokee ndani ya awamu yake,

Hawezi kupanua barabara na asiwalipe wahanga.

Ukweli ni kwamba Kwangu mimi ni bora Samia kuliko Jiwe.

Nchi ilikokuwa inaelekea Ni Mungu tu ndio ajuaye.

Hivi kw mfano mambo haya ya kuogofya na kutisha aliyokuwa akiyafanya Sabaya Intelijensia za akina Sirro hazikuyaona?
Kama ni kulinganisha mlima na kichuguu, basi Samia ni mlima Kilimanjaro.

Lile zee ilikuwa ni a total waste...

Haijawahi Tanzania kupata Rais wa ovyo kama Mwendazake.

Tunamshukuru Mungu kwa kutunusuru kwenye mikono ile haramu
 
Sijasema nitakatifu wala mimi sio kada.najaribu tu kutofautisha kitabia Kati ya jiwe na huyu mama,ni heri tuwe na mama miaka kumi kuliko Jiwe miaka mitano.

Hofu ya Mungu ni neno linalotumika kuonesha watu wasivyoweza kutenda mabaya wazi wazi.

Hatuji ya sirini lakini ya wazi yanatuonesha tofauti.
Na chini ya jua hakuna siri,wote tu wakosefu lakini kuna wengine wanakosea hadharani mfano Sabaya.
Hebu fikiria kauli kama hizi "mimi watu wakimshangilia fulani kuwa wanaimani nae naweza kuwapoteza hata nusu ya wajumbe wote"
Au
"Msaliti kijeshi huwa anafanywa nini?wanajeshi wanajua"

Au walioishi kama malaika wataishi kama mashetani"
Au matajiri walikua wanajeuri mimi kwangu watakoma.
Fikiria vifo vyaawazo,ben,na matumizi ya Akina Lisu na wengine.haya.sio matendo ya mtu mwenye hofu ya Mungu.
Samia hawezi kufanya mambo hayo.Akifanya tutamsema.
Kikwete na mambo yake yote hakufika level hizo.
Sasa ulitaka aseme msaliti kijeshi hua anachekewa? Umewahi kusikia wapi msaliti kijeshi anabembelezwa? Hata huko Marekani anahukumiwa kifo.

Kwa hiyo unataka msaliti kijeshi asemewa, maneno ya kumfurahisha, kumbembeleza? I thought una hoja kumbe I was wrong, ni utumbo bin uharo.
 
Kama ni kulinganisha mlima na kichuguu, basi Samia ni mlima Kilimanjaro.

Lile zee ilikuwa ni a total waste...

Haijawahi Tanzania kupata Rais wa ovyo kama Mwendazake.

Tunamshukuru Mungu kwa kutunusuru kwenye mikono ile haramu
Kama alikua total waste mungu alitakiwa kua anajua kabla wewe na wengine mnaomuita total waste hamjajua. Ama mungu hakujua hilo amekuja kujua baada ya yeye kua rais tena kwa miaka 5 ndio akamuondoa?

Huyo Mungu unaemshukuru atakua na akili gani kama sio uharo kama za kwako?
 
Akili za kisukuma gang hizi. Unadhani Mungu anashindwa kumwangamiza shetani? Mbona anamuacha asumbue watu wake? Mungu huyohuyo alimwacha Meko atunyooshe ili apime akili zetu. Alivyoona akili zetu zimekaa kiUtopolo akaona isiwe taabu, akanyoosha mkono wake kutuokoa...

Hakika tumeuona mkono wake Bwana....
 
Sasa ulitaka aseme msaliti kijeshi hua anachekewa? Umewahi kusikia wapi msaliti kijeshi anabembelezwa? Hata huko Marekani anahukumiwa kifo.

Kwa hiyo unataka msaliti kijeshi asemewa, maneno ya kumfurahisha, kumbembeleza? I thought una hoja kumbe I was wrong, ni utumbo bin uharo.
Sawa ndugu Hakimu Mfawidhi.
Umejiitata jina kubwa Sana lakini haliakisi matendo yako.

