lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
- Thread starter
-
- #21
Wewe mlilie kama umpendae,kila mtu ana maoni yake.Watu wa instagram ,facebook n.k.wanamlilia sana JPM na kumkumbuka,ila humu sijui mnakuwa mmetumwa? ...[emoji2][emoji2]
Nakwambia hata wapinzani sasa hivi wanajua hakuna rais kama jpm, sijui alichelewa wapi kuwa rais hata kama asante mungu kutuonesha kuwa kuna watu wenye uwezo wa kipekee kama jpmWatu wa instagram ,facebook n.k.wanamlilia sana JPM na kumkumbuka,ila humu sijui mnakuwa mmetumwa? ...[emoji2][emoji2]
Sijasema nitakatifu wala mimi sio kada.najaribu tu kutofautisha kitabia Kati ya jiwe na huyu mama,ni heri tuwe na mama miaka kumi kuliko Jiwe miaka mitano.Wewe umejuaje ana hofu ya mungu, wewe umekua mungu hadi umsemee?
Unafiki na kujipendekeza hakutawasaidia.
Kuna mwenzako jana alisema akienda jehanamu sijui peponi asipomkuta samia anaondoka, sasa sijui yeye amejuaje kama huko peponi ataenda kama kweli kupo.
Alifanya nini ambacho watangulizi wake hawakukifanya labda.Nakwambia hata wapinzani sasa hivi wanajua hakuna rais kama jpm, sijui alichelewa wapi kuwa rais hata kama asante mungu kutuonesha kuwa kuna watu wenye uwezo wa kipekee kama jpm
Halafu alivitisha vyombo vya habari na vingine alifungia,alizuia Bunge lisiwe live,aliondoa uhuru wa watu ktoa maoni na kujadili siasa.alitisha waandishi wa habari.Kikosi maalumu cha kukusanya fedha kimefikia wap mama alisema hataki fedha ya dhulma na mkachukua milion mia 5 za mzee wangu kwa vigezo et achangie maendeleo ya nchi awe uzalendo yaani nimechukua kibabe lile jambazi wacha liende
Swadaktaaaa! Jiwe was an animal.
Mzee yule alifungia vyombo vya habari,alivitisha,alitisha waandishi,alizuia uhuru wa kujadili mambo ya nchi,alizuia Bunge kuonekana live,alitumia mda mwingi wa TBC kujitangaza na kutangaza mambo yake.Watu wa instagram ,facebook n.k.wanamlilia sana JPM na kumkumbuka,ila humu sijui mnakuwa mmetumwa? ...[emoji2][emoji2]
Kama ni kulinganisha mlima na kichuguu, basi Samia ni mlima Kilimanjaro.Tutakuwa na Rais Samia kwa kipindi cha miaka takriban mitano kabla ya Uchaguzi Mkuu kama mambo yakienda hivi bila Mungu kufanya yake. Inshallah naomba asifanye.
Kama nikiulizwa leo hii je unauonaje Utawala wa Samia?
Je, kwa jinsi Samia anavyoongoza unaona ni vema Magufuli angekuwepo?
Unajua katika Maisha huwa kuna wakati huwa tunawakumbuka Marehemu kwa uwezo wao na nafasi zao katika jamii kuanzia ngazi ya familia.
Jibu langu katika maswali hayo ni moja tu.
Ni afadhari mara mia Samia abaki miaka 10 kuliko Miaka mitano ya Magufuli.
Samia na Magufuli ni mbingu na ardhi.
Samia ana utu,ana hofu ya Mungu,hana kiburi,hana dharau,hana chuki,hana visasi,msikivu,hana roho mbaya,ana nidhamu,sio mkatili,ana heshima,ana heshimu wataalamu,viongozi wa dini,wazee na vijana.
Samia mtoto wa mjini hana mambo ya kishamba.
Anaeheshimu wakulima ,wafanyakazi na wafanyabiashara.
Hawazi kupoteza watu,
Ana huruma,hawezi kufurahia kuona mtoto wa mtu akipotezwa kwa sababu ya tofauti za kisiasa.
Hata ukiangalia body language za watu mitaani,Wana amani Sana.
Hana hotuba za vitisho wala dharau.
Ana vijimaneneo vyake tu vya kipwani,au kimamamama lakini sio sio maneno makali.
Kitu pekee kitamharibia Samia kama asipocheza karata zake vizuri ni Kesi ya Mwamba Mbowe tu.
Vyovyote itakavyokua Samia Sio Mkatili.
Hawezi kuruhusu au kufurahia mambo kama yaliyompata Lisu yatokee ndani ya awamu yake,
Hawezi kupanua barabara na asiwalipe wahanga.
