Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Yaani acha tu...Nakwambia hata wapinzani sasa hivi wanajua hakuna rais kama jpm, sijui alichelewa wapi kuwa rais hata kama asante mungu kutuonesha kuwa kuna watu wenye uwezo wa kipekee kama jpm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani acha tu...Nakwambia hata wapinzani sasa hivi wanajua hakuna rais kama jpm, sijui alichelewa wapi kuwa rais hata kama asante mungu kutuonesha kuwa kuna watu wenye uwezo wa kipekee kama jpm
Huku ndio peupe sasa[emoji2],watu wanaigiza sana.Akili zao za kisado wataleta humu
Twitter na JF huwez AMINI kama nao ni watanzania. Huko FB na Ista ktk comment 1000,hazifiki 20 za kumponda Magufuli. Maoni sahihi na ya watanzania wengi huwez yapata Twitter au JFWatu wa instagram ,facebook n.k.wanamlilia sana JPM na kumkumbuka,ila humu sijui mnakuwa mmetumwa? ...[emoji2][emoji2]
Very true buddy. That idiot was a horrible monster.Nope, a monster. I guess man-eater
😂😂😂😂😂😂😂🙀🙀🙀🙀🙀🙀🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔Tutakuwa na Rais Samia kwa kipindi cha miaka takriban mitano kabla ya Uchaguzi Mkuu kama mambo yakienda hivi bila Mungu kufanya yake. Inshallah naomba asifanye.
Kama nikiulizwa leo hii je unauonaje Utawala wa Samia?
Je, kwa jinsi Samia anavyoongoza unaona ni vema Magufuli angekuwepo?
Unajua katika Maisha huwa kuna wakati huwa tunawakumbuka Marehemu kwa uwezo wao na nafasi zao katika jamii kuanzia ngazi ya familia.
Jibu langu katika maswali hayo ni moja tu.
Ni afadhari mara mia Samia abaki miaka 10 kuliko Miaka mitano ya Magufuli.
Samia na Magufuli ni mbingu na ardhi.
Samia ana utu,ana hofu ya Mungu,hana kiburi,hana dharau,hana chuki,hana visasi,msikivu,hana roho mbaya,ana nidhamu,sio mkatili,ana heshima,ana heshimu wataalamu,viongozi wa dini,wazee na vijana.
Samia mtoto wa mjini hana mambo ya kishamba.
Anaeheshimu wakulima ,wafanyakazi na wafanyabiashara.
Hawazi kupoteza watu,
Ana huruma,hawezi kufurahia kuona mtoto wa mtu akipotezwa kwa sababu ya tofauti za kisiasa.
Hata ukiangalia body language za watu mitaani,Wana amani Sana.
Hana hotuba za vitisho wala dharau.
Ana vijimaneneo vyake tu vya kipwani,au kimamamama lakini sio sio maneno makali.
Kitu pekee kitamharibia Samia kama asipocheza karata zake vizuri ni Kesi ya Mwamba Mbowe tu.
Vyovyote itakavyokua Samia Sio Mkatili.
Hawezi kuruhusu au kufurahia mambo kama yaliyompata Lisu yatokee ndani ya awamu yake,
Hawezi kupanua barabara na asiwalipe wahanga.
Ukweli ni kwamba Kwangu mimi ni bora Samia kuliko Jiwe.
Nchi ilikokuwa inaelekea Ni Mungu tu ndio ajuaye.
Hivi kw mfano mambo haya ya kuogofya na kutisha aliyokuwa akiyafanya Sabaya Intelijensia za akina Sirro hazikuyaona?
Wa JF walisema Lissu atashinda kwa zaidi ya asilimia themanini,hawakujua Watanzania waliowengi hawajawahi kusikia hata JF Nini,kilichooza nafikiri alimusimulia Bibi yake Ikungi.Twitter na JF huwez AMINI kama nao ni watanzania. Huko FB na Ista ktk comment 1000,hazifiki 20 za kumponda Magufuli. Maoni sahihi na ya watanzania wengi huwez yapata Twitter au JF
Dikteta alikuwa anatutia hofu wafanyakazi na wafanyabiasharaTutakuwa na Rais Samia kwa kipindi cha miaka takriban mitano kabla ya Uchaguzi Mkuu kama mambo yakienda hivi bila Mungu kufanya yake. Inshallah naomba asifanye.
