Wait! , katika kipindi hicho cha manabii, mtu angeandika mawazo yake (mfano waandishi wa Quran, na vitabu vingine), kisha wakasema ni maono toka kwa Mungu, nini kingeamua kipi cha kukipokea kama ‘uteremsho’ na kipi sio ‘uteremsho’ , ilihali wote wamedai ni maono?
Halafu kuwa mstaarabu, sijaja hapa kuchat na ChatGPT. Ukileta jibu lisilo na mantiki toka ChatGPT kama ambavyo unafanya, mjadala utaishia hapa.
Kitu gani ambacho hakina mantiki , Mbona mnaogopa Chartgtp imewakosea nini ?? Unahakika gani kuwa nimechukuwa ChartGtp ?? hata kama nimechukuwa kwani wewe unalo jibu tayari ?? Mimi nakuruhusu utafute maswali huko chartgtop au website ya kanisa lolote , utajibiwa tu