Kama nyani alibadilika akawa binadamu ni kwanini nyani na sokwe wa sasa hawabadiliki tena kuwa binadamu?

Kama nyani alibadilika akawa binadamu ni kwanini nyani na sokwe wa sasa hawabadiliki tena kuwa binadamu?

Nyani wa sasa wanabadilika na kuwa kama binadamu, sema mabadiliko ni kidogo san itachukua miaka laki hadi milioni kuyaona.
Kama nyani wa sasa wanabadilika kidogo kidogo kua kama binadamu ni kwanini basi na sisi binadamu tusibadilike kidogo kidogo kua nyani ?
 
Kama nyani wa sasa wanabadilika kidogo kidogo kua kama binadamu ni kwanini basi na sisi binadamu tusibadilike kidogo kidogo kua nyani ?
Nyani wa sasa hawabadiliki kidogo kidogo kuwa kama binadamu,
Pia kulingana na evolutionists mabadiliko ya binadamu wa sasa sio yote yalitokea kidogokidogo, kuna yaliyotokea kidogokidogo, yaliyotokea ghafla kwa kasi kwa muda mfupi na mutations pia.
 
1. Binadamu hajatokana na nyani wala sokwe, alitokana na kiumbe kilicho familia moja ya kibaiolojia na hao kina sokwe.

2. Mageuzi yanachukua mamilioni na mabilioni ya miaka. Binadamu hakulala na kuamka kisha akajikuta amebadilika, mabadiliko yalikuwa kidogo kidogo.

3. Mageuzi yanaendelea hata leo, hakuna kiumbe kisichopitia mageuzi, kuna vitu vinaitwa mutation, recombination na natural selection. Hivi ndo vinachochea mageuzi na kila kiumbe anapitia.
 
Kwa mujibu wa hiyo nadharia , mabadiliko hayo yanahitaji shinikizo la kimazingira ' na huchukua mabilioni ya miaka 🤔
Kitu ambacho hakiwezekani milele.
Ni fix za wanasayansi na wanahistoria.
 
Ndugu zangu.

1: Tukiachana na maswala ya kidini, historia inatuambia binadamu wa kwanza alikua ni nyani / sokwe /chipanze, sasa kama kweli binadamu tulikua ni manyani ni kwanini nyani / sokwe tunaowaona sasa hivi hawabadiliki kua binadamu na wala hawakatiki tena mikia na kua na mwili na utashi wa binadamu kama historia ilivyokua huko awali?

2: Je, kama kweli tulikua nyani na tukabadilika kua binadamu ni kwanini sahivi haiwezekani tena binadamu kubadikika na kurudia kua nyani kama wanasayansi wanavyodai?
Siku hizi binadam ndiyo wanakuwa nyani. Huoni wanawacha kujistiri wanakwenda uchi?
 
Unailewa hata evolution theory ya Darwin??
Ninaielewa ndio maana nikaiita total nonsense...Huwa sidharau kitu nisichokijua...
Huyo Charles Darwin hata scientists wenzie walikuwa na shaka kubwa juu ya invention zake......,.Ila kwa mimi najua kwamba nia ya kusema uwongo kwamba binadamu katokana na sokwe ni ili kudanganya watu kwamba hakuna Mungu....
 
Nyani wa sasa wanabadilika na kuwa kama binadamu, sema mabadiliko ni kidogo san itachukua miaka laki hadi milioni kuyaona.
Labda nikuulize,,,toka sokwe WA mwisho kubadilika na kuwa binadamu kuna mwengine ame undergone zile changes hata kukaribia stage ya homo habilis au hio process imepouse???
 
Subiria
Human evolution is the evolutionary process within the history of primates that led to the emergence of Homo sapiens as a distinct species of the hominid family that includes all the great apes.[1] This process involved the gradual development of traits such as human bipedalism, dexterity, and complex language,[2] as well as interbreeding with other hominins (a tribe of the African hominid subfamily),[3] indicating that human evolution was not linear but weblike.[4][5][6][7] The study of the origins of humans involves several scientific disciplines, including physical and evolutionary anthropology, paleontology, and genetics; the field is also known by the terms anthropogeny, anthropogenesis, and anthropogony.[8][9] (The latter two terms are sometimes used to refer to the related subject of hominization.)

The hominoids are descendants of a common ancestor.
Primates diverged from other mammals about 85 million years ago (mya), in the Late Cretaceous period, with their earliest fossils appearing over 55 mya, during the Paleocene.[10] Primates produced successive clades leading to the ape superfamily, which gave rise to the hominid and the gibbon families; these diverged some 15–20 mya. African and Asian hominids (including orangutans) diverged about 14 mya. Hominins (including the Australopithecine and Panina subtribes) parted from the Gorillini tribe between 8 and 9 mya; Australopithecine (including the extinct biped ancestors of humans) separated from the Pan genus (containing chimpanzees and bonobos) 4–7 mya.[11] The Homo genus is evidenced by the appearance of H. habilis over 2 mya,[a] while anatomically modern humans emerged in Africa approximately 300,000 years ago.
Subiria birthday Yako ya miaka laki tano hivi utabadilika tu.
 