Kama nikiulizwa leo hii je unauonaje Utawala wa Samia?
Je, kwa jinsi Samia anavyoongoza unaona ni vema Magufuli angekuwepo?
Unajua katika Maisha huwa kuna wakati huwa tunawakumbuka Marehemu kwa uwezo wao na nafasi zao katika jamii kuanzia ngazi ya familia.
Jibu langu katika maswali hayo ni moja tu.
Ni afadhari mara mia Samia abaki miaka 10 kuliko Miaka mitano ya Magufuli.
Samia na Magufuli ni mbingu na ardhi.
Samia ana utu,ana hofu ya Mungu,hana kiburi,hana dharau,hana chuki,hana visasi,msikivu,hana roho mbaya,ana nidhamu,sio mkatili,ana heshima,ana heshimu wataalamu,viongozi wa dini,wazee na vijana.
Samia mtoto wa mjini hana mambo ya kishamba.
Anaeheshimu wakulima ,wafanyakazi na wafanyabiashara.
Hawazi kupoteza watu,
Ana huruma,hawezi kufurahia kuona mtoto wa mtu akipotezwa kwa sababu ya tofauti za kisiasa.
Hata ukiangalia body language za watu mitaani,Wana amani Sana.
Hana hotuba za vitisho wala dharau.
Ana vijimaneneo vyake tu vya kipwani,au kimamamama lakini sio sio maneno makali.
Kitu pekee kitamharibia Samia kama asipocheza karata zake vizuri ni Kesi ya Mwamba Mbowe tu.
Vyovyote itakavyokua Samia Sio Mkatili.
Hawezi kuruhusu au kufurahia mambo kama yaliyompata Lisu yatokee ndani ya awamu yake,
Hawezi kupanua barabara na asiwalipe wahanga.
Ukweli ni kwamba Kwangu mimi ni bora Samia kuliko Jiwe.
Nchi ilikokuwa inaelekea Ni Mungu tu ndio ajuaye.
Hivi kw mfano mambo haya ya kuogofya na kutisha aliyokuwa akiyafanya Sabaya Intelijensia za akina Sirro hazikuyaona?
Samia ana hofu ya Mungu,huwezi kumfananisha na dikteta mwendazakeWewe umejuaje ana hofu ya mungu, wewe umekua mungu hadi umsemee?
Unafiki na kujipendekeza hakutawasaidia.
Kuna mwenzako jana alisema akienda jehanamu sijui peponi asipomkuta samia anaondoka, sasa sijui yeye amejuaje kama huko peponi ataenda kama kweli kupo.
Mzee alikuwa na roho chafu mnooHakika kabisa Mkuu Aspirin.
Kauli za kuogofya na vitisho ndio ilikua sehemu ya Maisha yake.
Kwa mfano alimwabia PM na watu wa kusini wakiandana atapiga Hadi shangazi zake,
Kauli kama hizi Samia hawezi kuzitoa.
Kauli kama kwanza wafanyakazi mko wachache Sana kura zenu hazitaniathiri chochote kauli kama hizi sio kauli za kiongozi makini.
Kubadilisha taratibu nzuri walizokuja nazo waliomtangulia kama utoaji wa Loan board kwa wanachuo.kwamba watoto waliosomeshwa English medium wasipewe mikopo kwa sababu wazazi wao wana uwezo wa kuwasomesha,huo hakujua utaratibu walioamua watangulizi wake.
Yaani mambo ni mengi yule jamaa alikua ni mtu wa ajabu sana.
Kauli kwa watu waliopatwa na majanga ka matetemeko au baa la njaa alizokua akiwapa watu hazikua kauli zilizofaa kutoka kwa mtu tegemea km rais
Na kwa upande mwingine linganisha Uongozi wa Kikwete aliajiri walimu wote tena bila application kila mwakaMleta mada,
Ukitaka ujue ubora na udhaifu wa JPM na Mamá Samia basi ingekupasa urejee changamoto tulizokuwa nazo toka awamu ya Kikwete.
