Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Sijui kwa Kiswahili ni nini.Apes nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kwa Kiswahili ni nini.Apes nini?
Afu unakuta kuna pimbi eti kapata A.me nilikua nasinzia tu wakti wa vipindi vya historyNdo maana hili somo, nilikuwa sijisumbui kabisa kulifuatilia.. Maana
1. Lina mkanganyiko mkubwa sana... 🙂 🙂
2. Lilikuwa linamaliza peni haraka
3. Utitiri wa notes usio na kikimo.
Yoda ,ebu tupe short story Hii evaluation of man - ( women) ililenga nini zaidi? 🤔 🤔
Sasa kwa nini wasilisitisha mabadiliko, yawezekana tungepata watu wapya wenye mitazamo chanya kuhusu maendeleo ya dunia..Story ni ndefu sana, bila kuisoma kwa kutulia lazima ikuchanganye na uishe kusema wanasayansi wanasema binadamu walitokana na nyani/sokwe/chimpanze n.k wakati evolution, archeologists wala wanasayansi halisi hawasemi hivyo bali wanasema binadamu na jamii za sokwe ambao kwa pamoja wanajulikana kama(hominade/great apes) wamewahi kuwa na common ancestors mamilioni ya miaka huko nyuma.
Hili somo ilikuwa changamoto sana.. Ilifika hatua mpaka mwalimu wa history tukapishana kauli..Afu unakuta kuna pimbi eti kapata A.me nilikua nasinzia tu wakti wa vipindi vya history
Mzee hujaelewa vizuriNdugu zangu.
1: Tukiachana na maswala ya kidini, historia inatuambia binadamu wa kwanza alikua ni nyani / sokwe /chipanze, sasa kama kweli binadamu tulikua ni manyani ni kwanini nyani / sokwe tunaowaona sasa hivi hawabadiliki kua binadamu na wala hawakatiki tena mikia na kua na mwili na utashi wa binadamu kama historia ilivyokua huko awali?
2: Je, kama kweli tulikua nyani na tukabadilika kua binadamu ni kwanini sahivi haiwezekani tena binadamu kubadikika na kurudia kua nyani kama wanasayansi wanavyodai?
Ndugu zangu.

A lot don't know this shit. It takes millions of years for noticable changes to appear, nani anaweza kuishi kujionea hizo changes?Ku evolve inachukua mamilioni ya miaka
Mwaka huu ni 2024 kwa Gregorian calendar. Kuna kalenda nyindi sana mfano kalenda ya Wayahudi huu ni mwaka 5785.Kama tunasubiria miaka laki tano ijayo ni nini basi kilibadilisha ile miaka approximatelly laki tatu iliopita ya morden human na sasa hivi kuwa mwaka 2024?
Babu yao ndo huyo apeNyuzi nyingine jibu la kwanza linatakiwa kuwa swali la "Unajua Kiingereza?".
Maana maswali mengi sana yanatokana na watu kutojua Kiingereza.
Ukivuka kipengele cha kujua Kiingereza mambo yote yapo kwenye mtandao.
Sasa mtu asiyejua Kiingereza hata link ya reference ukimpa ni kazi bure tu, kwa sababu hataweza kusoma.
Asiyejua Kiingereza mpaka uanze kumfundisha tofauti ya ape, na chimpanzee, human na hominid, na homo sapien saa ngapi?
babu yetu ndo huyo ape ambapo inaonyesha sisi tomedevelop kutoka kwa Kizazi cha nyani wa kubwa, sasa kama ndo hivyo ni kwanini nyani wa sasa hivi na wao wasidevelop wakawa binadamu. Au sisi binadamu tusirudie kizazi cha asili cha babu yetu great ape. ?Nyuzi nyingine jibu la kwanza linatakiwa kuwa swali la "Unajua Kiingereza?".
Maana maswali mengi sana yanatokana na watu kutojua Kiingereza.
Ukivuka kipengele cha kujua Kiingereza mambo yote yapo kwenye mtandao.
Sasa mtu asiyejua Kiingereza hata link ya reference ukimpa ni kazi bure tu, kwa sababu hataweza kusoma.
Asiyejua Kiingereza mpaka uanze kumfundisha tofauti ya ape, na chimpanzee, human na hominid, na homo sapien saa ngapi?
Evolution is not about the origin of life.Evolution ni speculative science tu.
Ni jaribio la kutaka kujibu swali la chanzo cha ulimwengu na watu wake.
Mpaka sasa sijakutana na maelezo yoyote yale ya kuridhisha.
Hivyo, kwangu hilo linabaki kuwa swali lisilo na jibu.
Kwanini wameamua kuturudisha nyuma ki miaka na je, ile miaka laki tatu ya modern human imeenda wapi kama ni hivyo kwa kuzingatia kigezo cha evolution of human being?Mwaka huu ni 2024 kwa Gregorian calendar. Kuna kalenda nyindi sana mfano kalenda ya Wayahudi huu ni mwaka 5785.
Mwanzo wa kalenda sio mwanzo wa maisha ya binadamu.
Kama evolution sio origin of life je, origin of life ya binadamu imetoka wapi na imekuaje kuaje mpaka tukawa binadamu?Evolution is not about the origin of life.