Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Watu wenge duniani hawajui kiarabu
Tafsri si qur’an halisi
Upande wa Qur’an (Uislamu)
Tafsri si qur’an halisi
Upande wa Qur’an (Uislamu)
- Qur’an inachukuliwa kuwa ni Qur’an halisi tu ikiwa ni Kiarabu
- Tafsiri = “maelezo ya maana,” si Qur’an
- Swala na baadhi ya ibada lazima ziwe kwa Kiarabu
- WHY?