Kama ombi la Profesa Kabudi litakubaliwa huko UNESCO basi tarehe 07 Julai kila mwaka itakuwa ni Siku ya Kiswahili Duniani

Na kwanini July 7. Kwanini isingekuwa siku ya kuwaenzi wakongwe wa Kiswahili kama Shaaban Robert.
 
Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi ameiomba UNESCO kukitambua rasmi Kiswahili kama lugha ya mawasiliano duniani na kwamba itangaze tarehe 07 July ya kila mwaka kuwa ni Siku ya Kiswahili Duniani.

Hili ni jambo jema, tuombe Mungu alibariki ombi hili.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
YAani ndio ajenda aliyoipeleka huko?
 
[emoji23] duh.
Yani tunataka tuanze na dunia nzima kuadhimisha hiyo siku?
Ilitakiwa sisi tuwe na maadhimisho yetu kila mwaka na kama muda ukifika umoja wa mataifa kupitia mashirika yake ukaona kuna haja ya kuwa na siku ya Kiswahili duniani wangeendana na siku yetu.
Pia ingekuwa rahisi kuwashawishi.
 
Wanataka waonekane wao ndio qa kwanza kabla Kenya hajaikwapua hio agenda
 
they are learning for fun ...yes! bt they're not learning for Free ,the re paying for that learning.lakn pia hata Korea Hawa kuwa pale kwa mazingaombwe ghafla bin vuu.walianza kukifanyia kazi kila kitu walichoona Kita changia kukuza uchumi,ndio maana hata kwenye kutengeneza drama wapo,hawakudharau kazi ya Sanaa,na kujali miradi na nuclear tu NO.
Jenga uchumi kwanza then watu watakitaka hicho kiswahili chako
 
Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi ameiomba UNESCO kukitambua rasmi Kiswahili kama lugha ya mawasiliano duniani na kwamba itangaze tarehe 07 July ya kila mwaka kuwa ni Siku ya Kiswahili Duniani.

Hili ni jambo jema, tuombe Mungu alibariki ombi hili.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Kwa nini 07/07?
 
Hii itasaidia uchumi wa kati kuwa wa juu.
Pia itaongeza wigo wa ajira,na kukamilisha miradi mikubwa kama Stiegler's Gorge,Ndege na viwanda.
Ccm ipo imara.
 
Yani watu wanajipanga kuwapa wananchi wao chanjo, sie tunapuyanga kukinadi Kiswahili.

Granted, Kiswahili lugha yetu, kukinadi wajibu wetu. Lakini hiki ndicho kipaumbele chetu kwa sasa?

Ni kawaida ya mtu asiyeweza kazi yake kujitungia vikazi kazi vingine ili aonekane yuko busy tu.
 
Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi ameiomba UNESCO kukitambua rasmi Kiswahili kama lugha ya mawasiliano duniani na kwamba itangaze tarehe 07 July ya kila mwaka kuwa ni Siku ya Kiswahili Duniani.

Hili ni jambo jema, tuombe Mungu alibariki ombi hili.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Kisa kumfurahisha bosi asiyejua kiingereza!!! Mbona hatuna siku ya kiinglish duniani siku ya kifaransa,kichina nk na zinazungumzwa mmmno? Plopesa anaomba utumbo ulaya??
Ifike mahali prof akifanya upumbafu anyang'anywe uprof wake tumechoka maujinga ya maprof njaa kisa kujipendekeza, hovyo kabisa!!
 
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Back
Top Bottom