**Rejea zile kelele za wananchi tukiongozwa na Chadema juu ya ufisadi wa Serikali ya JK ( skendo za EPA, Richmond, Escrow, ufisadi nssf) matumizi mabovu ya kodi za wananchi (safari za nje ya nchi za viongozi mbalimbali, semina na warsha zenye posho nono nono etc)
, rushwa kila kona, madawa ya kulevya, ujambazi na uporaji silaha kwenye vituo vya polisi, ugaidi wa kibiti mkuranga, ukwepaji kodi bandarini na kwenye biashara, watumishi hewa, huduma mbovu sekta ya afya, ubovu miundombinu ya barabara reli,na mengine kadha wa kadha
Kisha angalia alivyoingia Magufuli madarakani ameweza kushughulikia kwa kiwango gani hizo kero na changamoto zilizokuwa zinaikabili nchi yetu, ndipo utajua Magufuli alipiga kazi au alikuja kuuza sura
Sio unaleta vitu dhaifu dhaifu vya kumlinganisha Magufuli na Mamá Samia eti huruma, hana dharau, hana visasi, anapenda watu,,,, shabaaashhh....!!!
Magufuli hakuja kuuza sura, alikuja kuchapa kazi na kazi imeonekana.
atafungwa kulingana na nguvu ya ushahidi au kuachiwa kutokana na udhaifu wa ushahidi.Kitu amabcho nina uhakika nacho ni kwamba Mbowe hatafungwa na Katiba Mpya utakuja.
Kuna vitu vinakwepeka na kuna vitu havikwepeki.
Kwa kosa la Ugaidi kumfunga Mbowe ni ngumu mno,
Na kwa hatua ilipofika kuikataa Katiba Mpya kwa sababu zao wanaoikataa ni ngumu mno.
Hivi huwa mnazungumzia huu Uchaguzi uliopita au mnatania.Wa JF walisema Lissu atashinda kwa zaidi ya asilimia themanini,hawakujua Watanzania waliowengi hawajawahi kusikia hata JF Nini,kilichooza nafikiri alimusimulia Bibi yake Ikungi.
UN kumuenzi JPM kuliwaumbua, Watanzania kukanyagana wakimuaga lilikuwa pigo jingine.
Na kwa upande mwingine linganisha Uongozi wa Kikwete aliajiri walimu wote tena bila application kila mwaka
Alipandisha mishahara ya watumishi na madaraja kila mwaka.
Aliunganisha barabara za lami mikoa yote.
Alijenga hospitali kubwa za kitaifa.
Alijenga chuo kikuu kikubwa Africa Mashariki.
Aliruhusu democrasia.
No.
Hapo sasa na umlinganishe na Ngosha
Kweli kabisa ,pamoja na ufisadi lakini aliweza kufanya yote hayo,jamaa yangu yeye kazi aliyofanya ni Kujenga vipandevipande vya barabara kwa kutumia mishahara ya wafanyakazi ambayo hakupandisha miaka 5.Na kwa upande mwingine linganisha Uongozi wa Kikwete aliajiri walimu wote tena bila application kila mwaka
Alipandisha mishahara ya watumishi na madaraja kila mwaka.
Aliunganisha barabara za lami mikoa yote.
Alijenga hospitali kubwa za kitaifa.
Alijenga chuo kikuu kikubwa Africa Mashariki.
Aliruhusu democrasia.
No.
Hapo sasa na umlinganishe na Ngosha
Yaani badala ya kuiunganisha nchi yeye akaanza kuigawa.Mzee alikuwa na roho chafu mnoo
Vyovyote Samia atakavyokua lakini hawezi kuwa na roho kama ya Jiwe.Samia ana hofu ya Mungu,huwezi kumfananisha na dikteta mwendazake
Suala la kuongeza mishahara ni la kisheria lakini alifanya kama ni hisani.Dikteta alikuwa anatutia hofu wafanyakazi na wafanyabiashara
Kweli kabisa mambo yanayostahili kufanywa na serikali yoyote yeye aliyafanya yaonekane ni yeye kafanya,wakati watu wanalipa kodi na hata maraisi wengine walishayafanya tena zaidi yake.Ni kweli alikuwa wa kipekee kwa kujigia promo kubwaaaa kwenye mambo ya kawaida kabisa
Aloanzisha ulinganisho wa JK na JPM kwenye mada hii sio mimi.Kikwete amefanya mengi sana ambayo ni mazuri pia
Lakini mada inahusu ulinganisho wa JPM na Samia,
labda ufungue uzi mpya wa JK vs JPM