Kama 'Quran' inakataa Mwanamke kuwa Kiongozi kwanini Waislamu wa nchi zingine wanaongozwa na Mwanamke?

Ushauri wa Kipuuzi kutoka kwa Mpuuzi.
 
Chechinya.
Uongo !! Yaani mtu unapanga kudanyanga ili mradi tu.


Chuki zilizopo kweny vifua vyenu ni nyingi sana ila hatuko tayar kufuata Mila zenu .

Inakuwaje unadanganywa ili mradi ule mtafaruku yaani Haina maana kabisa
 
Ushauri wa Kipuuzi kutoka kwa Mpuuzi.
Sawa mi mpuzi.

Ila kwa vile unaeleweshwa hutaki basi maana sioni hoja zako ni propaganda yaani unasambaza uongo na umbea hizi sio tabia za kiume jiangalie mara mbili mbili.

Sisi hatujawahi kuwafikiria ila nyie daily kutafuta line of weakness ila hamtoweza🤣🤣.
 
Umenena vyema kabisa.
 
Hao ndio wafuasi wa Mzee wa mkono wa Baunsa huwawezi .Jana Kuna mmoja alileta uongo wake ..... Ukazimwa na ukhty wetu mpendwa ,kumbe na popomba nae alikuwa akiandaa kithiridi chake Uchwara ...

Uislamu upo imara Sana na hakuna mgalatia was kuuchezea.
 
Hii inakaribia Ramadhani nyuzi kama hzi zitakuwa nyingi ndo hapo utajua jamaa kwa chokochoko ni noma.

Hawa ni kuwapuuza yaani mtu kaona kule German kanisa limelalisha basi nar anatafuta ishu za waislamu ili tuende sawa...wakati sisi wala hatupost hao mambo yao waliohalalisha.
 
adriz

 
pakistani ni kama tanzania ina waislamu wengi kuliko dini zingine ila pakistani ni nchi ya demokrasi
Umepata wapi hizo takwimu zinazoonyesha idadi ya waislam na wakristo tanzania
 

Bibi Bhutto alishawahi kuwa waziri mkuu kabla ya kifo chake.
 
Kwenye uzi mmoja watu wamepaniki sana wanataka kuchinja mtu kisa Sharia mpya huko Saudia, sasa ngoja waje upambane nao.
Wanataka kumchinja bin Salman?, maana yeye ndiye aliyeweka hizo sheria mpya.
Mupunguze uongo jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…