Na wewe unadanganyika na hizo story? Quran ilishuka kutoka wapi, wakati ameanfikwa baada hata ya huyo aliyedai kuwa alitokewa na shetani, akiwa tayari amekufa?
Mohamed anasema alitokewa na shetani, baadaye akamwambia siyo shetani bali malaiki Jibril. Huyo aliuemtokea Mohamed, Mohamed mwenyewe anasema aliambiwa aandike, yeye akamjibu kuwa mbona yeye hajui kusoma wala kuandika? Baada ya hapo, huyo shetani aliyegeuzwa baadaye kuitwa malaika akawa anampa maelekezo, Mohamed anaenda kuwasimlia rafiki zake wanaojua kuandika. Iliendelea hivyo kwa miaka 23. Baada ya kufa kwake, wakatokea watu wakakusanya hizo story zilizokuwa zimeandikwa kwenye karatasi tofauti tofauti, na kisha kyziweka pamoja.
KWA HIYO UJUE KABISA HABARI YA KUSEMA QURAN ILITEREMSHWA, NI MANENO YA MATAPELI, kupitia mlango wa imani. Na wamewaokota wengi. Shetani aliyemtokea Mohamed, halafu baadaye tena Mohamed akamsilimisha hiyo shetani, amewaokota wengi, na anaendelea kuwaokota wengi kuwaweka kwenye utawala wake wa giza. Yaani Mohamed alifanikiwa kutengeneza umoja kati ya shetani, majini, yeye binafsi na wafuasi wake.