Ni nadra sana kumuona mchagga mpuuzi kama huyuHahahaaaa...... We MACHAGA tulia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nadra sana kumuona mchagga mpuuzi kama huyuHahahaaaa...... We MACHAGA tulia!
YAani ndio ajenda aliyoipeleka huko?Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi ameiomba UNESCO kukitambua rasmi Kiswahili kama lugha ya mawasiliano duniani na kwamba itangaze tarehe 07 July ya kila mwaka kuwa ni Siku ya Kiswahili Duniani.
Hili ni jambo jema, tuombe Mungu alibariki ombi hili.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
HatunaSisi tuna hiyo siku ya kisawahi duniani hapa kwetu?
Hatuna
Wanataka waonekane wao ndio qa kwanza kabla Kenya hajaikwapua hio agenda[emoji23] duh.
Yani tunataka tuanze na dunia nzima kuadhimisha hiyo siku?
Ilitakiwa sisi tuwe na maadhimisho yetu kila mwaka na kama muda ukifika umoja wa mataifa kupitia mashirika yake ukaona kuna haja ya kuwa na siku ya Kiswahili duniani wangeendana na siku yetu.
Pia ingekuwa rahisi kuwashawishi.
Jenga uchumi kwanza then watu watakitaka hicho kiswahili chakothey are learning for fun ...yes! bt they're not learning for Free ,the re paying for that learning.lakn pia hata Korea Hawa kuwa pale kwa mazingaombwe ghafla bin vuu.walianza kukifanyia kazi kila kitu walichoona Kita changia kukuza uchumi,ndio maana hata kwenye kutengeneza drama wapo,hawakudharau kazi ya Sanaa,na kujali miradi na nuclear tu NO.
Kwa nini 07/07?Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi ameiomba UNESCO kukitambua rasmi Kiswahili kama lugha ya mawasiliano duniani na kwamba itangaze tarehe 07 July ya kila mwaka kuwa ni Siku ya Kiswahili Duniani.
Hili ni jambo jema, tuombe Mungu alibariki ombi hili.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Matako weweKiswahili ni bidhaa bwashee!
Hii itasaidia uchumi wa kati kuwa wa juu.Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi ameiomba UNESCO kukitambua rasmi Kiswahili kama lugha ya mawasiliano duniani na kwamba itangaze tarehe 07 July ya kila mwaka kuwa ni Siku ya Kiswahili Duniani.
Hili ni jambo jema, tuombe Mungu alibariki ombi hili.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Ya mama wax!Matako wewe
Kwani haviwezi kufanyika pamoja?
South Africa wameanza kukitumia!Kiswahili kimeingizwa SADC, je umeona nchi wanachama wanakishabikia?
Thubutu, ni kama mchina aseme kichina kimeanza kutumika hapa Tanzania. Nitajie huko south Afrika kinatumika kwenye eneo gani?South Africa wameanza kukitumia!
Kisa kumfurahisha bosi asiyejua kiingereza!!! Mbona hatuna siku ya kiinglish duniani siku ya kifaransa,kichina nk na zinazungumzwa mmmno? Plopesa anaomba utumbo ulaya??Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi ameiomba UNESCO kukitambua rasmi Kiswahili kama lugha ya mawasiliano duniani na kwamba itangaze tarehe 07 July ya kila mwaka kuwa ni Siku ya Kiswahili Duniani.
Hili ni jambo jema, tuombe Mungu alibariki ombi hili.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!