Ukweli ni kwamba Kwangu mimi ni bora Samia kuliko Jiwe.
Nchi ilikokuwa inaelekea Ni Mungu tu ndio ajuaye.
Hivi kw mfano mambo haya ya kuogofya na kutisha aliyokuwa akiyafanya Sabaya Intelijensia za akina Sirro hazikuyaona?
Sasa ulitaka aseme msaliti kijeshi hua anachekewa? Umewahi kusikia wapi msaliti kijeshi anabembelezwa? Hata huko Marekani anahukumiwa kifo.Sijasema nitakatifu wala mimi sio kada.najaribu tu kutofautisha kitabia Kati ya jiwe na huyu mama,ni heri tuwe na mama miaka kumi kuliko Jiwe miaka mitano.
Hofu ya Mungu ni neno linalotumika kuonesha watu wasivyoweza kutenda mabaya wazi wazi.
Hatuji ya sirini lakini ya wazi yanatuonesha tofauti.
Na chini ya jua hakuna siri,wote tu wakosefu lakini kuna wengine wanakosea hadharani mfano Sabaya.
Hebu fikiria kauli kama hizi "mimi watu wakimshangilia fulani kuwa wanaimani nae naweza kuwapoteza hata nusu ya wajumbe wote"
Au
"Msaliti kijeshi huwa anafanywa nini?wanajeshi wanajua"
Au walioishi kama malaika wataishi kama mashetani"
Au matajiri walikua wanajeuri mimi kwangu watakoma.
Fikiria vifo vyaawazo,ben,na matumizi ya Akina Lisu na wengine.haya.sio matendo ya mtu mwenye hofu ya Mungu.
Samia hawezi kufanya mambo hayo.Akifanya tutamsema.
Kikwete na mambo yake yote hakufika level hizo.
Kama alikua total waste mungu alitakiwa kua anajua kabla wewe na wengine mnaomuita total waste hamjajua. Ama mungu hakujua hilo amekuja kujua baada ya yeye kua rais tena kwa miaka 5 ndio akamuondoa?Kama ni kulinganisha mlima na kichuguu, basi Samia ni mlima Kilimanjaro.
Lile zee ilikuwa ni a total waste...
Haijawahi Tanzania kupata Rais wa ovyo kama Mwendazake.
Tunamshukuru Mungu kwa kutunusuru kwenye mikono ile haramu
Akili za kisukuma gang hizi. Unadhani Mungu anashindwa kumwangamiza shetani? Mbona anamuacha asumbue watu wake? Mungu huyohuyo alimwacha Meko atunyooshe ili apime akili zetu. Alivyoona akili zetu zimekaa kiUtopolo akaona isiwe taabu, akanyoosha mkono wake kutuokoa...Kama alikua total waste mungu alitakiwa kua anajua kabla wewe na wengine mnaomuita total waste hamjajua. Ama mungu hakujua hilo amekuja kujua baada ya yeye kua rais tena kwa miaka 5 ndio akamuondoa?
Huyo Mungu unaemshukuru atakua na akili gani kama sio uharo kama za kwako?
Sawa ndugu Hakimu Mfawidhi.Sasa ulitaka aseme msaliti kijeshi hua anachekewa? Umewahi kusikia wapi msaliti kijeshi anabembelezwa? Hata huko Marekani anahukumiwa kifo.
Kwa hiyo unataka msaliti kijeshi asemewa, maneno ya kumfurahisha, kumbembeleza? I thought una hoja kumbe I was wrong, ni utumbo bin uharo.
Sawa ndugu Hakimu Mfawidhi.
Umejiitata jina kubwa Sana lakini haliakisi matendo yako.
Hivi unajua mazingira ya vitani na uraiani lakini?
Sisi Tanzania tulikua tunapigana na man wakati wa Jiwe?je baada ya Jiwe kufa vita imekwisha?
Je Raisi mzima anaweza kutumia magenge ya kihalifu kwenda kumuua mtu anaetuhumiwa kusaliti nchi ikiwa vitani ? Tena vita isiyoeleweka?
Je kwa nini hapakufanyika upelelezi rasmi wa kuhususha vyombo vya Usalama halisia,akakamatwa na ushahidi wote,akatikiswa mahakamani,akashitakiwa kwa usaliti wake,akapewa nafasi ya kujitetea na Kisha Mahakama ikaamua.
Badala ya kufuata njia zote halali za kumkamata msaliti,akatikiswa magenge ya kihalifu ambayo sio rasmi katika utendaji wa kiserilali katika kushughulika na wahalifu yakamiminia risasi.