Labda nikuulize,,,toka sokwe WA mwisho kubadilika na kuwa binadamu kuna mwengine ame undergone zile changes hata kukaribia stage ya homo habilis au hio process imepouse???
Hakuna sokwe wa mwisho aliyebadilika kuwa binadamu, kwenye evolution hawasemi binadamu alitokana na sokwe.
 
Kulingana na evolutionists babu yako wa mamilioni ya miaka iliyopita hakuwa nyani bali alikuwa "great apes".

Subiria

Subiria birthday Yako ya miaka laki tano hivi utabadilika tu.
Kama tunasubiria miaka laki tano ijayo ni nini basi kilibadilisha ile miaka approximatelly laki tatu iliopita ya morden human na sasa hivi kuwa mwaka 2024?
 
Huko kongo Hao nyani na chimpanzee watu wanawachemsha na kuwala kama mkate...Nchi zinazosimamia Haki za kipumbaf kama nchi za ulaya zingepiga kelele Sana binadamu wenzao wakiuliwa na kuchemshwa kama mahindi.
 
1. Binadamu hajatokana na nyani wala sokwe, alitokana na kiumbe kilicho familia moja ya kibaiolojia na hao kina sokwe.

2. Mageuzi yanachukua mamilioni na mabilioni ya miaka. Binadamu hakulala na kuamka kisha akajikuta amebadilika, mabadiliko yalikuwa kidogo kidogo.

3. Mageuzi yanaendelea hata leo, hakuna kiumbe kisichopitia mageuzi, kuna vitu vinaitwa mutation, recombination na natural selection. Hivi ndo vinachochea mageuzi na kila kiumbe anapitia.
1. Kiumbe gani hicho ambacho binadamu alitokana nacho?
Zamani tuliambiwa ni jamii ya sokwe, karibuni tumeambiwa ni mijusi wa kale. Kuna facts hapo au fix tu?

2. Mabadiliko gani hayo ambayo hayakupangwa tena ya mabilioni ya miaka ikawaje yakazaa kiumbe kikamilifu, tena ukamilifu uliosanifika?

3. Ni vipi hizo mutation na recombination zikazaa perfect species kimaumbile kama binadamu alivyo? Yaani Mutation na Recombination zitengeneze vitu vizuri na vilivyokamilika tu!?

Ukitazama aina za viumbe wote utagundua wana utofautiano wa kimantiki, wana maumbile ya kipekee na usanifu wa hali ya juu mnoo. Hakuna Mutation, Recombination au Natural selection inayoweza kutengeneza species universe ya namna hiyo.
 
Kwahiyo kwenye Creation of Man wewe huwa unaiamini Evolution theory? 🤣🤣🤣
 
Ninaielewa ndio maana nikaiita total nonsense...Huwa sidharau kitu nisichokijua...
Huyo Charles Darwin hata scientists wenzie walikuwa na shaka kubwa juu ya invention zake......,.Ila kwa mimi najua kwamba nia ya kusema uwongo kwamba binadamu katokana na sokwe ni ili kudanganya watu kwamba hakuna Mungu....
Darwin hakufanya inventions zozote, alikuja na dhana akielezea kile alichokijua kwa kutafiti viumbe hai mbalimbali kwa kuhusianisha na mazigira tofauti na mabadiliko ya mazingira na kutafsiri matokeo ya hao viumbe hai walivyokuwa ni kutokana na evolution.
 
Kama tunasubiria miaka laki tano ijayo ni nini basi kilibadilisha ile miaka approximatelly laki tatu iliopita ya morden human na sasa hivi kuwa mwaka 2024?
Kwanza hatusubiri miaka laki tano, nini kilichotokea miaka milioni au laki kadhaa huko nyuma ni suala la wewe kwenda kujisomea, usiwe mvivu kama ni mtu mwenye curiosity.
 
1. Kiumbe gani hicho ambacho binadamu alitokana nacho?
Zamani tuliambiwa ni jamii ya sokwe, karibuni tumeambiwa ni mijusi wa kale. Kuna facts hapo au fix tu?

2. Mabadiliko gani hayo ambayo hayakupangwa tena ya mabilioni ya miaka ikawaje yakazaa kiumbe kikamilifu, tena ukamilifu uliosanifika?

3. Ni vipi hizo mutation na recombination zikazaa perfect species kimaumbile kama binadamu alivyo? Yaani Mutation na Recombination zitengeneze vitu vizuri na vilivyokamilika tu!?

Ukitazama aina za viumbe wote utagundua wana utofautiano wa kimantiki, wana maumbile ya kipekee na usanifu wa hali ya juu mnoo. Hakuna Mutation, Recombination au Natural selection inayoweza kutengeneza species universe ya namna hiyo.
1. Walimu wengi wanaofundisha evolution huwa ni mediocres na biased kwa sababu za kidini kuwa hiyo wanapotosha mambo mengi kwa kutokujua au makusudi pia.
2. Kwa nini unasema binadamu ni kiumbe kikamilifu?
Binadamu ni prone kwa magonjwa na ajali. Anazaliwa hajui chochote hovyo inabidi ajifunze ambapo wengine wanapata akili na wengine wanabaki wajinga maisha yao yote. Binadamu amekuwa kiumbe cha violence, binadamu amejaa hofu,
 
Back
Top Bottom