Hivi unajua mazingira ya vitani na uraiani lakini?
Sisi Tanzania tulikua tunapigana na nani wakati wa Jiwe?je baada ya Jiwe kufa vita imekwisha?
Je Raisi mzima anaweza kutumia magenge ya kihalifu kwenda kumuua mtu anaetuhumiwa kusaliti nchi ikiwa vitani ? Tena vita isiyoeleweka?
Je kwa nini hapakufanyika upelelezi rasmi wa kuhusisha vyombo vya Usalama halisi kama polisi na TISS,akakamatwa na ushahidi wote,akafikishwa mahakamani,akashitakiwa kwa usaliti wake,akapewa nafasi ya kujitetea na Kisha Mahakama ikaamua.

Badala ya kufuata njia zote halali za kumkamata msaliti,akatumiwa magenge ya kihalifu ambayo sio rasmi katika utendaji wa kiserilali katika kushughulika na wahalifu yakamiminia risasi.

Hakimu mzima unateteta njia za uovu zisizo kisheria kushughulika mtu ambae unaamini ni msaliti wa taifa,mtu ambae alikuwepo nchini na akiwa ni kiongozi na Mbunge wa chama cha Upinzani.
Mtu ambae kwake panafahamika .kwa nini hakukamatwa?
Ukisikia mahakimu maandazi ndio wewe.
Nyinyi ndio wale mahakimu wa mwendokasi hujui Sheria wala haki za binadamu.
 
Wewe hujui kua nchi zote Duniani ziko kwenye constant war? Siku zote nchi ziko vitani.

Wewe vita unajua ni kama vile tulikua tunapigana na Uganda? Hivyo kwako ndio vita pekee ambavyo nchi inapigana? Haya mambo ya usalama wa nchi yako juu yako usiendelee kuyajadili maana huelewi chochote.

Rais ndie mwenye mamlaka ya kulinda nchi, yeye akiona threats za national security ana wajibu wa kulinda nchi kwa namna anavyoona inafaa. Soma basi hata katiba ujue majukumu ya rais.

Lazima ujue kua kuna overt and convert operations, sio kila adui wa nchi lazima apelekwe mahakamani, wengine wanapotezwa tu. Hii ni kwa mataifa yote hata unayoyafikiria ya demokrasia kama Marekani na Uingereza maana watanzania wengi akili ndogo kila kitu kulinganisha na Marekani na Uingereza. Wale hawwkufika hapo kwa hizi akili ndogo zilizopo Tanzania.

Usipende kudanganyika na hadithi za mitaani na ngonjera zisizo na akili.

So I am trying to get you see things differently.
Sawa ndugu Hakimu Mfawidhi.
Umejiitata jina kubwa Sana lakini haliakisi matendo yako.

Hivi unajua mazingira ya vitani na uraiani lakini?
Sisi Tanzania tulikua tunapigana na man wakati wa Jiwe?je baada ya Jiwe kufa vita imekwisha?
Je Raisi mzima anaweza kutumia magenge ya kihalifu kwenda kumuua mtu anaetuhumiwa kusaliti nchi ikiwa vitani ? Tena vita isiyoeleweka?
Je kwa nini hapakufanyika upelelezi rasmi wa kuhususha vyombo vya Usalama halisia,akakamatwa na ushahidi wote,akatikiswa mahakamani,akashitakiwa kwa usaliti wake,akapewa nafasi ya kujitetea na Kisha Mahakama ikaamua.

Badala ya kufuata njia zote halali za kumkamata msaliti,akatikiswa magenge ya kihalifu ambayo sio rasmi katika utendaji wa kiserilali katika kushughulika na wahalifu yakamiminia risasi.

Hakimu mzima unateteta njia za uovu zisizo kisheria kushughulika mtu unaamini ni msaliti wa taifa,mtu ambae alikuwepo nchini na akiwa ni kiongozi na Mbunge wa chama cha Upinzani.
Ukisikia mahakimu maandazi ndio wewe.
Nyinyi ndio wale mahakimu wa mwendokasi hujui Sheria wala haki za binadamu.
 