Hakimu mzima unateteta njia za uovu zisizo kisheria kushughulika mtu unaamini ni msaliti wa taifa,mtu ambae alikuwepo nchini na akiwa ni kiongozi na Mbunge wa chama cha Upinzani.
Ukisikia mahakimu maandazi ndio wewe.
Nyinyi ndio wale mahakimu wa mwendokasi hujui Sheria wala haki za binadamu.
Akili za kisukuma gang hizi. Unadhani Mungu anashindwa kumwangamiza shetani? Mbona anamuacha asumbue watu wake? Mungu huyohuyo alimwacha Meko atunyooshe ili apime akili zetu. Alivyoona akili zetu zimekaa kiUtopolo akaona isiwe taabu, akanyoosha mkono wake kutuokoa...
Hakika tumeuona mkono wake Bwana...
Hakika kabisa Mkuu Aspirin.Kama ni kulinganisha mlima na kichuguu, basi Samia ni mlima Kilimanjaro.
Lile zee ilikuwa ni a total waste...
Haijawahi Tanzania kupata Rais wa ovyo kama Mwendazake.
Tunamshukuru Mungu kwa kutunusuru kwenye mikono ile haramu
Huyo mtu unaemuelewesha hivyo anajiita Hakimu,Akili za kisukuma gang hizi. Unadhani Mungu anashindwa kumwangamiza shetani? Mbona anamuacha asumbue watu wake? Mungu huyohuyo alimwacha Meko atunyooshe ili apime akili zetu. Alivyoona akili zetu zimekaa kiUtopolo akaona isiwe taabu, akanyoosha mkono wake kutuokoa...
Hakika tumeuona mkono wake Bwana....
Kwa hiyo baada ya kufa Jiwe sasa hiyo constant war imekwisha?Wewe hujui kua nchi zote Duniani ziko kwenye constant war? Siku zote nchi ziko vitani.
Wewe vita unajua ni kama vile tulikua tunapigana na Uganda? Hivyo kwako ndio vita pekee ambavyo nchi inapigana? Haya mambo ya usalama wa nchi yako juu yako usiendelee kuyajadili maana huelewi chochote.
Rais ndie mwenye mamlaka ya kulinda nchi, yeye akiona threats za national security ana wajibu wa kulinda nchi kwa namna anavyoona inafaa. Soma basi hata katiba ujue majukumu ya rais.
Lazima ujue kua kuna overt and convert operations, sio kila adui wa nchi lazima apelekwe mahakamani, wengine wanapotezwa tu. Hii ni kwa mataifa yote hata unayoyafikiria ya demokrasia kama Marekani na Uingereza maana watanzania wengi akili ndogo kila kitu kulinganisha na Marekani na Uingereza. Wale hawwkufika hapo kwa hizi akili ndogo zilizopo Tanzania.
Usipende kudanganyika na hadithi za mitaani na ngonjera zisizo na akili.
So I am trying to get you see things differently.
Alisema tusubiri, sioni ubaya katika hilo! Katiba mpya ni jambo kubwa linalohitaji utulivu mkubwa kulishughulikia, mambo kadhaa yaliyoharibiwa na aliyepita yakikaa sawa then katiba mpya itakuja tuYote tisa, kumi ni katiba mpya
Kwa mawazo yako ni awamu ya tano lakini kwa mujibu wa katiba ni serikali ya awamu ya sitaUtakuwa fisadi wewe si bure!! Halafu utawala huu kusema kweli ni awamu ya tano sehemu ya pili!! Ilani ni ile ile na watu ni wale wale kasoro viraka vya hapa na hapa na viraka vyenyewe ni kutoka nguo iĺe ile!! Ikakatwa sehemu ya nguo ya mgongoni inapachikwa kifuani na mambo kama hayo hayo!
Twende moja kwa moja kwa mlengwa wa usaliti aliekuja anakusudiwa.Lissu. je ni kweli Lisu alikua msaliti?Sasa ulitaka aseme msaliti kijeshi hua anachekewa? Umewahi kusikia wapi msaliti kijeshi anabembelezwa? Hata huko Marekani anahukumiwa kifo.
Kwa hiyo unataka msaliti kijeshi asemewa, maneno ya kumfurahisha, kumbembeleza? I thought una hoja kumbe I was wrong, ni utumbo bin uharo.
Ni kweli alikuwa wa kipekee kwa kujigia promo kubwaaaa kwenye mambo ya kawaida kabisaAlifanya nini ambacho watangulizi wake hawakukifanya labda.
Mbona sioni.?