Kama nyani alibadilika akawa binadamu ni kwanini nyani na sokwe wa sasa hawabadiliki tena kuwa binadamu?

Kama nyani alibadilika akawa binadamu ni kwanini nyani na sokwe wa sasa hawabadiliki tena kuwa binadamu?

Viumbe vyote kwenye animal kingdom Babu yao ni mmoja walibadilika badilika kulingana na mazingira waliyoishi kipindi kwa kipindi
 
Nyuzi nyingine jibu la kwanza linatakiwa kuwa swali la "Unajua Kiingereza?".

Maana maswali mengi sana yanatokana na watu kutojua Kiingereza.

Ukivuka kipengele cha kujua Kiingereza mambo yote yapo kwenye mtandao.

Sasa mtu asiyejua Kiingereza hata link ya reference ukimpa ni kazi bure tu, kwa sababu hataweza kusoma.

Asiyejua Kiingereza mpaka uanze kumfundisha tofauti ya ape, na chimpanzee, human na hominid, na homo sapien saa ngapi?
 
Ndo maana hili somo, nilikuwa sijisumbui kabisa kulifuatilia.. Maana
1. Lina mkanganyiko mkubwa sana... 🙂 🙂
2. Lilikuwa linamaliza peni haraka
3. Utitiri wa notes usio na kikimo.

Yoda ,ebu tupe short story Hii evaluation of man - ( women) ililenga nini zaidi? 🤔 🤔
Afu unakuta kuna pimbi eti kapata A.me nilikua nasinzia tu wakti wa vipindi vya history
 
Story ni ndefu sana, bila kuisoma kwa kutulia lazima ikuchanganye na uishe kusema wanasayansi wanasema binadamu walitokana na nyani/sokwe/chimpanze n.k wakati evolution, archeologists wala wanasayansi halisi hawasemi hivyo bali wanasema binadamu na jamii za sokwe ambao kwa pamoja wanajulikana kama(hominade/great apes) wamewahi kuwa na common ancestors mamilioni ya miaka huko nyuma.
Sasa kwa nini wasilisitisha mabadiliko, yawezekana tungepata watu wapya wenye mitazamo chanya kuhusu maendeleo ya dunia..
 
Huwezi kupata ukweli, ila kwa utafiti mdogo ukichukua mabaki ya vyakula, nyama n.k ukayatenga sehemu, baada ya siku kadhaa huo uchafu/mabaki ubadilika na kutoa viumbe tunaowaita wadudu.

Kwa mazingira hayo, kuna uwezekano mkubwa pia binadamu akawa ametokana na uozo wa malighafi fulani ambayo kwa sasa hayapatikani.​
 
Ndugu zangu.

1: Tukiachana na maswala ya kidini, historia inatuambia binadamu wa kwanza alikua ni nyani / sokwe /chipanze, sasa kama kweli binadamu tulikua ni manyani ni kwanini nyani / sokwe tunaowaona sasa hivi hawabadiliki kua binadamu na wala hawakatiki tena mikia na kua na mwili na utashi wa binadamu kama historia ilivyokua huko awali?

2: Je, kama kweli tulikua nyani na tukabadilika kua binadamu ni kwanini sahivi haiwezekani tena binadamu kubadikika na kurudia kua nyani kama wanasayansi wanavyodai?
Mzee hujaelewa vizuri

Binadamu ni OFFSPRING aliyetokea baada ya cross breed ya Sokwe na Homo Habilis

Sio eti kwamba Sokwe amelala usiku asubuhi amebadilika na kua binadamu...wrong!

Ni cross breeding,yaani Sokwe alitombana na Homo Habilis kukuzaa wewe kenge!
 
Kila kitu na nyakati zake, mbona hujauliza kama zamani dunia ilikuwa bara moja kubwa, baadae mabara yakagawanyika, mbona mabara hayajiungi tena kuwa kitu kimoja?
Ndugu zangu.

1: Tukiachana na maswala ya kidini, historia inatuambia binadamu wa kwanza alikua ni nyani / sokwe /chipanze, sasa kama kweli binadamu tulikua ni manyani ni kwanini nyani / sokwe tunaowaona sasa hivi hawabadiliki kua binadamu na wala hawakatiki tena mikia na kua na mwili na utashi wa binadamu kama historia ilivyokua huko awali?

2: Je, kama kweli tulikua nyani na tukabadilika kua binadamu ni kwanini sahivi haiwezekani tena binadamu kubadikika na kurudia kua nyani kama wanasayansi wanavyodai?
 
Kuna wabongo bado ni manyani na masokwe. Mfano ni yule mwenda safari kila siku ...
 
Kama tunasubiria miaka laki tano ijayo ni nini basi kilibadilisha ile miaka approximatelly laki tatu iliopita ya morden human na sasa hivi kuwa mwaka 2024?
Mwaka huu ni 2024 kwa Gregorian calendar. Kuna kalenda nyindi sana mfano kalenda ya Wayahudi huu ni mwaka 5785.

Mwanzo wa kalenda sio mwanzo wa maisha ya binadamu.
 
Nyuzi nyingine jibu la kwanza linatakiwa kuwa swali la "Unajua Kiingereza?".

Maana maswali mengi sana yanatokana na watu kutojua Kiingereza.

Ukivuka kipengele cha kujua Kiingereza mambo yote yapo kwenye mtandao.

Sasa mtu asiyejua Kiingereza hata link ya reference ukimpa ni kazi bure tu, kwa sababu hataweza kusoma.

Asiyejua Kiingereza mpaka uanze kumfundisha tofauti ya ape, na chimpanzee, human na hominid, na homo sapien saa ngapi?
Babu yao ndo huyo ape

babu yetu ndo huyo ape ambapo inaonyesha sisi tomedevelop kutoka kwa Kizazi cha nyani wa kubwa, sasa kama ndo hivyo ni kwanini nyani wa sasa hivi na wao wasidevelop wakawa binadamu. Au sisi binadamu tusirudie kizazi cha asili cha babu yetu great ape. ?
 
Evolution ni speculative science tu.

Ni jaribio la kutaka kujibu swali la chanzo cha ulimwengu na watu wake.

Mpaka sasa sijakutana na maelezo yoyote yale ya kuridhisha.

Hivyo, kwangu hilo linabaki kuwa swali lisilo na jibu.
Evolution is not about the origin of life.
 
Mwaka huu ni 2024 kwa Gregorian calendar. Kuna kalenda nyindi sana mfano kalenda ya Wayahudi huu ni mwaka 5785.

Mwanzo wa kalenda sio mwanzo wa maisha ya binadamu.
Kwanini wameamua kuturudisha nyuma ki miaka na je, ile miaka laki tatu ya modern human imeenda wapi kama ni hivyo kwa kuzingatia kigezo cha evolution of human being?
 
Back
Top Bottom