Akili za kisukuma gang hizi. Unadhani Mungu anashindwa kumwangamiza shetani? Mbona anamuacha asumbue watu wake? Mungu huyohuyo alimwacha Meko atunyooshe ili apime akili zetu. Alivyoona akili zetu zimekaa kiUtopolo akaona isiwe taabu, akanyoosha mkono wake kutuokoa...

Hakika tumeuona mkono wake Bwana...

Kama ni kulinganisha mlima na kichuguu, basi Samia ni mlima Kilimanjaro.

Lile zee ilikuwa ni a total waste...

Haijawahi Tanzania kupata Rais wa ovyo kama Mwendazake.

Tunamshukuru Mungu kwa kutunusuru kwenye mikono ile haramu
Hakika kabisa Mkuu Aspirin.

Kauli za kuogofya na vitisho ndio ilikua sehemu ya Maisha yake.
Kwa mfano alimwabia PM na watu wa kusini wakiandana atapiga Hadi shangazi zake,
Kauli kama hizi Samia hawezi kuzitoa.

Kauli kama kwanza wafanyakazi mko wachache Sana kura zenu hazitaniathiri chochote kauli kama hizi sio kauli za kiongozi makini.

Kubadilisha taratibu nzuri walizokuja nazo waliomtangulia kama utoaji wa Loan board kwa wanachuo.kwamba watoto waliosomeshwa English medium wasipewe mikopo kwa sababu wazazi wao wana uwezo wa kuwasomesha,huo hakujua utaratibu walioamua watangulizi wake.
Yaani mambo ni mengi yule jamaa alikua ni mtu wa ajabu sana.

Kauli kwa watu waliopatwa na majanga ka matetemeko au baa la njaa alizokua akiwapa watu hazikua kauli zilizofaa kutoka kwa mtu tegemea km rais
 
Akili za kisukuma gang hizi. Unadhani Mungu anashindwa kumwangamiza shetani? Mbona anamuacha asumbue watu wake? Mungu huyohuyo alimwacha Meko atunyooshe ili apime akili zetu. Alivyoona akili zetu zimekaa kiUtopolo akaona isiwe taabu, akanyoosha mkono wake kutuokoa...

Hakika tumeuona mkono wake Bwana....
Huyo mtu unaemuelewesha hivyo anajiita Hakimu,
Wakati wake Jiwe alikuabanavunja Sheria waziwazi kila siku,mchana kweupe lakini watu wakashangilia tu.

Mtu alijaa kiburi na dharau hata kwa maraisi waliomtangulia,kodi zilikusanywa kimafia,kwa vitisho,watu walifunga biashara,watu walikimbia nchi,watu walibambikiwa makesi,watu wakitekwa,watu walihukumia maporini na waiiadhibiwa hukohuko.Yuko wapi Ben.
Samia Hawezi kufanya Hivi,alifanya tutamshitaki kwa Mungu.
Lakini Jiwe hakua mtu mzuri,nakubaliana na wewe Mungu Mkuu ni fundi.
 
Wewe hujui kua nchi zote Duniani ziko kwenye constant war? Siku zote nchi ziko vitani.

Wewe vita unajua ni kama vile tulikua tunapigana na Uganda? Hivyo kwako ndio vita pekee ambavyo nchi inapigana? Haya mambo ya usalama wa nchi yako juu yako usiendelee kuyajadili maana huelewi chochote.

Rais ndie mwenye mamlaka ya kulinda nchi, yeye akiona threats za national security ana wajibu wa kulinda nchi kwa namna anavyoona inafaa. Soma basi hata katiba ujue majukumu ya rais.

Lazima ujue kua kuna overt and convert operations, sio kila adui wa nchi lazima apelekwe mahakamani, wengine wanapotezwa tu. Hii ni kwa mataifa yote hata unayoyafikiria ya demokrasia kama Marekani na Uingereza maana watanzania wengi akili ndogo kila kitu kulinganisha na Marekani na Uingereza. Wale hawwkufika hapo kwa hizi akili ndogo zilizopo Tanzania.

Usipende kudanganyika na hadithi za mitaani na ngonjera zisizo na akili.

So I am trying to get you see things differently.
Kwa hiyo baada ya kufa Jiwe sasa hiyo constant war imekwisha?
Ama wakati wa Kikwete haikuwepo?

Huyo mtu aliemshambulia kwa risasi alikua kajificha nje ya nchi?
Au alikuwepo nchini?

Hakua anafahamika?

Wewe kweli kilaza,hujui lolote nasema.

Kwa kuwa raisi ndio mwenye mamlaka ya kulinda nchi ndo anafanya anavyotaka?
Ndugu acha kusikiliza habari za vijiweni.
,akiamka akaona fulani anatishia ufalme wake anamzushia tu neno kuwa anahatarisha Usalama wa nchi,anaruhusu magenge yakamshughulikie.
Aisee kweli tunanahitaji katiba mpya Ili kupunguza madaraka haya makubwa.

Mambo ya Usalama yako juu yangu nisiendelee kuyajadili.Aisee

Hivi suala la kushambuliwa Mbunge Lissu na genge la kihalifu linahusu Usalama wa Nchi?

Lisu alikua threat kwa national security,aisee! Kazi ipo.
Unajua kuwa nini watu wanadai katiba mpya ,ni kwa sababu ya utopolo kama huo ulioandika.
 
Yote tisa, kumi ni katiba mpya
Alisema tusubiri, sioni ubaya katika hilo! Katiba mpya ni jambo kubwa linalohitaji utulivu mkubwa kulishughulikia, mambo kadhaa yaliyoharibiwa na aliyepita yakikaa sawa then katiba mpya itakuja tu
 
Utakuwa fisadi wewe si bure!! Halafu utawala huu kusema kweli ni awamu ya tano sehemu ya pili!! Ilani ni ile ile na watu ni wale wale kasoro viraka vya hapa na hapa na viraka vyenyewe ni kutoka nguo iĺe ile!! Ikakatwa sehemu ya nguo ya mgongoni inapachikwa kifuani na mambo kama hayo hayo!
Kwa mawazo yako ni awamu ya tano lakini kwa mujibu wa katiba ni serikali ya awamu ya sita
 
Sasa ulitaka aseme msaliti kijeshi hua anachekewa? Umewahi kusikia wapi msaliti kijeshi anabembelezwa? Hata huko Marekani anahukumiwa kifo.

Kwa hiyo unataka msaliti kijeshi asemewa, maneno ya kumfurahisha, kumbembeleza? I thought una hoja kumbe I was wrong, ni utumbo bin uharo.
Twende moja kwa moja kwa mlengwa wa usaliti aliekuja anakusudiwa.Lissu. je ni kweli Lisu alikua msaliti?
Lisu hakua Mwanajeshi,na hapakua na vita vya moto huko uwanja wa vita.
Natambua uwepo wa vita vya kiuchumi.
Je Lisu huyuhuyu tunaemjua kama kweli alisaliti vita vya kiuchumi,walishindwa nini kumkamata?
Wanajua anapokaa Dar,singida na Dodoma,
Ni Mbunge anaehudhuria vikao vya Bunge kila siku ,
Ana ofisi,anahutubia mikutano ya siasa na mambo mengine.
Aisee ndugu yangu Usalama.wa Taifa hawafanyi mambo kishamba namna hiyo.
Hizo ni Tabia za watu washamba.

Nyerere alikua na wanasiasa walomtesa mno lakini hakufika level hiyo.
Walikuwepo akina Kambona ,Kasanga Tumbo,Mapalala,etc.aliwaweka vizuizini tu lakini sio huyo jamaa yako.
 
Back
Top Bottom